gerson msigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anashiriki kukandamiza vijana kwenye umasikini, ujinga

    Katika hotuba yake ya hivi karibuni mkoani Njombe, Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson alitoa maagizo yanayoshtua. Baada ya kuwaonya watumishi wa umma dhidi ya kuvujisha "siri za serikali," alitangaza kwa fahari kuwa zaidi ya vijana 400 wa Kitanzania wamekamatwa kwa kutoa lugha za matusi kwenye...
  2. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anaona Wazungu kila hatua wanayofanya sio kitu, eti: 'Sio Uamuzi wa Mwisho'

    Mpaka pale Bunge Litakapopiga Kura Rasimi , ndio atakuja kusema 'wale ni mabeberu, tutaendesha NCHI kwa Kodi zetu'. Jamaa alivyo , Utetezi wake kwa Hatua ambazo MAREKANI na Ulaya wamekua wanazichukua ni ule ule 'Huo sio Uamuzi wa Mwisho'". JAMBO LA MUDA, ni kua Wàmerekan na Ulaya, Kila jambo...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu wapunguze vichambo na vitisho wanatakiwa kujifunza kufanya mambo proffessionally

    Hivi tangu lini ukamuona msemaji wa Serikali wa Marekani anasimama na kuanza kuchamba raia au wafanyakazi wengine? --------------------- Nimesikiliza speech ya Msigwa jana yaani amenikera alichokuwa anataka kukiwasilisha kilikuwa ni kina maana lakini uwasilishaji ni sifuri. Hata kama ni maafisa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa akanusha taarifa zinazosambaa Mtandaoni Serikali kuzuia Watengeneza Maudhui wa Kenya Kuingia Tanzania

    Juni 8, 2026, Ukurasa wa Instagram 'switch Tv ke' ilichapisha taarifa orodha ya watengeneza maudhui wa Kenya kama vile Mjaka Mfine, Mokaya, na Malcolm kupigwa marufuku kuingia Tanzania na Zanzibar kufuatia vichekesho (skits) wanavyotengeneza kuhusu Rais wa Tanzania. Leo Juni 10, 2026, Katibu...
  5. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kuna baadhi ya Halmashauri kupitia Mfumo wa Tausi wanatoa muda mfupi sana kulipia viwanja

    Wizara ya Ardhi pamoja na TAMISEMI zinapaswa kulitazama kwa makini suala la uuzaji wa viwanja kupitia mfumo wa Tausi, hususan kuhusu muda unaotolewa kwa wanunuzi kukamilisha malipo. Kwa sasa, baadhi ya halmashauri hutoa muda mfupi sana wa kulipia viwanja hivyo. Kuna maeneo ambapo mnunuzi...
  6. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Kabla ya 2030 tutanunua ndege nyingine 40

    Akizungumza jijini Mwanza jana Jumanne, Juni 2, 2026, wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Wanamawasiliano wa Serikali, Gerson Msigwa amefichua kuwa kuanzia Julai 1, 2026, Tanzania itaanza rasmi kutekeleza Dira Mpya ya Taifa ya Maendeleo ya 2050 inayolenga kukuza uchumi wa nchi kutoka...
  7. Think2

    JamiiForums Tanzania Gerson msigwa :Serikali haiwalipi mastaa kuja Tanzania wanakuja kutokana na ukaribu na mheshiwa waziri Makonda

    Msigwa wadanganye watoto wako tu star mkubwa wa ball duniani aje bure ajilipie gharama zote za passport kuja tanzania kisa ameitwa na Makonda? Usikute hata ulaya hawamjui msukuma Makonda 😂 😂 na hilo trako lake kubwa 😂 Tusifiche ukweli tuwambie watanzania pesa zao za kodi wanalipwa hawa mastaa...
  8. Think2

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Nimetembea Kilometa 80 kwenda shule

    Kwa uhalisia tu haiwezekani KM 80? Yaani sawa na Mita 80000 kwa miguu huyu jamaa amekubuhu kwa uongo hizo kilometa unafika shule wenzio washatawanyika unarudi nyumbani usiku unafika asubuhi afu tena urudi shule 😂. Gerson huu umbali unaosema wewe sio kweli labda kama umekosa cha kusema. Kwa...
  9. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa awajia juu waliomkosoa kuita wananchi Nguchiro asema 'Wewe kama siyo Nguchiro kime kuuma nini?'

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, anaweka wazi juu ya watu walioweka namba yake ya simu mtandaoni na watu wengine kutumia namba hiyo kumrushia matusi.
  10. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa anadai watu 80 wamekamatwa na wapo vituo vya polisi. Kama wana hatia kwa nini zaidi ya masaa 24 hawajapelekwa mahakamani?

    Msigwa amejitapa kuwa dunia ya sasa ipo juu kiteknolojia. Ndio maana waliomkamata wametiwa mbaroni na polisi. Haya sasa hivi ni zaidi ya masaa 24 kwq nini hawajap3lekwa mahakamani kwa mujipu wa sheria? Kama hawana hatia waaachiwe.
  11. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Vijana msinitukane mtakamatwa tu, Polisi wameshakusanya zaidi ya Watu 80

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, sanaa na michezo, ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa amesema kwa bahati mbaya wanaowaponza na kuwarubuni Vijana na kuwaingiza kwenye uvunjifu wa sheria ya Mtandaoni wamekuwa wakiwafuata Vijana kutoka familia duni, suala...
  12. McLaren

    JamiiForums Tanzania John Heche amjibu Gerson Msigwa: Msemaji wa Serikali au Serikali inawezaje kuita watu Nguchiro

    Anaandika John Heche kwenye ukurasa wake wa X: Kama kuna mtu alikua hajui kwanini serikali hii haiwajali Watanzania, Kama kuna mtu alikua hajui kwanini watu wanatekwa, wanauwawa, kama kuna mtu alikua hajui kwanini watu hawana maji, hawana barabara, hawana shule bora, kama kuna mtu alikua hajui...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali ya Tanzania, Gerson Msigwa, amewaita Watanzania ‘Nguchiro’.

    Taarifa kamili 👇🏿
  14. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Tutaomba kuwa Wenyeji wa Kombe La Dunia

    My Take Naunga mkono hayo maono na Mawazo ya bwana Msigwa. Kwa kuwa kama Nchi tunatekeleza vision 2050 ya kuwa na Uchumi wa Trilioni 2,500 ($1T) Sina shaka kwamba uchumi huo ni mkubwa sana kama tutafikia hata nusu yake tuu manake tutakuwa kama South Africa au Egypt au Algeria ya sasa. Kama...
  15. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Ukiona hadi tumefika hatua kufungia chombo cha Habari, kuna mambo tukiendelea kuyaacha yataleta madhara kwa Taifa

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali ya Tanzania Gerson Msigwa ametoa sababu kwanini wanafikia hatua ya kufungia Baadhi ya Vyombo vya Habari Soma Pia: Jambo Online TV wafungiwa kwa siku 90 na TCRA Ukiona tumefikia hatua ya kufungia chombo cha...
  16. Chakaza

    JamiiForums Tanzania Kama Tuhuma hizi kuhusu Pesa alizopewa Yanga Zina ukweli, Gerson Msigwa Jiuzulu Mara Moja ni Aibu

    Kuna hizi pesa zinatajwa kutolewa eti kwa Jina la Goli la mama, na Yanga wamekabidhiwa milioni 60 wakati ukalali wao ni milioni 20. Jee kwa vile muhusika na mpanga mipango ya fedha hizo ni wewe huu sio WIZI? Ni aibu kwa mtu ambaye pia ni msemaji mkuu wa Serikali kuwa mwizi au kushiriki wizi wa...
  17. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Gharama za uwanja wa Arusha zimeongezeka baada ya CAF kusema tuongeze Vitu

    Baada ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere kusema alibaini upungufu katika mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Mpira wa Arusha, ambapo ulikadiriwa kugharimu Tsh. Bilioni 187 lakini mkataba ukasainiwa kwa Tsh. Bilioni 338 katika ripoti ya ofisi yake ya Mwaka...
  18. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Msigwa: Kuna watu wenye heshima kubwa kwenye jamii waliogoma kurejesha mikopo waliyopewa na Wizara ya Michezo na Sanaa

    Kupitia comment yake kwenye post yake ya leo tarehe 25/03/2026 katibu mkuu wizara ya habari, utamaduni, sanaa na michezo amedai kuwa kuna wanufaika wa mikopo iliyotolewa na wizara ambao wamegoma kurudisha mikopo waliyopewa. Binafsi nimeshangazwa sana na alichosema ndugu Gerson Msigwa kwa sababu...
  19. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Waandishi wa habari tunapoandika habari za masuala ya usalama wa anga tusiweke "hisia" zetu

    Ndugu zangu Naona Zungu kajibiwa tena kwa mara ya tatu Akiwa anazungumza leo jijini Dar Es Salaam msemaji mkuu wa Serikali amesema kuwa kilichosababisha ndege kutokutua Mwanza siku chache nyuma ni moja kati ya "jitihada" za Serikali kuhakikisha kuwa usafiri wa anga unakuwa salama sana...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Gerson Msigwa: Meli iliyokamatwa na Cocaine El Salvador imesajiliwa Zanzibar, na tayari imefutiwa usajili

    Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, akizungumza leo Februari 26, 2026 na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, amezungumzia meli iliyokamatwa nchini El Salvador ikiwa na tani 6.6 za cocaine na kubeba bendera ya Tanzania. Msigwa amesema meli hiyo...
Back
Top Bottom