ghorofa

Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
  1. Ujenzi Mbovu: Kenya pia ghorofa laanguka

    https://www.youtube.com/watch?v=dfhBGUUZnF0 Ujenzi usiofuata viwango ni hatari kwa jamii.
  2. Gharama ya ujenzi wa Ghorofa Moja Kwa maeneo ya kijijini ni shilingi ngapi

    Habari zenu mafundi nataka kujua ni kiasi gani naweza kujengewa Ghorofa moja kwa maeneo ya kijijini Nataka kujua bei tu ya ufundi mbali na vifaa vya ujenzi maana kuna sehemu nilipata majibu ya kushangaza na kustaajabisha kuhusiana na ujenzi wa Ghorofa Napenda kupata majibu kutoka mafundi...
  3. U

    News alert Kiongozi mwandamizi Hezbollah Wafiq Safa anusurika shambulizi ndege za IDF zikilipuwa jengo kubwa la ghorofa Lebanon, 22 wauawa

    October 11, 2024 LATEST UPDATES ON WAFIW SAFA CONDITION FOLLOWING IDF AIRSTRIKE IN BEIRUT Report: Hezbollah official Wafiq Safa in critical condition after airstrike in Beirut Today, 1:55 pm 13 Sky News Arabia reports that Hezbollah’s Liason and Coordination Unit chief Wafiq Safa is in...
  4. Ghorofa za Afrika ni lazima ziwe na balcony, balcony huongeza gharama za ujenzi

    Inawezekana ni kwasababu ya hali ya hewa, ghorofa za Ulaya Mara nyingi huwa hazina balcony.
  5. Machawa wanapata wapi pesa? Aristote amjengea ghorofa la kwenda mlinzi wake

    Kwenye kipindi ambacho Watanzania wengi wanaishi kwenye vibanda umiza, mfanyabiashara na chawa maarufu nchini Aristote ameshusha bonge la ghorofa maalum kama sehemu ambayo mlinzi wake atakuwa anaishi yaani Servants Quarters Aristote alitumia ukurasa wake wa Instagram kuonesha ghorofa hilo...
  6. N

    Gharama za ujenzi wa ghorofa (labour charge)

    Habari za leo wakuu Nina plan kujenga kagorofa total ocuppied space ya mjengo ni 238sq Nataman kujua makisio ya labour charge kama fundi, Natamani kujua makisio kwa floor 14*17 Naombeni msaada
  7. GHOROFA INAUZWA BEI MIL 750

    IPO KINYEREZI KIBAGA KWA WASHUA GHOROFA NI YA VYUMBA V4 SEBULE JIKO DINNING PUBLIC TOILET, STOO NJE IPO BOY COTER VYUMBA V2 NA CHOO BEI MIL 750 TITTLE DEED MKONONI ENEO SQM 1200 KARIBU SANA MTEJA KARIBU KINYEREZI MKUU UISHI NA MABOSI 0625034172 0755518791
  8. S

    Naomba kujuzwa gharama za ujenzi wa ghorofa za apartment

    Habari za humu wakuu, Hivi gharama rasmi za ujenzi wa ghorofa za economic apartment zikiwa rosheni 8 mpka 10 znaeeza kukadiriwa kwa kias gaan?
  9. N

    Faida na Hasara kwenye (Joint Venture) Mshiriki katika ujenzi wa ghorofa.

    Wataalam wa Biashara na Ujenzi, kuna faida gani kwenye Ushirika kwenye ujenzi JV (Joint Venture ) kwenye ujenzi wa jengo la biashara? Juzi niliandika jengo linatafuta Mwekezaji kujenga au kukarabati, sasa changamoto ninayokutana nayo, wapo baadhi wamependekeza tufanye Ushirika "JV" sasa...
  10. M

    Ujenzi wa ghorofa 1 hatua kwa hatua na makisio ya vifaa

    Wadau nawasabahi. Nimebahatika nimepata kiwanja Eneo la Mkorea njia ya kwenda Kibada chenye ukubwa wa 20mx30m. Mipango yangu nikujikakamua nijenge Ghorofa 1 ya vyumba 3 jiko dinning vyoo na sebule. Ombi kwenu ni makisio na hatua za kufuata za ujenzi pia kama itawezekana kujua idadi ya nondo...
  11. Mwijaku afunguka: Pesa ya kujenga ghorofa nimeitoa kwa Diamond Platnumz

    Ukweli unatuweka huru. Mwijaku aamua kuwa mkweli na kusema kilicho ndani ya moyo wake. Ghorofa lake alilojenga na kutrend mitandaoni pesa imetoka kwa Diamond Platnumz. Hongera mwijaku kwa kuwa muungwana. Pia sifa ziende kwa diamond kwa kuendelea kubadilisha maisha ya watu. Mungu ataendelea...
  12. A

    Tetesi: Wema kuzindua ghorofa lake Valentine's Day

    Hongera Tanzania's sweetheart! Hakika unastahili pongezi Kwa kazi nzuri.
  13. Video: IDF wagundua handaki lenye ghorofa kadhaa kwenda chini

    Hawa magaidi wa dini hizi hela wangezitumia vizuri wangebadilisha maisha ya Wapalestina, yaani miaka yote waliwekeza kwenye miundo mbinu ya kiugaidi tu. Israel wana kila haki ya kufyatua Gaza na kuifanya majivu, haiwezekani unaishi jirani na watu ambao kila siku wanawaza kukufuta kwenye ramani...
  14. B

    Ghorofa refu Tanzania litakuwa hili la TRA DSM, nembo ya jiji

    Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa. https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni ya kitanzania na inaongozwa wa wakurugenzi wawili watanzania. Muonekano wa jiji la Dar es Salaam...
  15. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aruhusu ghorofa lijengwe, wawili wasimamishwa, mmoja arudishwa Wizarani

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Elikana Balandya awasimamishe kazi watumishi wawili wa Jiji la Mwanza huku akiagiza Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa huo arudishwe wizarani na kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Ameagiza ujenzi wa ghorofa uliositishwa na...
  16. Ukuta urefu wa ghorofa tano kulinda faragha ya makazi

    Mkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake. Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu ukuta salama kweli?
  17. KIJANA MDOGO AJENGA GHOROFA

    Hii itutie wivu vijana wote tunaopambana kwani kijana mwenzetu amefanikiwa, nasi tupambame huku tukimtanguliza Mungu ili tufanikiwe. https://youtu.be/GdOnFBCH0PY?si=KeHWVeJMSfvWW1J2
  18. Mtalaka aliyeghushi umiliki wa ghorofa arejeshwa gerezani

    Mtalaka aliyefungwa jela kwa kughushi umiliki wa ghorofa la wanandoa kisha akapewa dhamana kusubiri rufaa aliyokata, amerejeshwa gerezani kumalizia kifungo. Tuwaha Samson Muze, ambaye alikuwa mtunza fedha wa kampuni ya World Wide Movers, alihukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es...
  19. Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs 12×16000= 192,000/= Misumari nch4 kg 25×3500= 87,500/= Misumari nch3 kg 5×3500= 17,500/= Misumari nch2 kg...
  20. Raman ya ghorofa ya kisasa ya kupangisha

    Kama unaitaji nichek 0743257669
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…