google

  1. JamiiForums Tanzania Behind the Beat: Jinsi G-Funk Ilivyozaliwa Katika Wimbo Wangu.

    " I say it " ni ngoma niliyoitengeneza kwa msaada wa google Gemini kwa upande wa beat. But mashairi na ,lyrics its all about me made it. Mwanzo wa utengenezaji wa beat nilianza na hizi code. "Uh uh uh uh uh uh uumh Uh uh uh uh uh' u' umh Uh uh uh uh uh uh uumh" start with my mouth Kick- "uh"...
  2. JamiiForums Tanzania Vita ya Google na Apple nani Mshindi?

    Kama unafikiria Google tunaweza kutumia mfumo wa Liquid Glass kuendana na iPhone kwenye vifaa vyetu sahau kabisa ๐Ÿ‘‹. Hii ndo kauli mpya ya ametoa Bwana Sameer Samat Rais wa Google kwenye masuala yote ya Ecosystem ya Android. Aliweza kutoa kauli hiyo baada Uvumi kusambaa kuwa Google wataweza...
  3. JamiiForums Tanzania Raise your hand if you survived in school without Tablets, Wi-Fi, calculator or Google

    raia yoyote aliesavaivu kipindi hicho upstairs lazima awe vizuri.
  4. JamiiForums Tanzania Naomba Ushauri kununua Google pixel kati ya 3 au 3a xl

    Wakuu ipo hivi 3 plain wanauza 250k used from Dubai hapo protector na cover free. Lakini kuna pixel 3axl hii ni used Tanzania na jamaa ambae anauza alinunua kwa mtu ambae alikuwa anafanya top up Kwa wale wa taalamu wa pixel be nichukue maamuzi Gani?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Unafahamu kuwa Google imerekodi kila safari yako bila wewe kujua?

    Google imerekodi kila safari yako ya kwenda hospitali mwaka huu, na hata mizunguko yako ya usiku wa manane. Simu yako inatuma taarifa (updates) zako kila baada ya sekunde 96. Simu za Android zinatuma taarifa zako mara 20 zaidi kwenda Google ukilinganisha na jinsi iPhone inavyotuma kwenda Apple...
  6. O

    JamiiForums Tanzania KWA ALIYEFANIKIWA KULIPIA GOOGLE PLAY CONSOLE ULITUMIA BANK GANI NA IMEWEZESHWAJE?

    Naomba kujua hilo kadi ZOTE za virtual prepaid hadi bank ya nmb zimeshindwa Kwa kadi za virtual aka prepaid zimeinyesha wazi kukataliwa Sasa nilivyokuja Kwa bank nmb imegoma hii hapa chini ni acnap ya nmb Kwa google apesa ipo kama 150k na nataka kulia USD 25 tatizo nini? Nmb imewezeshwa ila...
  7. JamiiForums Tanzania Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka

    Wanaukumbi. ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท Iran imetoa wito kwa wafanyakazi wote wa Google, Nvidia, Apple, IBM, Tesla, Intel na Cisco kuondoka kwenye makampuni hayo ifikapo saa nane mchana kwa saa za Tehran siku ya Jumatano - The Hill Baada ya hapo wataanza kuwalipua. IRGC imetishia makampuni makubwa ya kiteknolojia...
  8. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  9. JamiiForums Tanzania Kampuni ya Google imejiingiza kwenye tabia ya kulazimishia watumiaji matangazo, feature ya ku Block matangazo haifanyi kazi hatakama uta Block

    Binafsi nilikuwa mpenzi mkubwa wa bidhaa za kampuni ya Google lakini naona tumeanza kukerana kwa mfululizo wa matangazo yasiyozuilika Matangazo sio kosa kwa watumiaji lakini kosa ni kulazimisha matangazo kwa watumiaji hata kama wanakuwa wamekataa Baadhi ya watu katika community za India...
  10. JamiiForums Tanzania Nimeibiwa Xiaomi 12T Pro nikanunua Google Pixel 7A

    Nilikuwa natumia Xiaomi 12T Pro Kwa muda sasa ila majuzi usiku hapa Mbeya wahuni walinikaba na kunipora kila nilichonacho including my phone. Uzuri sikuwa na hela nyingi mfukoni kwa hiyo kitu cha maana walichooba kinachoniuma zaidi ni hiyo Xiaomi 12T Pro Lakini nimeitumia for 3 years straight...
  11. JamiiForums Tanzania Watumiaji wa Google wataweza kubadili email zao za @gmail.com kwa urahisi

    Google Iko kwenye mpango mzuri wa kuweza kuruhusu watumiaji wa akaunti za Gmail (Google Account) kubadilisha username za email zao Kwa urahisi. Mfumo huo utaanza kufanya kazi kuanzia mwaka 2026 japo Kwa sasa umeanza nchini India ambapo wataweza kurekebisha email zao kwa urahisi tuchukulie barua...
  12. JamiiForums Tanzania GOOGLE Review 2025 inaweza kuweka ya Tanzania nahisi

    Google inapofikia tarehee moja ukusanya matukio na kutengenezwa sehemu ya video fupi kama yaliyopita. Kwa revolution zilizotokea 2025 pamoja tanzania mauwaji inawekwa ila sijajua wataweka kwa mtindo hupi. Ila peak up bandwidth za kuzungumziwa sana. Najua sana sana mwisho wa mwezi dec...
  13. JamiiForums Tanzania Siku ICC ikiomba google itaje wasiojulikana walikuwa wanatumia google map location kujua makazi mtabaki midomo wazi. Nawapa stori ya kweli

    Hii ni kweli kuwa dunia unaweza kujiona umejificha kumbe hupo uchi. Kuna kijana mmoja huko Marekani mwenye asili ya asia raia wa Marekani, ni kijana mdogo wale vijana wanaopitia ujuaji na ujanja wa UVCCM mfano tu. Wakati wa matembezi alitokea kibaka na kupora simu yake ya iphone na ile simu...
  14. JamiiForums Tanzania PostGE2025 Video zaidi ya 300 za mauaji yaliyofanywa wakati wa uchaguzi zimewekwa kwenye google drive: Pitia link hii

    Angalizo: Video hizi zinatisha na zinaweza kukuletea msongo wa mawazo au kuku traumatize. Kuwa makini. Pole nyingi kwa watanzania wote. Google drive link: Samia Massacre Oct 2025 โ€“ Google Drive
  15. JamiiForums Tanzania Naomba mtu anaejua tofauti ya google na chrome

    Binafsi sijajua tofauti yake maana naonaga zote kama ni sawa maana ukiingia goole unapata na ukiingia crome unapata. Je, kuna tofauti nyingine?
  16. JamiiForums Tanzania Sasa Hivi TRA Wanakusanya Kodi Hadi Google AdSense (YouTube & Websites)

    Wewe kama ni mmiliki wa Channel ya YouTube au mmiliki wa Website na unapata pesa kwa njia ya Google Adsense basi jua sasa hivi TRA wanakata Kodi mpaka huko YouTube na kwenye Websites kwa pesa unayokusanya kupitia Google AdSense. Hivyo uwezi kutoa pesa mpaka uwe na TIN namba pia, tofauti na...
  17. JamiiForums Tanzania App nzuri ya ku-record calling kwa Google pixels.

    Wakuu.. Kama unatumia pixel utakubaliana na mimi kuwa hizi simu hazina option ya ku-record call(Due to private rules) Sasa nimekuja kwenu kuomba kujuzwa App nzuri ya ku-record calling kwa hizi pixel
  18. JamiiForums Tanzania Google Maps Local Guide: Uwa napenda sana kuacha review kwenye kila sehemu niliyotembelea. Wewe je?

    Wakuu. Google Maps kila mtu anaitumia. Mfano unaenda Kilosa, unataka ujue wapi utalala au utakunywa bia au ofisi flani ipo wapi bila kuuliza wenyeji, Google Maps anakusaidia. Pia kupitia Maps, unaona reviews mbalimbali katika iyo sehemu, ambazo zinatolewa na wateja au watu waliowahi...
  19. JamiiForums Tanzania Used Google Pixel 9 (128GB)

    used Google Pixel 9 (128GB) njoo na offer yako PM
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ