"Serikali imefuatilia makala iliyochapishwa muda mfupi uliopita na chombo cha habari cha CNN kuhusu matukio ya tarehe 29 Oktoba, 2025 na siku zilizofuata.Tunachambua na kuhakiki maudhui yaliyomo katika makala hiyo na tamko la Serikali litakuja baada ya kukamilika kwa uhakiki huo". Serikali ya...
Serikali kupitia Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Ndugu Gerson Msigwa amewataka watanzania wajitokeze kupiga kura katika uchaguzi Mkuu ambao unatarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka.
Akizungumza na waandishi wa habari Msegwa amesema kuwa...
Wakuu naona hali inazidi kuwa mbaya kwa Msigwa watu wanajipigia kila mahali ameamua kutoa ufafanuzi kila wakati na sasa amewataka East Africa radio wawe na weledi hii ni kufuatia grafiki iliyosambaa sana kwa siku ya leo ikimuonesha akizungumza huku grafiki ikiwa na ujumbe "Watu kupotea ni...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anasema kumekuwa na michezo ya watu kujifanya wamepotea lakini baada ya uchunguzi wa mamlaka za usalama zinabaini hakuna ukweli ni michezo tu.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, kwa sauti ya mamlaka akemea vikali wanaovunja sheria mtandaoni, kwa kuchapisha matusi na jumbe nyingine zisizojenga kwenye jamii.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akijibu Kapteni Tesha baadaya video yake kusambaa mitandaoni, amesema, Watanzania tusithubutu kucheza na maswala yanayohusu Jeshi letu la Ulinzi hiki ni chombo chetu nyeti, ndiyo taasisi yetu ya mwisho ya kuhakikisha mipaka yetu, na sisi tuko salama.
Soma...
Huyu jamaa anaongea kwa vitisho sana! tusubiri tuone nguvu ya wanachi
-==============
Serikali Itahakikisha Tarehe 29 Oktoba Hakuna Mtu Atakayewazuia Watu Kwenda Kutimiza Haki Yao Ya Kupiga Kura.
Msemaji Mkuu Wa Serikali Na Katibu Mkuu Wa Wizara Ya Habari Sanaa Na Michezo Gerson Msigwa...
Mwacheni aropoke si ndio kazi yake. Lakini abakize akiba ya maneno. Cheo chake ni kidogo sana. Hana mizizi na hana ushawishi wowote kwa watawala na wananchi. Asijisahau tofauti yake na Polepole ni wakati tuu. Tena yeye atapotea na hakuna wakumuulizia zaidi ya familia yake. Na bado.
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema vyombo vya dola vimejiandaa kuhakikisha uchaguzi wa Oktoba 29 unafanyika kwa hali ya utulivu, haki na amani huku akiwataka wananchi kujitokeza kwa wingi bila woga kuwachagua viongozi wanaowataka.
Kuna baadhi ya Watu wamekuwa na tabia ya kwenda Marekani na wakifika huko wanazamia au wanachelewa kurejea ndani ya muda wa Visa ambayo walipewa.
Serikali ya Marekani imeamua kuweka mabadiliko ya maombi ya Visa kwa Nchi kadhaa kama tano au sita, chanzo ni ndugu zetu wanaokwenda na hawarudi...
Mahojiano ya Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa alipozungumza na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025.
Kuhusu Polepole nini kauli ya Serikali
Jeshi la Polisi limeshatangaza kutaka aende akatoe maelezo juu ya kauli...
Mtandaoni kuna maoni hasi dhidi ya Serikali au Viongozi wa Serikali, hamuoni kuna kiwango fulani Wananchi hawapendezwi na kinachoendelea?
Gerson Msigwa: Mengi yanayozungumzwa hayana ushahidi, tatizo hili siyo Tanzania tu, mitandao imekuwa ikitumika vibaya katika Nchi nyingi, sasa hivi kuna AI...
Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amejibu maswali kadhaa wakati wa mahojiano aliyofanya na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025;
Mnadhani kwa nini Maandamano yanapangwa Siku ya Uchaguzi?
Siamini kama Wananchi...
Akizungumza katika mahojiano na Kituo cha UTV, leo Jumatatu Oktoba 13, 2025, Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa anasema:
‘Watanzania wawe na amani, kila kitu kitu kinaenda swa, Oktoba 29 waende wakapige kura, kwa sasa wasikilize wagombea ili ikifika siku hiyo wakafanye maamuzi sahihi.’
Kuhusu...
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anahitaji klabu ya Yanga ijitahidi na kufika fainali ya kombe la mabingwa barani Afrika.
Ameyazungumza hayo akiwa...
Wakuu,
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imekanusha madai yaliyoenea mitandaoni kuwa timu ya Pamba Jiji FC ilifanya mazoezi gizani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
Kupitia taarifa kwa umma iliyotolewa Septemba 23, 2025, wizara imesema timu hiyo iliingia uwanjani bila...
Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo ambaye pia Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa Amezitakia kheri klabu za Tanzania Simba, Yanga pamoja na Singida Black Stars ambazo hii leo zinashiriki katika mashindano ya kimataifa barani Afrika ngazi ya klabu bingwa na shirikisho...
Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema, "Wananchi asiwatishe Mtu yeyote, mko salama, Serikali na Vyombo vyake itafanya lolote linalowezekana kuhakikisha Watanzania hawabugudhiwi kupata haki yao ya kuchagua na kuchaguliwa"
"Tunafahamu hao wanaofanya Kampeni za kuvunja...
Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema, "Lakini natambua kwamba kuna watu wanafanya Kampeni mtandaoni kuhamasisha watu wasishiriki uchaguzi, wanapoteza muda hili ni takwa la kikatiba....huwezi ukaibuka ukasema uchaguzi haupo."
Baada ya kuenea video mbalimbali kwenye Mitandao zikionyesha mashabiki wa Simba walivyokula buyu hawataki salamu, msigwa akaona apost Instagram akileta utetezi kua watu wanazusha tuu salamu iliitikiwa Kwa shangwe kubwa!
Comment zilizoporomoshwa hapo zimekua za kumpinga tuu wananchi wakidai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.