godoro

  1. C

    JamiiForums Tanzania Ushauri kuhusu uchaguzi wa godoro bora

    Wakubwa,nipo kwenye mchakato wa kununua godoro zuri. Baada ya kufuatilia kwa kina nikagundua godoro la Spring la Tanfoam ndio the best. Sasa baada ya kufika kwa wakala kununua,nimekuta kuna godoro lingine premium,halina spring lakini linanesa sana na bei yake ni juu kidogo kuliko la Spring...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya kausha damu ipo mtaani, tuwe makini

    Dakika kadhaa zilizopita nilikutana na maajabu hapa mtaani kwetu Wamekuja wanaojiita maofisa wa kausha damu wako na mjumbe na mwenyekiti wa serikali za mitaa na polisi wawiili wakaingia kwenye nyumba moja ya mdada Dada akagoma kufungua, wakaenda upande wa chumbani wakaita wakasogeza pazia...
  3. Baba Ndubwi

    JamiiForums Tanzania Kitanda na godoro vinauzwa Zanzibar

    Wakuu habari ya muda huu Vyote vipo katika hali nzuri. Ukitaka kukagua Vipo Kikwajuni. Bei ya jumla ni laki tano na elfu hamsini. Godoro pekee bei ni laki moja na themanini alfu. Kitanda pekee bei ni laki 3 na elfu hamsini. Sababu ya kuuza:Anahamia bara mwenye navyo. NB;Mimi sio vyangu isipokuwa...
  4. Desierto

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kulalia godoro chini

    Maisha haya yasikie tu kwa mwenzio Muda mwingine tunajitahidi kupanga malengo na kuyapambanua yatimie tukipiga hatua 3 mbele tunavutwa na kurudishwa hatua 6 nyuma na matatizo yasiyo epukia Nimeshalala sana chini na wife mwaka unaenda kukata Sasa bila ya kitanda Naweka Nia mpaka mwezi huu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Familia nyingi hazijawahi kubadili kitanda na godoro hadi UZEENI

    Vitanda na magodoro katika familia nyingi za Kiafrika vimetumika kuzalishia watoto, wajukuu na hata vitukuu. Vitanda hivi vimeshuhudia mmiliki akiwa kijana au watu wakiwa wachumba, wakaoana, wakapata watoto ,wajukuu na kushuhudia wanavyozeeka hadi kufa. Pia mtu tangu aanze kazi hadi...
  6. Magari ya Biashara

    JamiiForums Tanzania Kitanda bila godoro kinauzwa bei 90,000/=

    Kitanda 5 kwa 6 bila godoro Bei 90,000 Kipo Ubungo 0789283031
  7. D

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda na Godoro vinauzwa

    Habari wanajf,Kitanda cha 5 kwa 6 na godoro lake vinauzwa kwa tsh laki 4 tu (400,000/=). Vyote ni vipya kabisa na havijawai kutumia kwani alinunua mdogo wangu na kuviweka kwangu Sasa kuna PESA anaitaji ndio sababu kubwa ya kuviuza. Vinapatikana TABATA KINYEREZI Dar es Salaam maongezi kidogo...
  8. Kulupango

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda cha mtoto na godoro lake vinauzwa 150000

    done
  9. sepema

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Sikujua kuwa style yake yakufika kileleni ni kulowanisha godoro

    Heri ya jumapili kwenu... Juzi kati nimebahatika kutunukiwa tunda na binti mmoja mwenyeji wa huko pembezoni mwa ziwa Victoria,japo aliniweka wazi kuwa asili yawazazi wake wote ni wanyarwanda. Katika mazungumzo yetu kabla hatujaingia kwenye mchezo akagusia kipengele Cha wao(wanawake wakanda...
  10. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Godoro 5&6 nchi 10, kitanda na jaba vinauzwa

    Godoro ni Comfy Limetumika kdg sana Muuzaji yupo Tiptop Manzese Dsm Contact 0654973754 Muuzaji ana hamia mkoani kesho Bei laki 3 vyote
  11. willy ze great

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza Godoro Comfy 5 * 6 inch 8

    Jamaaan nina shida sana hio hela godoro inch 8 kwa laki tu niende kufanya interview Godoro Comfy 5 * 6 inch 8 limetumika miezi nane tu bei tsh 120,000 Bei imeshuka 100,000 0762165498 0778444669 Liko Mabibo karibu na soko la Engo
  12. P

    JamiiForums Tanzania Leo nimetimiza miaka 30, sijawahi miliki hata Godoro

    Baada ya kutimiza huu umri nimejikuta natamka maneno magumu sana education is a lottery ticket not a safe investment. Nimetafuta kazi nimekosa, nimefanya biashara nimefilisika. So nilichobakiza ni kuwalamba wana mizinga ya ten tu ili niishi.
  13. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Hali ya maisha ya zamani ilisaidia kuwajenga vijana shupavu kuanza kupanga chumba na godoro la futi 3 chini.

    Tujikumbushe changamoto za kutanda.
  14. Carleen

    JamiiForums Tanzania Kitanda kizuri kinauzwa 5*6, bila godoro

    Habari, Kitanda kinauzwa 5*6, bila godoro, hakina tatizo lolote na sababu ya kukiuza ni muhusika anahama mkoa kikazi, Location ni Mbezi beach, Bei yake ni 250K, No. ya simu whatsap ni 0764-955-657 na call ni 0686-816804..!!
  15. C

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda, godoro, kabati na sofa

    vinauzwa vipo dar kitanda 6*6 100,000 godoro 80,000 kabat 180,000 sofa 65,000 piga/tuma sms 0625618177
  16. Suley2019

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda na godoro vinauzwa Kimara Baruti

    Kitanda cha chuma Futi 4 kwa 6 pamoja na godoro lake vinauzwa . Bei Shiling laki tatu 300,000/= Mawasiliano: 0623 325 015 Location: Kimara Baruti, Dar es Salaam Karibuni
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Adaiwa kuiba mtoto, achoma godoro ionekane kateketea

    Jeshi la Polisi mkoani Rukwa linamshikilia mwanamke mmoja (jina limehifadhiwa), mkazi wa kijiji cha Msata mkoani Pwani, kwa tuhuma za kumuiba mtoto mwenye umri wa wiki moja na kisha kuchoma godoro alilokuwa amelalia mtoto huyo ili ijulikane ameteketea kwa moto. Tukio hilo lilitokea Juni 11...
  18. Alex Hamadi Hamis

    JamiiForums Tanzania Natafuta godoro used 5*6 inches 8

    Nahitaji godoro used, 5 kwa 6. Liwe kati ya inches 6 au 8. Nipo Sinza A, karibu na Mlimani City. Tuwasiliane kwa +255683018095
  19. Alex Hamadi Hamis

    JamiiForums Tanzania Nahitaji godoro (5x6, 8inches)

    Nahitaji godoro used, 5 kwa 6. Liwe kati ya inches 6 au 8. Nipo Sinza A, karibu na Mlimani City. Tuwasiliane kwa +255683018095
  20. Display Name

    JamiiForums Tanzania Watu wanalala bwana! Drake analalia godoro lenye thamani ya takriban Tsh. Bilioni 1

    Chile!! IONO how y’all are sleeping, but Drake is apparently out here sleeping like a King!! He already told us he only loves his BED and his MUM, so it’s no surprise that Drake’s mattress reportedly costs a whole $395,000. I know people whose whole houses cost less than that, let alone their...
Back
Top Bottom