godoro

  1. G

    JamiiForums Tanzania Nauza godoro super banco 6*6 inch 6

    Godoro ni super banco limetumika miezi 7 ni kama jipya. Linapatikana Mwanza kirumba Mawasiliano: 0745352352 Bei: 150,000 tzs
  2. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Kijana anayeanza maisha usinunue godoro nunua mkeka huo huo kiti huo huo kitanda

    Vijana wengi kuanza maisha hupata shida waanzaje. Tafuta elfu tano nunua mkeka huo huo utautumia Kama kiti Cha kukaaa wewe na wageni wako na hapo hapo ujautumia Kama kitanda kulala usiku.
  3. msemakweli2

    JamiiForums Tanzania Tunaokaa watumishi wa serikali Dodoma chumba kimoja na godoro tukutane hapa

    Kimsingi watumishi wa umma wengi tuliohamishiwa Dodoma tunaishi maisha ya ajabu sana, bado hatujakubali kwamba ngoma ndio ishatoka hiyo na kifupi ikirudi ni panchaaa!wengi wetu tumepanga chumba kimoja ndani kuna gororo tumeweka chini basi. Wengi wetu muda wa kazi ukiisha tunazugazuga pale...
  4. simon baker

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Kitanda na Godoro vyote vipya vinauzwa mbeya (4*6) 150k

    Habari... nimehama mbeya, nimeacha kitanda na godoro 4*6 nimetumia mwezi mmoja(20days)... bei 150k fixed... karibuni..kama utahitaji kukiona tiwasiliane 0742900511
  5. isackjr

    JamiiForums Tanzania Kitanda na godoro lake

    Kitanda kinauzwa na godoro lake kimetumika Miezi mitatu tu Call 0673864333
Back
Top Bottom