godoro

  1. Lycaon pictus

    Unalitambuaje godoro feki?

    Salama wakuu. Nilinunua godoro la Vita Supreme. Limekuwa gumu kama jiwe hadi linaumiza. Napata mashaka labda ni feki. Unatambuaje godoro feki? Maana nimesikia kuna watu wanayafyatua vichochoroni.
  2. kiss ov love

    Nataka kununua godoro kampuni hii, ushauri

    Nataka kununua godoro la spring kampuni hii, ushauri kwa waliowahi kutumia
  3. Technophilic Pool

    Godoro gani ni zuri na linadumu kati ya haya? Nashindwa kuchagua

    Bomba-8inch-250k Super bango-8inch-220k Arusha delux-8inch-230k Arusha delux-8inch-180k Hizi brand ni mpya inaniwea ngumu kuzijua vizuri
  4. Z

    Nauza godoro la 3 kwa 6 kwa 55k. Ni jipya halijatumika kabisa

    Nauza godoro la 3 kwa 6 inch 6 kwa 55K ni jipya halijawahi kutumika kabisa
  5. Hammer11

    Godoro kutoka mombasa kuja tanga

    Wadau niko na mattress natak iende tanga niko mombasa vip naweza kusafiri nayoo sio mpya ni ya kitamboo kidogo jeee nafanyajeee ifike tanga nikawape ndugu zangu ni godoro la 5 ×6
  6. ellie24

    Godoro safi la kulalia

    Habari wanajamii, Jamani naulizia ni godoro la aina gan ambalo ni zuri sana (OG) na bei zake na yanapatikana wap kwa ajili ya watu wazima hasa wa wazee. Mama yangu anakuja mjini kutibiwa nahitaji kununua godoro zuri kwa ajili yake.. Naomba mapendekezo tafadhari lakin wandugu.
  7. Baba Ndubwi

    Nahitaji godoro na air cooler

    Habari wakuu.... Nahitaji godoro liwe 5*6 kuanzia inch 8 na kuendelea. Mahali linapohitajika:Unguja Zanzibar Bajeti Iko vizuri wewe taja bei kulingana na ubora. Air cooler inayotakiwa ni Orient 30L Au DSP 5L
  8. Mapenzi Kudadenya

    Kava za kuvalisha godoro

    Naomba kuuliza wapi naweza kupata kava za kuvalishia godoro maan kava yake imetoka na kuwa uchi inasumbua kwenye kuhama 💔😂 nipo dar
  9. Mr No fair

    Biashara ya kuvalishia godoro lililochanika kitambaa au kure pair GOdoro lililochakaa

    Nina lengo la kuagiza machine nje kwaajili ya biashara hii nadhani ni Mpya nachowaza sana ni soko na namna ya kuitangaza
  10. M

    Kitanda, godoro na meza vinauzwa. Shule ya udsm imeshaisha hivyo ndio tunarudi kijijini kwetu

    Habari wadau. Nauza kitanda cha chuma 5 x 6 na godoro lake. Kwa kitanda peke yake bei 130,000 Godoro bei 80,000 Meza bei 50,000 Namba ya simu 0754 003 715
  11. R

    Nauza godoro la QFL Dodoma 100k

    Habarini godoro naliuza nilinunua 140k hapo mwez 5 sasa ivi naliuza 100k lina miezi miwili tu toka linunuliwe hapo nilipiga picha wakati nimelinunua nimetumia miezi 2 tu nasisitiza LC 5×6 Jaman bei haishuki chini ya 100K. Lipo katika hali nzuri kabisa halina shida ni vile tu shida zangu...
  12. D

    Nauza godoro qfl dodoma 140k LC 5×6

    Habari ndugu zangu kuna godoro naliuza qfl dodoma size: LC 5×6 bei 140K( negotiable) nipo dar es salaam. Karibuni sana
  13. jerryempire

    Nauza kitanda na godoro

    Nauza kitanda na godoro Kitanda ni 5/6 mbao ni mninga Godoro ni QFL dodoma nchi 8 ukubwa ni 5/6 Vyote nauza kwa 300k tu sababu ya kuuza ni alikuwa anatumia mwanangu now nmemnunulia vipya Karibu vipo tabata mawenzi 0659756647 calls/whatsapp
  14. 90sgeneration

    Kitanda kizuri sana na godoro lake kinauzwa, angalia

    Kama unavokiona 270 tu na godoro unachukua ni 5*6 ukikipenda kiwahi haraka before kiende #SOLD SOLD SOLD GUYS🙏
  15. B

    Mchepuko kaomba godoro, wapi nitapata kava nzuri za godoro niweke kwenye godoro ambalo silitumii

    Ni hivi penzi bado jipya kabisa. Na kitoto cha elfu 2. Kimeomba godoro. Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya ila nyumbani kwangu Nina godoro ambalo sili tumii. Ni yale magodoro ya elfu themanini yale ambayo yana ma kava laini ya kuingiza na kutoa. Kava tayari lilisha toka...
  16. collinswilliam63

    Nawezaje kujua kama Godoro la Vita Raha ni bandia au halisi?

    Mwenye kujua ubora wa godoro tajwa hapo juu naomba aniambie mana na nikitaka kujua hili ni lenyewe au feki nagunduaje?
  17. R

    Mwanadamu, ujasiri wa kumnyang'anya godoro masikini unayemdai umeupata wapi?

    Salaam,Shalom!! (Mithali 19:17) Amhurumiaye maskini, humkopesha BWANA. Mungu anachukia sana Umaskini, lakini anawapenda sana maskini, Mungu ndiye hufukarisha, na ndiye hutajirisha!! Maskini wa Leo ni tajiri kesho, maana Mungu ndiye huwapandisha maskini na kuwaketisha pamoja na wakuu na...
  18. Kitchener

    Natafuta Chumba, Kitanda na godoro 4x6

    Kuna kabiashara kangu hapa DSM, nimeleta mfanyakazi toka mkoani, nahitaji kumpangishia chumba kimoja self, 1. Chumba 1 self maeneo ya Kawe, mwenge, msasani, au popote nitachagua nikipapenda 2.kitanda 1 futi 4x6 3.godoro 1 futi 4x6 kama kuna anayeuza hivyo, tuwasiliane.
  19. C

    Ushauri kuhusu uchaguzi wa godoro bora

    Wakubwa,nipo kwenye mchakato wa kununua godoro zuri. Baada ya kufuatilia kwa kina nikagundua godoro la Spring la Tanfoam ndio the best. Sasa baada ya kufika kwa wakala kununua,nimekuta kuna godoro lingine premium,halina spring lakini linanesa sana na bei yake ni juu kidogo kuliko la Spring...
  20. Pdidy

    Mikopo ya kausha damu ipo mtaani, tuwe makini

    Dakika kadhaa zilizopita nilikutana na maajabu hapa mtaani kwetu Wamekuja wanaojiita maofisa wa kausha damu wako na mjumbe na mwenyekiti wa serikali za mitaa na polisi wawiili wakaingia kwenye nyumba moja ya mdada Dada akagoma kufungua, wakaenda upande wa chumbani wakaita wakasogeza pazia...
Back
Top Bottom