genz

Genz (Persian: گنز; also known as Genizī and Gīnzī) is a village in Irandegan Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 361, in 92 families.

View More On Wikipedia.org
  1. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwenye maandamano ya GenZ wa kenya kuna matukio ya wizi pia, Duka la Smoothers limeporwa

    Katika LIVE moja iliokua inaendelea kule mjini TIKTOK wakati wengine wakiwa na mabango vikundi kadhaa vilkua bussy na uizi katika mduka ya Smoothers, Polisi wameingilia kati lakini walikua wameshaiba vitu vingi Kama ulikua unadhan GenZ wa kenya ni wana mapinduzi basi fikiria tena, huenda...
  2. stakehigh

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Survey: 60% of employees said they cant hire GENZ as they lack work ethics and lazy

    https://www.youtube.com/watch?v=qjOjxNPVnP8
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Huko twiter (X) Gen Z wamechafua sana hali ya hewa

    GT. Aisee ukiingia twitter utachoka. Hawa genz ni hatari sana. Samia hawezi kuruhusu twiter iwe hewani kwa sasa, yanayoendelea kule Yote haya ni kumkamata Lissu
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Vijana GenZ wa Kenya, hapa mavuka mpaka kwa maana zote mbili!

    Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa. Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani. Taasisi hiyo ni Open Society Foundation. Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa. Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena...
  5. Nipe Maji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 The Chanzo na ITV wamechapisha kuwa Lema, Maria wapanga maandamano na kuwatumia GenZ kuchoma moto vituo vya polisi

  6. MK254

    JamiiForums Tanzania Nimekumbana na matusi ya kufa mtu kutoka kwa GenZ kisa nimehoji uhakiki wa "maendeleo" anayofanya Ibrahim Traore

    Huyu dogo alichukua uongozi kimabavu na baada ya hapo akawa anasifiwa Afrika yote na mitandao ya kijamii, sawa tufumbie macho hilo la kutumia nguvu kwenye kuchukua uongozi, maana kuna viongozi wengine huganda kwenye uongozi na kuharibu nchi mpaka unatamani tu hata jeshi lichukue nchi, tuje...
  7. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Kwa wajuvi wa mambo tunajua wanaJF wakongwe wengi wamekuja na ID/Avatar mpya wakijaribu kukaa na GenZ

    Kuna miandiko humu jukwaani unaiona kabisa huu ni mwandiko wa mzee, ila anajifanya joined 2024. Hata uvae kaptula, ushazeeka. Sledi pendwa!
  8. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Choo cha kwanza cha kukaa sema Genz 2000 hawajui haya

    Hii kwa watoto wa kuwekwa kwenye Pot,pampus na tissue hawajui kuhusu hichi kiti cha asili cha kukalia.
  9. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Haris’i ya GenZ

Back
Top Bottom