Kuna muda huwa tunabana pesa aidha kwa kununua bidhaa zilizotumika, bidhaa zenye ubora mdogo, kununua kitu cha dili, kujaribu kutumia bidhaa mbadala, n.k.lakini consequences zinatugharimu sana.
Nilikuwa na laptop yangu, upande wa hard disk umelegea, matengenezo ni elf 15, nikajifanya mjuaji...