Natafuta Chumba, Kitanda na godoro 4x6

Yesu Anakuja

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
10,622
21,455
Kuna kabiashara kangu hapa DSM, nimeleta mfanyakazi toka mkoani, nahitaji kumpangishia chumba kimoja self,

1. Chumba 1 self maeneo ya Kawe, mwenge, msasani, au popote nitachagua nikipapenda
2.kitanda 1 futi 4x6
3.godoro 1 futi 4x6

kama kuna anayeuza hivyo, tuwasiliane.
 
Mimi ntakuuzia shuka afu3 tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom