gereji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania Discovery, Range zaanza kutelekezwa gereji

    Hizi gari watu wamezishobokea kindezi. Lilikua ni suala la muda tu kuanza kutelekezwa kwenye gereji zetu uswazi.
  2. SuperEnthusiasis

    JamiiForums Tanzania Biashara ya gereji na changamoto zake

    Habarini wakuu, Natumai mnaendelea vizuri pia poleni na majukumu. Mimi ni kijana wa miaka 22 na pia ni mwanafunzi wa chuo nikisoma kozi ya Mechanical engineering ngazi ya degree na pia naingia mwaka wa tatu katika mwaka ujao wa masomo unaoanza mwezi novemba. Kwa kipindi kirefu nimekuwa...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini 95% ya 'Mabrazameni' wa Dar Magari yao wanayaosha Kienyeji Vichochoroni na huyapeleka Gereji Bubu yakiharibika?

    Katika huu Uzi wangu Kazi yangu Kubwa hapa ni Kusoma tu Comments zenu tukuka juu ya Hoja Kuu niliyoianzisha
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Wizi wa Masega Watua Kwa Rais Samia, Aeleza Mafundi Gereji Wanavyopasua Exhaust

    Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameshiriki Maadhimisho ya Kitaifa ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za Kulevya Duniani Jijini Arusha leo June 25,2023 ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba siku hizi kuna mtindo mpya wa Watu kupasua bomba linalotoa moshi wenye sumu...
  5. Plaintiff

    JamiiForums Tanzania Nahitaji eneo la gereji linalopangishwa Dar es Salaam

    Jamani nahitaji eneo la gereji ambalo linapangishwa Dar es Salaam, Sifa za eneo. 1. Liwe na fence na gate. 2. Likiwa na Ofisi itapendeza zaidi(Sipendelei sana iwe garage Bubu). 3. Sihitaji eneo kubwa sana, sina magari ya kuweka kwenye hilo eneo.(Ikiwa eneo ni kubwa basi mwenye nalo awe...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Iron Dome ya Israel haiwezi mudu kuzuia makombora ya Urusi, Iron Dome imeundwa kuzuia makombora dhaifu yatengenezwayo gereji kwa tech duni

    Waziri wa Ulinzi wa Ukraine amesema kuwa mfumo wa Ulinzi wa anga wa Israel maarufu kwa jina la Iron Dome hauwezi kuhimili kuzuia makombora ya Urusi nchini Ukraine. Waziri huyo aliyeshuhudia na kutesti nguvu ya makombora ya Urusi anasema kuwa mfumo huo wa Iron Dome umeundwa kwa ajili ya kuzuia...
  7. Colecole

    JamiiForums Tanzania Tufahamishane kuhusu ajira za gereji na udereva huko Ughaibuni

    Poleni na majukumu popote mlipo Jamani naombeni kwa wenye ufahamu zaidi huko nchi za ughaibuni kuhusu ajira za garage au Udereva Moyo wangu unasukumo la Maisha bora hapo kesho natanguliza shukrani[emoji1666]. Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa mabasi ya Abood kuingia gereji Morogoro una faida gani?

    Mabasi ya kampuni ya Abood yanayotokea popote, yakifika Morogoro, lazima yapitie kwenye yard yao. Abiria wote mnashushwa nje ya geti. Basi linaingia ndani, sijui linaenda kufanyiwa nini? Halafu baada ya dakika kadhaa linatoka. Abiria mnapanda tena kuendelea na safari. Hapo nje hakuna sehemu...
  9. kaka km

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Gereji nzuri ya kufanyia Diagnosis Dar es Salaam

    Wenyeji wa Dar naomba msaada wenu. Gari yangu ina tatizo na nadhani watu wa Diagnosis wataweza kujua tatizo lake ni nini, huko mikoani nimeipeleka kwa mafundi wengi hawajagundua tatizo. Gari ni Vanguard, ikiwa spidi ama gia ndogo kuanzia 0-30 inakua kama inashtuka, kama inataka kusimama ghafla...
  10. hp4510

    JamiiForums Tanzania Ni gereji gani mzuri Moshi kwa kunyosha magari

    Wakuu igweee Nina gari yangu fuso tani 20 imepata ajari pale mitaa ya Kibaha Sasa nataka kwenda kunyosha na nimeambiwa na watu gereji mzuri ziko Moshi So kwa watu wenye uzoefu tafadhari sana naomba mnisaidie kujua ni gereji ipi ina kiwango kikubwa na mafundi wazuri
  11. Nelson Kileo

    JamiiForums Tanzania Sahihi kwa Askari kukagua Gari likiwa gereji?

    Hawa jamaa Askari wa usalama barabarani sasa wamehamia Gereji kabisa wanakagua madeni ya magari imekuwa kero kwa mafundi ni kwa vile tu hawana pakusema, wakikuta linadaiwa wanakomaa na fundi muhusika anauelitengeneza. Kwakweli nimewashuhudia Gereji mara nyingi sana na mafundi wamekuwa...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Kwa mliowahi kufika Gaborone, ile gereji ya watanzania maeneo ya Mogoditshane, Gaborone bado ipo?

    Hii ilikuwa kama kijiwe cha wabongo kukutana wakiwa Gaborone ili kubadilishana mawazo na kupeana mikakati. Ilikuwa ikimilikiwa na wabongo toka maeneo ya Iringa hivi hii gereji bado ipo?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini Mabrazameni (Mabarobaro) wengi wenye Magari yao hupenda sana kuyapeleka Gereji Bubu Kutengenezwa?

    Na hawaishii tu kuyapeleka Gereji Bubu huko Kutengenezwa bali hata wakiwa huko hupenda Kujificha ili wasionekane. Ni kwanini wanakuwa hivi?
  14. Tebajanga

    JamiiForums Tanzania Gereji na oil nzuri kwa Nissan Dualis

    Habari wakuu. Ninatarajia kuchukua Nissan Dualis. Napenda kujua ni oil zipi (Brand na vipimo) na ni gereji ipi kwa hapa Dar es Salaam wana mafundi wazuri wa Nissan? Pia kuna uzi niliusoma unasema oil ya engine inabidi iwe 5w 30, je kuna ukweli kuhusu hilo? Na oil ya transmission, gearbox oil...
Back
Top Bottom