ghorofa

Ghorofa ni jengo la ngazi ambalo linaweza kutumiwa na watu (kwa ajili ya maisha, kazi, ghala, burudani, n.k.). Sakafu inayogusana na ardhi huitwa "ghorofa la chini" katika maeneo mengi.
  1. B

    JamiiForums Tanzania Ghorofa refu Tanzania litakuwa hili la TRA DSM, nembo ya jiji

    Msanifu wa majengo Arch. Yassin Mringo kutoka kampuni ya Y&P Architect aeleza kwa undani kuhusu jengo tarajiwa. https://m.youtube.com/watch?v=szHwN2oBSbo Kampuni ya Y&P Architects (T) Ltd ni ya kitanzania na inaongozwa wa wakurugenzi wawili watanzania. Muonekano wa jiji la Dar es Salaam...
  2. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aruhusu ghorofa lijengwe, wawili wasimamishwa, mmoja arudishwa Wizarani

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Bw. Elikana Balandya awasimamishe kazi watumishi wawili wa Jiji la Mwanza huku akiagiza Kamishna Msaidizi wa Ardhi mkoa huo arudishwe wizarani na kuchukuliwa hatua za kinidhamu. Ameagiza ujenzi wa ghorofa uliositishwa na...
  3. simplemind

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ukuta urefu wa ghorofa tano kulinda faragha ya makazi

    Mkazi mmoja wa jiji la Nairobi amejenga ukuta urefu wa ghorafa tano ili kulinda faragha ya makazi yake. Hii ni baada ya ghorafa kujengwa jirani na nyumba yake. Huyu anahatarisha maisha yake -huu ukuta salama kweli?
  4. Kommando muuza madafu

    JamiiForums Tanzania KIJANA MDOGO AJENGA GHOROFA

    Hii itutie wivu vijana wote tunaopambana kwani kijana mwenzetu amefanikiwa, nasi tupambame huku tukimtanguliza Mungu ili tufanikiwe. https://youtu.be/GdOnFBCH0PY?si=KeHWVeJMSfvWW1J2
  5. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mtalaka aliyeghushi umiliki wa ghorofa arejeshwa gerezani

    Mtalaka aliyefungwa jela kwa kughushi umiliki wa ghorofa la wanandoa kisha akapewa dhamana kusubiri rufaa aliyokata, amerejeshwa gerezani kumalizia kifungo. Tuwaha Samson Muze, ambaye alikuwa mtunza fedha wa kampuni ya World Wide Movers, alihukumiwa na Mahakama ya Hakimu Mkazi mkoa wa Dar es...
  6. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Fundi kupaua (mrejesho wa kazi)

    Napatikana kwa namba 0743257669 TUMEKABIDHI KAZI PANDE ZA KIGOGO MABIBO NYUMBA INAUKUBWA WA MITA 4.6 KWA 12M Mbao 4×2 pcs 80×5500= 440,000 Mbao 2×2 pcs 60× 2800= 168,000 Mbao 10×1 pcs 12×16000= 192,000/= Misumari nch4 kg 25×3500= 87,500/= Misumari nch3 kg 5×3500= 17,500/= Misumari nch2 kg...
  7. Mamujay

    JamiiForums Tanzania Raman ya ghorofa ya kisasa ya kupangisha

    Kama unaitaji nichek 0743257669
  8. Mi bishoo tu

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Butimbaru ya ghorofani makutano ya majambazi Bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa

    OCD bunda kuna danguro linalotumia mwamvuli kama Baa maeneo ya uswahilini Bunda,hapa ndipo waporaji wa maeneo mbalimbali ya mkoa wa mara wanapokutana na kuratibu mipango yao yote ya jinsi ya kufanya uovu wao wote. OCD tuma Timu ya wapelelezi kwenye hiyo nyumba na wasiwe maaskari wapenda rushwa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Kodi ya majengo ya ghorofa ni dhulma, haikubaliki

    Mimi nina Kajumba kangu huku uswahilini, kwa sababu ya ufinyu wa eneo nilijiongeza nikawekwa kaghorofa. Sasa serikali inanitaka nilipe elfu 15 kila mwezi. Yupo jirani yangu aliwanunua watu na kupata eneo kubwa, kuliwekea Uzio na kushusha mjengo wa kisasa wa nguvu. Thamani ya jengo la jirani...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Wamesusa Mabehewa ya Ghorofa yaliyofika, Watanganyika wanalia kuuzwa kwa Bandari yao

    Kwa mbwembwe zote Msigwa kawaambia vijana wake wa maelezo wawahi bandarini kuandaa video fupi kuhusu ujio wa mabehewa ya ghorofa ili kuwa hadaa watanzania. Hadi muda huu ile clip na story yake imebuma maana wananchi wamesusa asilani na wanajua mchezo wote unavyokwenda. Gafla wakatoa mkeka wa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hili la Joel ( Joe ) na Kujirusha Kwake hadi Kufa Ghorofa la DERM Makumbusho linaanza kunipa Mashaka Kifikra na Kimtizamo

    Kauli ya Mlinzi kuwa Marehemu Joe alimwomba aende Msikitini Kuswali imenichanganya. Hivi kumbe akina Joel ( Joe ) huwa ni Waislamu? Kauli ya Mkewe kuwa Mumewe aliwahi kumwambia anataka Kuongeza Mke wa Pili na akamkatalia ndipo Mzozo ulipoanza ndiyo imenichanganya zaidi. Hivi kumbe Siku hizi...
  12. HIMARS

    JamiiForums Tanzania Lift ya Jengo la Millenium Towers yaanguka ikiwa na watu, kuzidisha idadi ya Watu kwatajwa kuwa chanzo

    Watu saba wamejeruhiwa baada ya 'lift' katika jengo la Millenium Tower - II, Dar es Salaam kuporomoka kutoka ghorofa ya 10. Jeshi la Zimamoto limesema chanzo ni lift hiyo ambayo imefanyiwa matengenezo karibuni kuzidiwa uzito ambapo waliingia zaidi ya watu 10 kwa wakati mmoja. ---
  13. N

    JamiiForums Tanzania DOKEZO TAHADHARI: Afisa TRA ahatarisha maisha ya wakazi Mbezi Juu Kwa Sanya kwa kujenga ghorofa 4 bila kibali, kwenye msingi dhaifu wa nyumba ya chini

    UPDATE: Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Saad Mtambule ametembelea Mtaa wa Nia Njema Mei 23, 2023, baada ya kusoma post hii ya JF DC aliambatana na Mhandisi wa Wilaya na maafisa wengine. Baada ya kukagua ujenzi wa gorofa hilo, wamebaini kuwa linajengwa bila kibali cha manispaa na chini ya...
  14. benzemah

    JamiiForums Tanzania Kasi ya Rais Samia Usipime, Hospitali Ghorofa Sita Yanukia Mbagala

    Imeandikwa katika gazeti la mzalendo: Kasi ya Rais Dk. Samia Suluhu kufanya mageuzi makubwa nchini inazidi kuleta neema kwa wananchi, safari hi Serikali imekuja na mpango wa kupanua huduma za afya, ikiwemo kujenga hospitali yenye ghorofa sita. Jiji la Dar es Salaam ikiwemo eneo la Mbagala...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Mbunge Samizi achangia ujenzi wa msikiti wa ghorofa Kibondo, Waumini wamtaja Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi leo tarehe 07/04/2023 amemtuma Katibu wake Bi. Dorice Nsekela kumwakilisha kwenye msikiti wa Ijumaa na wa wilaya ya Kibondo ambapo alifanikisha kutoa ahadi aliyoahidi ya kuchangia seruji mifuko 50. Pia, Mbunge wa Njombe...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Mwanachama wa CHADEMA, Kambaya amesema hajajenga nyumba ya ghorofa kwa fedha za ruzuku ya Vyama vya siasa

    Mwanachama wa Chadema ambaye kwa sasa ndio kiongozi wa kuimarisha Chama kanda ya Mwambao wa Bahari ya Hindi Tanga hadi Mtwara amesema ghorofa lake la Mbweni hajalijenga kwa Fedha za Ruzuku ya CUF. Kambaya amesema Yeye ni mfanyabiashara ya magari hivyo Ujenzi wa Jumba hilo la kifahari ni...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Sayansi na Teknolojia: China wajenga jengo la ghorofa tisa (10 storey building) ndani ya saa 28 na dakika 45

    Chinese company Broad Group has erected a modular 10-storey apartment block, named the Living Building, in just over a day in Changsha, China. A timelapse released by Broad Group shows the 10-storey building being erected in China by a large team of workers and three cranes in 28 hours and 45...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine wanajikanyagakanyaga kueleza jinsi ghorofa mjini Dnepr lilivyobomolewa na kombora

    Ghorofa moja wanaloishi raia mjini Dnepr lilibomolewa vibaya na kombora tarehe 14/01/2023. Siku hiyo urusi ilirusha makombora/missiles ikilenga miundombinu ya umeme. Msaidizi wa Rais Zelensky akasema kombora la Urusi lilidunguliwa na air defense za ukraine, halafu kifusi chake ndio...
  19. J

    JamiiForums Tanzania DKT. Hussein Ali Mwinyi afungua shule ya sekondari ya ghorofa Pujini wilaya ya Chakechake - Pemba

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi afungua Skuli ya Ghorofa ya Sekondari Pujini iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa fedha za Uviko-19 Kupitia Shirika la fedha Duniani (IMF). Leo Jumatatu, 📆02 Januari 2023 📍Skuli ya Sekondari...
  20. J

    JamiiForums Tanzania House4Sale Ghorofa inauzwa(imeshuka bei), Dege - Kigamboni

    Habari wana jukwaa..., Nyumba ya ghorofa inauzwa. Ipo Kigamboni sehemu moja inaitwa DEGE,.. ni kama 20 km's kutoka Ferry. Documents zote zipo(Hati). Ghorofa lina vyumba sita vya kulala vyote ni self contained na sitting rooms mbili, moja chini moja juu. Limezungushiwa ukuta na eneo la kiwanja...
Back
Top Bottom