ghana

Ghana ( (listen)), officially the Republic of Ghana, is a country in West Africa. It spans along the Gulf of Guinea and the Atlantic Ocean, sharing borders with the Ivory Coast in the west, Burkina Faso in the north, Togo in the east, the Gulf of Guinea and the Atlantic Ocean in the south. Ghana covers an area of 238,535 km2 (92,099 sq mi), with a population of 31 million. It is the second-most populous country in West Africa, after Nigeria; and Accra is its capital and largest city.
The first permanent state in the territory of present-day Ghana dates back to the 11th century, the Bono State. Numerous kingdoms and empires emerged over the centuries, of which the most powerful were the Kingdom of Dagbon, and the Ashanti Empire. Beginning in the 15th century, the Portuguese Empire, followed by numerous other European powers, contested the area for trading rights, until the British ultimately established control of the coast by the late 19th century. Following over a century of native resistance, what are now Ghana's borders follow the lines of what were four separate British colonial territories: Gold Coast, Ashanti, the Northern Territories and British Togoland. These were unified as an independent dominion within the Commonwealth of Nations on 6 March 1957.Ghana is a multinational state, home to a variety of ethnic, linguistic and religious groups. According to the 2010 census, the vast majority, or 71.2%, of Ghana's population was Christian, 17.6% was Muslim, and 5.2% practised traditional faiths. Ghana's diverse geography and ecology ranges from coastal savannahs to tropical rain forests. It is a unitary constitutional democracy led by a president who is both head of state and head of the government. Ghana's growing economic prosperity and democratic political system have increased its regional influence in West Africa. It is a member of the Non-Aligned Movement, the African Union, the Economic Community of West African States (ECOWAS), Group of 24 (G24) and the Commonwealth of Nations.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone Mwamba

    Raia wa Ghana ashtakiwa kwa kuendesha utapeli wa kimapenzi uliowaibia Wazee zaidi ya Dola Milioni 8

    Baraza kuu la majaji la shirikisho (federal grand jury) limetoa hati ya mashtaka yenye makosa mawili dhidi ya raia wa Ghana kwa tuhuma za kuwaibia wazee zaidi ya dola milioni 8 kupitia utapeli. Kwa mujibu wa hati ya mashtaka iliyofunguliwa hivi karibuni, Frederick Kumi, anayejulikana pia kama...
  2. Idugunde

    Ni aibu Rais anamkaribisha Rais Wa Ghana kufungua mwaka wa mahakama ya Afrika huku Tanzania ilishajiondoa ili Raia wasifungue kesi

    Tanzania ilijiondoa kupitia ibara 36(4) yq optional protocol to African court of human rights. Ikipinga raia na non governmental kwenda kuishitaki moja kwa moja kwenye hii mahakamama. Hii ni kwa sababu kesi nyingi dhidi ya serikali ya CCM juu ukiukwaji wa haki za binadamu ziliibuka na kuiabisha...
  3. Yesha

    Ghana Seeks Extradition of Russian Man Accused of Secretly Filming Women

    Ghana plans to request the extradition of a Russian man accused of secretly recording sexual encounters with multiple women and sharing the videos online without their consent. Reports from African and Russian media identified the man, in his 30s, as a self-proclaimed “pick-up artist” and online...
  4. M

    Kusafiri kwenda Ghana kunahitaji Visa?

    Habari waungwana, kama kichwa cha habari kisemavyo. Je, kuna uhitaji wa mimi Mtanzania kuwa na Visa iwapo nataka kwenda Ghana? Naelewa kuwa hatuna ubalozi hapa nchini ila sijui nchi zetu zina makubaliano gani.
  5. Agent-47

    PostGE2025 GHANA yasikitishwa na mauaji ya Watanzania yalitokea Oktoba 29. Yasisitiza ufanyike uchunguzi huru na wazi

    HALI YA KISIASA NA HAKI ZA BINADAMU BAADA YA UCHAGUZI TANZANIA Ghana imeona kwa wasiwasi mkubwa hali ya kisiasa na haki za binadamu inayoendelea kwa kasi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia uchaguzi mkuu uliofanyika hivi karibuni Jumatano, tarehe 29 Oktoba 2025. Mazingira ya baada...
  6. simplemind

    Je, Jerry John Rawlings Aliimarisha au Kudhoofisha Demokrasia ya Ghana?

    Jerry John Rawlings anabaki kuwa mmoja wa viongozi mashuhuri na wenye utata mkubwa katika historia ya kisasa ya Ghana. Uongozi wake ulidumu kwa zaidi ya miongo miwili — kuanzia utawala wa kijeshi hadi mfumo wa vyama vingi. Swali la kama aliimarisha au alidhoofisha demokrasia ya Ghana linaweza...
  7. Damaso

    Kifo cha Bahubali: Mamlaka za Ghana zasitisha shughuli za michezo ya Ndondi

    Mchezo wa ndondi na shughuli zote nchini Ghana vimesitishwa kufuatia kifo cha bondia wa uzani wa kati, Ernest Akushey, maarufu kama Bahubali, aliyefariki siku 11, ikiwa ni baada ya pambano lake mjini Accra. Bahubali, mwenye umri wa miaka 32, alifariki dunia siku ya Jumanne. Ingawa chanzo...
  8. R

    Wahamiaji 11 kutoka Marekani waishtaki Serikali ya Ghana kwa Kuzuiliwa kinyume cha Sheria

    Watu 11 waliorejeshwa nchini Ghana kutoka Marekani wameifungulia mashtaka serikali ya taifa hilo, kwa madai ya kuzuiliwa kinyume cha sheria. Wakili wao, Oliver-Barker Vormawor, ameiambia BBC kuwa wateja wake hawajavunja sheria yoyote ya Ghana, lakini walihifadhiwa kwenye kambi ya kijeshi bila...
  9. Mkalukungone Mwamba

    Jaji Mkuu wa Ghana Aenguliwa Kufuatia Tuhuma za Matumizi Mabaya ya Fedha za Umma

    Ghana's President John Mahama has fired the country's Chief Justice Gertrude Torkornoo following a recommendation by an inquiry. She had been on suspension since April after complaints were lodged against her in petitions by three individuals. A president-appointed commission then found that...
  10. Desierto

    Ni kiongozi gani wa serikali ya GHANA alitakiwa mpaka muda huu awe jela?

    ina maana ile serikali ya GHANA wote waliomo mle ndani ni wote watakatifu?
  11. N'yadikwa

    Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  12. Mindyou

    Rais wa Ghana afutilia mbali posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wanaoteuliwa

    Wakuu, Rais wa Ghana, John Dramani Mahama, ameamuru kufutwa mara moja kwa posho za mafuta ya gari kwa viongozi wote wa Serikali ambao wameteuliwa kama sehemu ya kupunguza matumizi ya serikali na kuelekeza fedha za umma kwenye kuboresha sekta za afya, elimu na kwenye serikali za mitaa...
  13. M

    Jamhuri ya Ghana kuifadhili Ukraine kutengeneza drones na Ghana kupata uzoefu wa vita vya Russia na Ukraine ili kuimarisha ulinzi wa mipaka yake

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky, ametangaza kuwa Ghana iko tayari kufadhili uzalishaji wa ndege zisizo na rubani (drones) za Ukraine, baada ya mazungumzo ya simu na Rais wa Ghana, John Dramani Mahama. Taarifa hiyo imetolewa kupitia mtandao wa kijamii X, kwa mujibu wa shirika la habari la...
  14. R

    Rais wa Ghana amasimamisha kazi Jaji Mkuu: Uhuru wa mahakama mashakani

    Sitaki kuandika juu ya sababu za kumsimamisha, my concern is the Idependncy of the Judiciary! Ghana president suspends chief justice in unprecedented move Rais wa Ghana, John Mahama, amemsimamisha kazi Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu – tukio la kwanza katika historia ya nchi hiyo. Uchunguzi...
  15. Dalton elijah

    Bondia wa Nigeria Gabriel Olanrewaju Amefariki Baada ya Kuanguka Wakati wa Pambano la Uzani wa juu Nchini Ghana

    Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya bondia wa Ghana Jon Mbanugu kwenye Uwanja wa Ndondi wa Bukom mjini Accra siku ya Jumamosi Mamlaka ya...
  16. R

    Msanii wa Ghana Shatta Wale agomea show kwa $200,000 baada ya kugundua Diamond kalipwa $600,000 (Tsh Bilioni 1.5) na Davido $500,000 (Tsh Bilioni 1.3)

    Tumezoea kusikia wasanii wa nchi kama Kenya wakilalamika wasanii wa nje kulipwa zaidi yao lakini hawaiachi pesa iende, Huko Ghana hali imekuwa tofauti, bilionea aliita wasanii watoe burudani kwenye Birthday yake, msanii maarufu wa Ghana alipogundua wasanii wa nje wamelipwa zaidi yake alirudisha...
  17. Lycaon pictus

    Hotuba ya Nyerere kwenye mkutano wa wakuu wa nchi huru za Africa mwaka 1964. Nyerere alikuwa na bifu kali sana na Rais Kwame Nkrumah wa Ghana

    HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA UNGUJA MWALIMU JULIUS K. NYERERE KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA NCHI ZA AFRIKA, MJINI CAIRO Tarehe 20 Julai, 1964 NINATAKA kuwaunga mkono katika kutoa shukurani zangu kwa Rais Nasser, serikali yake na kwa watu wa Jamhuri ya Nchi za...
  18. Waufukweni

    Baba Levo adai Diamond amelipwa TSh. 2.7 Bilioni kutumbuiza kwenye birthday ya Bilionea Ghana

    Msanii wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, amewasili Accra, Ghana, kwa ajili ya kutumbuiza kwenye sherehe ya kuzaliwa ya bilionea maarufu wa nchi hiyo, Richard Nii Armah Quaye. Kwa mujibu wa Baba Levo, Diamond amelipwa kiasi cha shilingi bilioni 2.7 za Kitanzania kwa ajili ya kutumbuiza katika...
  19. Damaso

    Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali

    Rais wa Ghana, John Mahama ametangaza marufuku ya safari za Ndege za daraja la kwanza kwa Maafisa wa Serikali wakiwemo Mawaziri ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza matumizi ya Serikali. Aidha Rais Mahama amesisitiza kuwa safari za dharura pekee ndizo zitakubaliwa na lazima zidhinishwe na...
  20. Mindyou

    Sanamu la Rais wa zamani wa Ghana Akufo Addo labomolewa, majigambo na kujitukuza zatajwa kama sababu

    Wakuu, Huko nchini Ghana sanamu ya kumbukumbu ya Rais wa zamani wa Ghana, Nana Akufo-Addo, iliyojengwa mwishoni mwa mwaka jana, imeangushwa. Wakati Akufo-Addo akizindua sanamu hilo Januari (11) katika Mkoa wa Magharibi alikumbana na mapokezi mabaya sana kwenye mitandao ya kijamii, huku wengine...
Back
Top Bottom