gerson msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vituo 672 vya mafuta vilichomwa moto

    Katika mahojiano yake na Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametaja kuwa vituo 672 vilichomwa moto kufuatia vurugu zilizojitokeza Oktoba 29 na siku nyingine. Amesema idadi hiyo ni ile ile aliyowahi kuitaja Waziri Mkuu, licha ya kuwepo kwa taarifa tofauti tofauti kuhusu idadi ya...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa aikana kauli yake ya 'miradi inajengwa kwa pesa zetu'. Asema imefanyiwa 'Spinning'

    One-on-one kati ya mtangazaji nguli Chief Odemba na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, Katika mahojiano hayo, Gerson Msigwa amesema moja ya kauli zake aliyowahi kuitoa hivi karibuni kuhusu Serikali ya Tanzania kujenga miradi kwa fedha zake imepotoshwa. Ameeleza kuwa hakumaanisha...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Mama yangu mzazi yupo hai, mliochapisha hizo taarifa mkazifute

    Mapema jana taarifa za kifo cha Anayedaiwa kuwa mama yake Msigwa zilisambaa katika mitandao ya kijamii. "Kwa mara nyingine naomba kuwajulisha kuwa Mama yangu mzazi YUPO HAI, hajafariki dunia kama ambavyo baadhi ya watu wamechapisha kwenye mitandao yao ya kijamii na kuzua taharuki. Mnasababisha...
  4. Damaso

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa Kwanini umefunga Comment Section?

    Katika ulimwengu wa leo wa kidijitali, mitandao ya kijamii imekuwa si tu sehemu ya mawasiliano, bali pia eneo la kuungana, kufarijiana na kuonesha utu wetu kwa wakati wa furaha na majonzi. Hivyo basi, tangazo la msiba wa mama wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Gerson Msigwa, limeibua mjadala...
  5. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tumpongeze na kumshukuru Msigwa kuharakisha anguko la CCM

    Wengi wamekuwa wakimlaumu Garson Msigwa kwa utopolo aliomwaga akidhani anatetea kitumbua kumbe ndo anakishindilia mchanga. Kwa namna 'alivyojitetea na kutetea' serikali yake, amezidi kuchochea moto. Hivyo, tumpongeze na kumshukuru kwa kuwezesha anguko la CCM kuwa rahisi.
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Larry Madowo: CNN haikualikwa kwenye Mkutano wa Msemaji wa Serikali licha ya kutuma maombi rasmi

    Serikali ya Tanzania imefanya mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habari tangu uchaguzi wenye utata uliofanyika takriban siku 25 zilizopita. Larry Madowo wa CNN ameripoti kuwa mkutano huo ulifanyika baada ya uchunguzi wa CNN kuhusu vifo vilivyotokea wakati wa uchaguzi. Hata hivyo, licha ya...
  7. Miguel255

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa awafundisha CNN Kazi

    Girishoni hajaongea kitaaluma, bali ameongea kisiasa. Nguli wa taaluma ya habari, Walter Lippmann aliwahi kusema "In opinion we seek two sides, but facts have no two sides" Akimaanisha Maoni yana pande mbili, lakini uhalisia hauna pande mbili. Mvua ikinyesha, huhitaji pande mbili ili kuandika...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Msibeze uandishi wangu mimi ni 'Field Journalist' ningekuwa vitani 'Field Marshal'

    “Kuna watu fulani sikuhizi mbili tatu walikuwa wanabeza uwandishi wangu wa Habari Mimi ni Mwandishi wa Habari hasa Tena Field Journalist nimefanya Makubwa nchini ingekuwa Jeshini Vitani ningekuwa FIELD MARSHAL” Labda tujiulize uandishi wa habari wa kuwajibika (responsible journalism) nini...
  9. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Miradi mingi tunajenga kwa fedha zetu, tukikopa tunalipa

    Msemaji wa Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema Serikali itaendelea kutekeleza miradi mbalimbali kwa kutumia fedha za ndani licha ya kuibuka kwa matamko kadhaa kutoka kwa wadau mbalimbali wa maendeleo wa Tanzania ya kusitisha misaada ya kifedha kwa madai ya ukiukwaji wa haki za binadamu...
  10. Heparin

    JamiiForums Tanzania Msigwa na wenzio Serikalini, tabia ya kutuongelesha kwa ukali ikome mara moja. Sisi siyo watoto wenu

    Wazungumzaji na watendaji wa Serikali hii wamekuwa na dharau sana. Kila mara wanapotoka hadharani kuzungumzia masuala mbalimbali wamekuwa na tabia ya kuongea kwa ukali kama sisi ni watoto wao. Rejea mifano ya Chalamila, Muliro, IGP Wambura, Msando, Msigwa na wengine wenye hulka kama hizi...
  11. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa inabidi akumbushwe Hili

    Katika mazingira yoyote ya operesheni za habari, kuna kanuni moja isiyovunjika, inasema "Unaweza kuzuia sauti za ndani, lakini huwezi kudictate vyanzo vya nje." Ndicho kinachomkumba Msigwa sasa. Anajaribu kuextend control mechanism zile zile anazotumia kusimamia leseni za online TV za ndani...
  12. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Nimesoma uandishi wa habari 'It is Unprofessional and unacceptable to publish bad taste images'

    Naomba waliosoma uandishi wa habari kama Msigwa mtuelezee hapa anamaanisha nini:BBRUHH:
  13. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Wanaotoa takwimu za vifo wakati wa uchaguzi ni uchochezi

    Akiongea na waandishi wa Habari, Msemaji wa Serikali amesema idadi ya waliofariki na kujeruhiwa inatakiwa kutolewa na vyanzo rasmi vyenye mamlaka ambavyo vimefanya tathmini, kwa sasa wanaotoa takwimu hizo ni uchochezi.
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza na Vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 amewahakikishia watalii wote kutoka mataifa mbalimabali kuwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania inawakaribisha wote nchi yetu itabaki kuwa ya amani na wazi kupokea wote wanaowiwa kuja...
  15. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Kwa sasa hali ni shwari na vyombo vya ulinzi vianaendelea kuhakikisha usalama

    Akizungumza na vyombo vya habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kutokana na matukio yaliyotokea kwa hali ya usalama wa nchi shwari na kuwa Vyombo vya ulinzi vinaendelea kuhakikisha wananchi pamoja na mali zao wanabakia kuwa salama na matishio yote ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Novemba 23, 2025 na vyombo vya Habari amesema kwamba Serikali ipo tayari kusikiliza wote wenye madukuduku, wenye ushauri na wenye maswali yote yatapokelewa na kufannyiwa kazi hivyo hakuna sababu ya kuharibu nchi yetu
  17. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya habari vya nje vimechapisha na kutangaza taarifa za upande mmoja na kupotosha kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi

    Msemaji Mkuu wa Serikali amedai kuwa Vyombo vya habari vya nje vimeandika habari ya upande mmoja kuhusu machafuko wakati wa uchaguzi "Kumejitokeza wimbi kubwa la vyombo vya habari hasa vyombo vya habari vya nje kuchapisha na kutangaza habari ambazo ni za upande mmoja na wakati mwingine kufanya...
  18. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: CNN imechapisha taarifa zenye tuhuma kwa Serikali pasipo kutoa nafasi ya Serikali kujibu

    Akizungumza na Vyombo vya Habari leo Novemba 23, 2025 Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kwamba kumekuwepo kwa wimbi la vyombo vya habari vya nje kuchapisha habari zinaoegemea upande mmoja kwa kuichafua serikali kisha kutoa sababu Maafisa wa serikali walitafutwa na hawakupatikana...
  19. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CNN na Larry wasema Wana Mamia ya Video na Audio walizozichunguza Kwa Teknolojia.Sasa Gerson Msigwa Njoo na Tamko lako CNN iziachilie zote

    CNN wanapicha Hadi za Watu WALIVYOKUA wanachimba mashimo na kuwatupia Ndugu zetu. Uzuri wa hili ni kwamba Serikali ikijibu ni Moto vilevile Kwan CNN itaachia Mavideo na maushahidi yote , hapo bado BBC ,BBC wanafanga Uchunguzi kamili mpaka sàsa ,nao wataachia Documentary kamili, sio tu BBC...
Back
Top Bottom