gerson msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Common Folk

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo amshangaa Gerson Msigwa kusema waliovamia Ofisi za Jamiiforums ni Maafisa Usalama

  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Nilishawahi kuandika hapa kumhusu Gerson Msigwa kuwa ni Mtu mwenye Umasikini wa Akili wa Kudumu sikueleweka, ila sasa naamini mmeshanielewa

    Niseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
  3. Mafunzo yote ya Udereva

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Hakuna uvamizi uliofanyika katika Ofisi za JamiiForums

    Hii ndo Tarifa yake "Gerson Msigwa " usiku huu. Hakuna uvamizi uliofanyika katika ofisi za Jamii Forums. Kilichotokea ni utaratibu wa kawaida wa mawasiliano kati ya Mamlaka za Serikali na wadau wake ambapo leo Maafisa wa Serikali walikwenda kuwasilisha barua ya wito kwa Jamii Forums. Ndugu...
  4. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali hatujawahi kwenda kwenye chombo chochote cha habari kufukuza mtu

    Wakuu, Mnakumbuka kuwa kuna waandishi na watangazaji siku hizi hatuwasikii redioni kabisa. Tulivyouliza tukaambiwa kuwa ni kwa sababu hawana taaluma au hawajasomea uandishi wa habari? Alitajwa masoud kipanya, fetty na kina Zembwela Gerson Msigwa akiwa anazungumza leo kwenye kipindi cha...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Serikali inajua kila kitu kinachoendelea. Yoyote anayefanya makosa anaweza kufikiwa

    Akizungumza leo kwenye kipindi cha Clouds 360 cha Clouds TV Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Sanaa, Utamaduni na Michezo Gerson Msigwa alisema: "Nataka niseme kwamba serikali inajua kila kitu kinachoendelea na tunaweza kupata taarifa na tunaweza kumfikia mtu yoyote...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania GE2025 Msigwa: Vyombo vya Habari vitoe nafasi kwa wagombea bila upendeleo

    Kuelekea uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba 29, 2025, Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, amewasihi waandishi wa habari kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa weledi kwa kuwapa nafasi wagombea wote bila upendeleo. Aidha, amesema kuwa wameunda kamati...
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Changamoto ya wagonjwa wa figo nchini inaongezeka kwa kiwango kikubwa. Tusimbeze Profesa Janabi

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema changamoto ya wagonjwa wa figo nchini imeongezeka kwa kiwango kikubwa katika miaka ya hivi karibuni kutokana na watu kutumia lishe isiyo bora, ulaji wa vyakula vyenye mafuta mengi, sukari, kutokufanya mazoezi, unywaji pombe kupita kiasi, matumizi...
  8. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi Gerson Msigwa kazi huwa anafanya muda gani?

    Huyu jamaa nadhani ni upepo tu umemtembelea vizuri,lkn kiuhalisia he is not competent kabisa na hivyo vyeo alivyopewa. Nashindwa kuelewa majukumu yake huwa anafanya saa ngapi coz muda mwingi yuko mitandaoni anapost tu,mara ajipost anasonga ugali,mara ajipost ananyanyua mivyuma ya mazoezi,mara...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali Kukutana na Waandishi wa Habari Leo Sabasaba

    Leo, Juni 29, 2025, Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa, atafanya mkutano muhimu na waandishi wa habari. Mkutano huo utafanyika katika viwanja vya Maonesho ya Kimataifa ya Biashara Sabasaba, jijini Dar es Salaam...
  10. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Msigwa: Sikusema 'Wanao-comment NO reforms NO election tutawapata'

    wakuu ni kweli hakusema? maneno ya "wanao comments No Reforms No election tutawapata" ===== Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, Msemaji mkuu wa serikali ameandika; "Sikusema maneno haya katika taarifa yangu ya jana, Ndugu zangu Waandishi wa Habari tuzingatie USAHIHI (ACCURACY) katika...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Gen Z wote na wanavyuo. Onyesheni hasira kwa Gerson Msigwa kwa kujaribu kuwageuza nyinyi kuku wa kizungu

    Salamu kwenu Gen Z na wanavyuo wote. Baada ya salamu nachukua fursa hii kuwaandikia barua ya uwajibikaji wa kiraia. Msemaji wa serikali bwana Gerson Msigwa ametoka hadharani katika vyombo vya habari huku akifura, akijawa na vitisho kwenu eti msicomment watawala wasiyoyataka mitandaoni. Hii ni...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali anazungumza na Waandishi wa Habari Juni 11, 2025 Dodoma

    Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa anazungumza na waandishi wa habari leo Juni 11, 2025 saa saba na nusu mchana..... ngoja tusubiri kusikia boko litakalotoka kwa serikali leo... Rais alijishikilia kweli juzi na jana, leo watakuwa wanaangusha bomu. =========================== Msemaji Mkuu wa...
  13. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gerson Msigwa ajibu kuhusu vijana waliomzomea UDOM wakisema 'No reforms No election' asema ni walevi wachache waliotumwa kupiga kelele

    Kupitia Instagram story yake Msemaji mkuu wa serikali na katibu mkuu wa wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo Gerson Msigwa ameweka ujumbe unaojibu tukio la kuzomewa jukwaani na wanafunzi wa UDOM wakisema 'No reforms, No election' kwa chochote alichothubutu kukisema jukwaani hapo, ambapo...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Gerson Msigwa azomewa UDOM. Aambiwa No Reforms No election. Atoa vitisho

    Usiku wa kuamkia leo kupitia kwa kinachoitwa tamasha la mama, Gerson Msigwa akiwa UDOM amekumbana na zomea zomea hadi kutoa vitisho. Zomea zomea hiyo ilikuwa akianikizwa na maneno "No reforms No election" Amepewa za uso, kila alilosema likawa linajibiwa kwa shubiri.
  15. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kinachoendelea mitandaoni kuhusu "No Reforms, No Election" ni UPUUZI

    DAR. Kufuatia wimbi la wananchi kujibu posti za viongozi wa Serikali na watu maarufu kwa kampeni ya No Reforms No Election inayotumiwa na CHADEMA, Msemaji mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ni upuuzi akiwataka wajiepushe na kampeni zisizo na tija. No Reforms No Election ni kampeni...
  16. fundi bishoo

    JamiiForums Tanzania Kwanini Gerson Msigwa kafunga comenti instagram ni sahihi naomba kuuliza

    Moja ya post Tumejipanga kusimamia miundombinu ya michezo. Post hiyo upande wa comment imefungwa na Msigwa je hii ipo vipi?
  17. funaku

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa Msemaji wa Serikali Tanzania-Uchaguzi ni sherehe

    Hii ni nukuu muhimu iliyotoka kwa msemaji wa Serikali nchini Tanzania. Kwenye chaguzi zetu wanasiasa huwa wanatumia wasanii mbalimbali hususani wanamuziki kuvutia watu wafike kwenye mikutano na kusikia sera.. Wengi hufika kusikia na kuwaona wanasanaa wa muziki hivyo kwetu Tanzania Uchaguzi...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kauli ya Serikali kuhusu Uwanja wa Mkapa kwa mechi ya fainali ya Simba Vs Berkane

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa ametembelea na kukagua maendeleo ya ukarabati wa Uwanja wa Benjamin Mkapa na kuridhishwa na hatua ya marekebisho na ukarabati wa miundombinu, ufungwaji wa viti vipya, uboreshaji wa vyumba vya...
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Mwandishi wa Habari mnyime kila kitu lakini mpatie uhuru wake

    "Mwandishi wa Habari mnyime kila kitu lakini mpatie uhuru wake kama Mwandishi na usimnyanyase kwenye majukumu yake ya kazi. Nawapongeza Waandishi wa Habari kwa kuendelea kufanya kazi hata katika mazingira magumu. Nawapongeza Waandishi wa Habari kwa kuendelea kulinda matumaini ya Waandishi wa...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa hana kingine cha kuisemea Serikali zaidi ya matamko ya michezo?

    Huyu jamaa asilimia kubwa ya matamko yake ni mambo mepesi mepesi ya kiserikali......kama updates za ujenzi wa viwanja vya mipira na kukabidhi pesa za magoli ya mama. Hivi kweli amekosa kingine cha kuisemea serikali nje ya mambo ya kimizaha mizaha...amekuwa kama Ahmed Ally wa Simba sc Sioni...
Back
Top Bottom