godbless lema

Godbless Jonathan Lema (born 26 October 1976) is a Tanzanian Chadema politician and Member of Parliament for Arusha City constituency from 2010 to 2015. He was also a candidate for the same constituency in the 2015 general election which was conducted on 25 October 2015. However, the parliamentary election for Arusha Constituency had to be postponed following the death of Estomoh Malya who was the parliamentary candidate for the Alliance for Change and Transparency, a newly established opposition political party in Tanzania.
The by-election was scheduled for 13 December 2015 and Lema was expected to win since Arusha is one of the Chadema strongholds. In the October 2015 general election, his party won 23 out of 24 members of the Arusha City Council. Lema has been vocal and well known following his activists politics against the ruling Chama cha Mapinduzi. He led a number of political rallies and protests against the government and CCM, some of which resulted in serious injuries and deaths after fierce police confrontation. However, his leadership increased Chadema popularity in the Northern City of Arusha and for the first time, its council is led by the opposition.In 2020 he moved to Canada as a refugee, after being arrested without cause in a government crackdown on the opposition Chadema party following the 2020 Tanzanian general election.

View More On Wikipedia.org
  1. Tujikumbushe maneno mazito ya Godbless Lema alimwambia Rais Samia, Nilinusurika kuuawa zaidi mara 3

    Mwanasiasa wa muda mrefu katika siasa za Tanzania kutoka ndani ya CHADEMA Godbless Lema aliwahi kuzungumza mambo mazito sana kuhusu uongozi wa Rais Samia huku akimsii sana kwenye kauli zake na namna ya kuliongozo taifa zima la Tanzania Mh Rais wetu nimekusikiliza zaidi ya mara 20, Mh Rais wewe...
  2. R

    Ujumbe wa Jumapili toka kwa Godbless Lema: Kwanini tuko duniani

    Usipokuwa makini katika maisha na kutafakari kwa kina, unaweza kujikuta unaishi bila kusudi. Ukizaliwa, unaishi kwa ajili ya kula, kunywa, mapenzi, kuzaa, kuzeeka na hatimaye kufa. Kukosa purpose ya maisha ni tatizo kubwa sana, na ndilo chimbuko la ujinga na upumbavu kutawala duniani. Bila...
  3. Kenani Kihongosi upo? Huyu ndiye Katibu wa itikadi, uenezi na propaganda wa CCM - Mwigulu Nchemba katika ubora wake. Anaustahili u - PM huyu?

    Tunaishi katika nyakati ambazo ni za ajabu sana, kijana asiyeoa anahangaika hata kupata msichana wa kumpenda, lakini mwanaume aliyeoa ana mahusiano ya siri ( michepuko) zaidi ya mitano. Imagine this guy ni kiongozi? =========================
  4. R

    Anaandika Godbless Lema: Dhihaka dhidi ya Ukatoliki

    Nina uhakika kinachoendelea dhidi ya Katoliki si mzaha wala burudani, bali ni dharau, dhihaka na kejeli ya wazi dhidi ya Katoliki na Imani ya Kikristo kwa ujumla. Hii ni hatua hatari sana kwa Taifa. Mzaha wa aina hii hauwezi hata kufikiriwa kufanywa na vijana wa Kikristo dhidi ya taasisi za...
  5. DOKEZO Jeshi la Polisi lifuatilie hii kashfa ya OCD Georgina Matage kutaka kumpulizia Godbless Lema pilipili sehemu za siri

    Wakuu kama alichosema Lema ni kweli basi huyu Georgina Matage ni mwanamke katili kwelikweli. Simjui Georgina Matage ila nashindwa kuelewa ujasiri alionao kuweza kumvua nguo mtu mzima kama Lema hadi kuona nyeti zake na kutaka kumpulizia pilipili sehemu za siri. Lema alishawahi kuwa mbunge wangu...
  6. R

    Serious note ya Godbless Lema juu ya mapungufu ya taaluma, utaalamu, uzembe, elimu ndogo, UONGO ndani ya mifumo ya VYOMBO vya Usalama wa Taifa

    Anaandika Godbless J Lema TAARIFA ZA UONGO NA MATESO NA MAUAJI YA RAIA. Mwaka 2011, jijini Arusha, kulitokea sakata zito la mauaji yaliyosababishwa na Polisi kufuatia maandamano ya wananchi waliopinga uchaguzi Meya feki wa Arusha Mjini. Tukio hilo liliacha majeraha makubwa katika mioyo ya...
  7. PostGE2025 Wasanii waanza kutia huruma baada ya Godbless Lema kushauri njia ya kudili na wote wasiosimama pamoja na wananchi, wadai wao siyo chanzo cha shida zao

    Leo asubuhi Lema alitoa ushauri ufuatao wa namna ya kudili na machawa wanajibaraguza wa wanasiasa na kuacha kusimama na wananchi ambao ndiyo nguzo kuu yao: "Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote. Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga...
  8. (Kumbukizi) Lema: Jenista, kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa

    Godbless Lema ni Nabii wa Kweli heshimuni maono yake kuepuka Majanga Godbless Lema akiwa Bungeni aliwahi kusema: "Jenista kwa jinsi unavyopenda Uwaziri siku ukitumbuliwa unaweza ukafa baada ya siku si nyingi. Huwezi ku--defend kila jambo kwa sababu unataka uonekane. Kuna saa unachill, wisdom"
  9. Godbless Lema ampiga za uso Nabii Bashando, umeingia kwenye anga za mtoto wa Mungu utakufa hivi karibuni

    Kuna kutupiana maneno Kati ya Lema na huyu Nabii Sasa kilichotekea ni hivi ====== Post ya juu (nabii_bashando): “Nimekuwa na maombi ya kuutakasa mji wa Arusha na kwa siku sita hatimaye leo nimemaliza…. Ujumbe nilioupata ni juu ya huyu nabii wa CHADEMA kwamba atengeneze mambo ya nyumbani kwake...
  10. PostGE2025 Godbless Lema: Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi

    Hotuba ya Madam Samia imekuwa nzuri kwa sababu imebeba ishara za msaada wa Mwenyezi Mungu juu ya Nchi. Kama Mungu alivyofanya wakati akiwatoa Waisraeli Misri alipouacha moyo wa Farao uwe mgumu ili ajitukuze mbele ya watu wake, vivyo hivyo utukufu wa Mungu umeonekana Tanzania, tunahitaji mambo...
  11. SI KWELI Lema na Sugu wamepongeza tume ya uchunguzi

    LEMA, SUGU WAMPONGEZA DKT. SAMIA KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA UVUNJIFU WA AMANI Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Godbless Lema na Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu wamempongeza Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuunda Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio...
  12. Kumbukizi: Godbless Lema zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, Uislamu na Ukristo ambao hautendi haki, huo ni unafiki wala siyo Udini

    Mjumbe wa kamati kuu ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Godbless Lema kwenye moja ya Mkutano wake wa hadhara alisema; Waislamu sikilizeni, zitaanza Kampeni kupitia Misikitini, nawaambia mimi najua 'game' zinavyochezwa nchi hii, waambieni hivi kwani CHADEMA wanashida na Msikiti?...Sisi...
  13. Q

    PostGE2025 Unabii wa Godbless Lema umetimia, mmeua vyama vya upinzani sasa pambaneni na Gen Z

    Godbless Lema aliwahi kusema kuna siku mtavililia vyama vya upinzani viwasemee hamtavipata. Godbless Lema: Kuna siku mtavililia vyama vya Upinzani viwasemee hamtavipata Gen Z hawana ofisi viongozi wao hawajulikani mmebaki kuwaonea viongozi wa Chadema mnaowajua na mnafahamu ofisi zao zilipo...
  14. Kumbukizi Godbless Lema: Samia alipokuwa Rais, nikamkumbuka Zamda. Nikasema moyoni Samia hana dhambi

    Sema wakati Samia anaanza uongozi wake watu walikuwa wanampenda sana Huyu hapa ni Godbless Lema mwaka 2021 akiandika maneno mazuri kuhusu Samia. Yaani ilikfikia kipindi Lema alimfananisha Samia na x kama sio crush wake. Nini kimetokea hapa katikati mpaka mambo yamekuwa mabaya kiasi hiki? Ni...
  15. Godbless Lema amfungulia kesi Ndolezi Petro wa ACT, anadai Tsh. Bilion 1 kwa kuchafuliwa

    RE: NOTICE OF DEMAND FOR RETRACTION, APOLOGY & PAYMENT OF DAMAGES FOR DEFAMATION AGAINST HON. GODBLESS JONATHAN LEMA We act for Honourable Godbless Jonathan Lema (“our Client”). It has come to our Client’s attention that on or about 14th Nov 2025, you published on the social media platform...
  16. PostGE2025 Lema: CCM kutumia dini kutetea makosa yenu si sahihi, nchi inaweza kuingia katika mgogoro mkubwa wa kidini

    Godbless Lema ameonya kuwa “endapo vitendo vya upumbavu havitazuiwa, nchi inaweza kuingia katika mgogoro mkubwa wa uhasama wa kidini.” Kwa mujibu wa Lema, haiwezekani kuficha uovu kwa kujificha nyuma ya dini, akisisitiza kuwa CCM kutumia dini kutetea makosa ni njia isiyo sahihi na inaweza...
  17. PostGE2025 Godbless Lema: Viongozi wa dini Makanisa yanafungwa mko kimya, kazi yenu sio kula keki na mamlaka kazi yenu ni kusema UKWELI

    Godbless Lema, aliyewahi kuwa Mbunge wa Arusha Mjini na kwa sasa Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, amewakosoa vikali viongozi wa dini nchini kwa ukimya wao katika kipindi ambacho taifa limejeruhiwa na mauaji ya raia wasio na hatia, akisema viongozi hao wamekuwa wakiona matukio makubwa yakitokea...
  18. PostGE2025 Lema: Nilipokuwa lockup Osterbay, sero ya pembeni yangu kulikuwa na wasichana wengi walikuwa wanaomba na kuimba usiku kucha

    Nilipokuwa lockup Osterbay, sero ya pembeni yangu kulikuwa na wasichana wengi wadogo wa kike walikuwa wanaomba na kuimba.Nafikiri waliimba na kuomba usiku kucha na asubuhi pia. Nami nikajikuta nasema moyoni , hata kama Mungu yuko busy sana huko aliko , lakini nina uhakika kuwa haya maombi ya...
  19. GE2025 Godbless Lema amekamatwa leo Novemba 08, 2025 maeneo ya USA River, Arusha

    ‪Kufuatia taarifa kwa umma iliyotolewa na Jeshi la Polisi 07/11/25 na kutaja orodha ya watu 10 ambao linawasaka ili kuwakamata katika orodha hiyo akiwepo Godbless J. Lema, leo 08/11/25, Godbless Lema amekamatwa maeneo ya USA River, Arusha akiwa na dereva wake na ameingizwa kwenye gari aina ya...
  20. Godbless Lema: Mungu hawezi kupuuza machozi ya waja wake. Atalipa kwa wakati wake, haki itatimia

    Godbless Lema anaandika kupitia ukurasa wake kwenye mtandao wa X, Mlisali, mkafunga na mkamwomba Mungu kwa dua na machozi. Maombi yenu yamefika mbinguni. Mnafikiri haya mauaji na mateso ya watoto wenu ndiyo majibu kutoka kwa Mungu? Hapana. Msihofu. Mungu yupo, na bado anafanya kazi yake kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…