gerson msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Mwaka huu Serikali itanunua ndege 4 aina ya Bombadier Q400

    Wakuu, Haya ndugu zangu, Akizungumza leo, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa mwaka huu Serikali ya Samia itanunua ndege 4 ikiwa ni sehemu ya kukamilisha ilani ya CCM ambayo ilisema kuwa ndani ya miaka 5 itanunua ndege 8
  2. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa apinga taarifa ya The Guardian iliyodai michuano ya AFCON iko mbioni kuahirishwa

    Wakuu, Akizungumza na The Citizen, Msemaji Mkuu wa Serikali na Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amesema kwamba taarifa zinazosambaa mitandaoni zikidai Tanzania, Kenya na Uganda haziko tayari kuwa ni propaganda, akisema Tanzania imewekeza dola za...
  3. McLaren

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Msigwa na jinsi upepo ulivyo hapa kuna maridhiano kweli?

    Wakuu, Natafakari tu. Juzi tulimsikia Msigwa akisema plain and open kuwa hakuna mtu atakayelazimishwa kuingia kwenye maridhiano. Hii kauli ya Msigwa haitofautiani sana na zile kauli walizokuwa wakitoa CCM kipindi kile cha Uchaguzi. Walikuwa wanasema kabisa kwamba kama CHADEMA hawataki...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Maridhiano ni jambo la hiari sio kulazimishwa

    "Maridhiano ni jambo la hiari" Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa akizungumza Februari 10, 2026 katika mahojiano na BBC Swahili, amesema endapo kutakuwa na wadau watakaokataa kushiriki kwenye maridhiano mara mchakato huo utakapoanza, hawatalazimishwa kufanya hivyo kwani kushiriki kwenye...
  5. McLaren

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Naibu Waziri hakueleweka vizuri. Serikali hatujakosa pesa za kujenga uwanja wa Arusha

    Wakuu, Msemaji wa Serikali na Katibu mkuu wizara ya Habari, Sanaa, Tamaduni na Michezo Gerson Msigwa afafanua ukweli kuhusu taarifa ambazo zinaeleza kuwa uwanja wa Arusha umekosa hela za kumalizia ujenzi. SomaPia:Tanzania yaomba msaada China kukamilisha ujenzi wa miundombinu ya AFCON 2027...
  6. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Wakisitisha misaada TUTAJITEGEMEA kwa sababu sehemu kubwa ya bajeti ni makusanyo yetu

    Wakuu, Msikilizeni Msemaji Mkuu wa Serikali akiwa anazungumza leo kuhusu suala zima la misaada. Mmenotice hajawaita mabeberu bali "wadau wa maendeleo?" Ila najiuliza kama Tanzania tunajiweza tunapitishaga bakuli la nini? Au mabeberu wanatushobokea kutokana na "madini yetu" guys? "Kwa...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Tunategemea Mkataba na DP World kudumu miaka 30

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa akizungumza leo Januari 20, 2026 na vyombo vya habari amesema serikali mkataba NA DP World kudumu kwa miaka 30 Aidha ameeleza kuwa malengo yaliyowekwa na serikali ilikuwa kuwekeza dola Milioni 250 kwa kipindi cha miaka 5 ambapo ndani ya 2021 hadi 2022...
  8. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Treni ya SGR haijaharibika Morogoro- Dodoma kilichotokea ni tahadhari

    Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kusitishwa kwa safari za treni kati ya Morogoro na Dodoma hakutokani na kuharibika kwa reli bali ni hatua za kitahadhari ili kudhibiti tishio la mito iloyojaa isiharibu miundombinu hiyo. Akizungumza na Ayo Tv leo kwa njia ya simu...
  9. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Msemaji Mkuu wa Serikali: Wachina wataiendesha reli ya TAZARA kwa miaka 30 ili kupunguza mzigo kwa serikali

    Katibu Mkuu na Msemaji Mkuu wa Serikali Bw. Gerson Msigwa amewahakikishia Watanzania kuwa mkataba ambao Tanzania na Zambia zimeingia na China wa uboreshaji wa reli ya TAZARA utakuwa na manufaa makubwa kwa Tanzania kiuchumi na kijamii.Msigwa aliyekuwa akitoa ufafanuzi kufuatia baadhi ya watumiaji...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Wamarekani wamwambia Msigwa aache kumfanyia Kiongozi wa Republican Propaganda za uongo

    Ni baada ya Msigwa kutoa taarifa ya kwamba, Waziri wa mambo ya Nje Kombo amekutana na kiongozi wa Republican Brian Mast na kuahidi kumsaidia. Wamemwambia, "Sisi walipa kodi wa Marekani tutahakikisha kuwa unawajibika kwa matendo yako". Ikumbukwe kwamba serikali ya Tanzania inahaha kupata mtu...
  11. Damaso

    JamiiForums Tanzania Pikipiki kwa Miaka 39 ya Utumishi, hii sio heshima bali Kejeli

    Kauli ya Msemaji wa Serikali, Gerson Msigwa, kuhusu kumuaga rasmi Bw. Mfaume Ramadhan baada ya miaka 39 ya utumishi wa umma imeibua mjadala mpana wenye maswali mazito kuliko majibu. Miaka thelathini na tisa si wiki mbili, wala si ajira ya muda mfupi. Ni karibu maisha yote ya mtu—ujana, utu...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chief Spokesperson Gerson Msigwa: Tanzania can fund its budget without foreign aid

    Chief government spokesperson Gerson Msigwa has assured that Tanzania can implement its national budget without relying on foreign assistance, even if such aid does not materialise. Speaking on Saturday, December, 6 2025, during a special interview with Star TV, Mr Msigwa addressed national...
  13. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Kufanya maandamno Desemba 9 ni kuvunja sheria

    "Kesho ni siku ambayo Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan aliitangaza hakutakuwa na sherehe lakini hatutarajii kesho kuna watu watathubutu kuvunja sheria kwa kufanya matendo ambayo yanavunja amani. "Na tukio lolote la kufanya maandamano kesho ni kuvunja sheria. Hatutarajii kuwepo kwa maandamano kwa...
  14. Idugunde

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa yupo sawa?.Kama X wanakiuka sheria za nchi kwa nini anaitumia kutolea taarifa?

    Kitendo cha X kuvunja sheria za nchi na mkawaambia wajirekebishea ili muwafungulie. Na wao hawajajirekebisha hili kosa . Kama ni kosa kwa nini wewe undelee kulitumia kama njia ya kupeleka habari?
  15. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Twitter (X) itafunguliwa pale tutakapokubaliana namna watakavyoendesha jukwaa lao nchini Tanzania

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Twitter (X) itafunguliwa pale ambapo tutakapokubaliana namna watakavyoendesha jukwaa lao nchini Tanzania.
  16. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Vyombo vya ulinzi viko tayari wakati wowote kuelekea Desemba 9

    "Vyombo vyetu vya usalama kama ilivyo leo, ilivyokuwa jana, ndivyo itakavyokuwa tarehe 9 na siku zinazofuata. Vyombo vyetu vya ulinzi na usalama wakati wote viko tayari kuhakikisha watu wako salama, mali zao ziko salama, mipaka ya nchi yetu iko salama." Gerson Msigwa, Msemaji Mkuu wa Serikali
  17. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: sikuvipongeza vyombo vya habari kwa kutokutoa taarifa, niliwapongeza kwa kufanya uandishi wa habari wa uwajibikaji

    Akizungumza na mtangazaji Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa madai kuwa aliwapongeza vyombo vya habari kwa kutokutoa taarifa ni upotoshaji. Pia Soma: Msigwa: Nawapongeza vyombo vya habari nchini, mpo sahihi sana, sio lazima tuige mtindo wa kuishambulia nchi yetu
  18. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msemaji wa Serikali: Si Vizuri Viongozi wa dini kutoa matamko yenye uchochezi

    Msemaji wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa viongozi wa dini nchini wanapaswa kuhubiri amani na upendo, badala ya kutoa matamko yanayoweza kuashiria uchochezi. Ameeleza kuwa mara kwa mara Serikali hufanya mazungumzo na viongozi wa dini pale inapobaini kuwa mambo hayaendi vizuri. Msigwa...
  19. Think2

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Msigwa: Baadhi ya picha za mauaji niza Uongo kwa mfano Picha za “uvamizi” wa uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere zilikuwa za mwaka 2021

    Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa baadhi ya picha zilizokuwa zikisambaa zikidai kuonyesha kuwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) umevamiwa si za matukio ya sasa. Ameeleza kuwa picha hizo zilipigwa mwaka 2021, wakati wa usafirishaji wa mwili wa Hayati Rais...
  20. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gerson Msigwa: Tanzania haiwezi kupewa maelekezo na CNN. Huwezi kutengeneza makala kwa ushahidi wa video za WhatsApp

    Akizungumza katika mahojiano na mtangazaji Chief Odemba, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa mwandishi wa chombo kikubwa cha habari kama CNN hawezi kuandaa makala kwa kukusanya picha na video zilizosambaa kupitia WhatsApp pekee. Katika kauli yake, Msigwa alisisitiza umuhimu wa...
Back
Top Bottom