genz

Genz (Persian: گنز; also known as Genizī and Gīnzī) is a village in Irandegan Rural District, Irandegan District, Khash County, Sistan and Baluchestan Province, Iran. At the 2006 census, its population was 361, in 92 families.

View More On Wikipedia.org
  1. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine GenZ Wasimamisha Shughuli za kiuchumi Tanzania hii ni hatari

    GT Hii ni hatari kwa ustawi wa nchi Nadhani sasa hawa wawekezaji wanaohonga CCM wameisoma namba. Shughuli zote za kiuchumi zimesimama huku wakipata hasara ya billions of money maana wafanyakazi hawakuingia mzigoni 😄 🤣 😂. Annual increment ya next year sijui itakuwaje..je maandamano yote...
  2. B

    JamiiForums Tanzania GenZ wamekataa kutawaliwa na mkoloni mweusi

    VIEWS 52,000 29 November 2025 Sumbawanga, Tanzania M/KITI WA CHADEMA SUMBAWANGA ADOLF MKONO AFUNGUKA MAZITO KWENYE KONGAMANO LA VIJANA | TUNA MAUMIVU https://m.youtube.com/watch?v=12pTD54NCT8 DC, DAS na Samia wapewa ukweli GenZ siyo wa kwanza kukataa ukoloni, wakati wa vuguvugu la vita ya...
  3. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wazee waanza kukosa seat kwenye daladala, GenZ hawana utani

    GT Sasa hali ni tete kila mtu atakula anakopeleka mbegu. GenZ wameamua kuwakomoa wazee wanaotia tia huruma huku wamesimama. Kitendo cha kushangilia na kupiga makofi mbele ya Samia akijitamba kuua watanzania kimewaudhi sana GenZ. Ngoja tuone mpaka mwisho movie itakuwaje
  4. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GenZ wanayaweza tuliyodhani ni ya kufikirika

    A 19-year-old woman recently gave birth to twins, but the shocking twist is that each baby has a different biological father — a rare medical phenomenon known as heteropaternal superfecundation. While extremely uncommon, it can occur when two eggs are released during the same cycle and...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia umemaliza upande wako, subiri nao GenZ, EU, US na TEC watakujibu very soon

    Target kubwa ya speech ya jana ilikuwa kwa makundi makubwa matano yafuatayo. WAFADHILI, kundi hili linajumuisha nchi za ulaya EU countries na Marekani. Aliwaambia 'Who are You', kwanza vihela vyenu vidogo. Hili group huwa halina haraka lipo very systematic, consistent litamjibu kwa wakati wake...
  6. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula unavuka mipaka kwa kuhamasisha GenZ wawe kama watoto waliolazimishwa kupigana vitani na Museveni

    Askofu wa CHADEMA Mwamakula kaandika hivi kwenye ukurasa wake wa Facebook; __________________________ GEN Z WALIOMUINGIZA MUSEVENI IKULU! Edith (15) mmoja wa ma Gen Z wa Museveni akilinda Hospitali Kuu ya Kampala baada ya Yoweri Museveni kuukamata mji wa Kampala mwaka 1986 katika mapigano...
  7. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuelekea Maandamano ya D9: GenZ watoa waraka wa utaratibu wa kuundwa kwa Serikali ya mpito Tanzania

    PRESS RELEASE ‼️UTARATIBU WA SERIKALI YA MPITO‼️ Tumetafakari kwa umakini na tumeazimia ✊🏽 👉🏽 Sisi Wananchi wa Tanzania tunasisitiza kwamba hakukuwa na uchaguzi uliofanyika nchini Tanzania tarehe 29 Oktoba 2025 hivyo hadi sasa hakuna utawala wa serikali halali iliyowekwa na wananchi kwa...
  8. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nawashauri Vijana waachane na Nanauka, kama anahitaji kusikia kero za Genz asubiri D9 Mambo yote yatawekwa hadharani

    GT Huu ujinga wakuanza.kuwasikiliza vijana baada ya mateso na mauaji hatuutaki. Wasitupotezee mda. Kwanza kabla ya mambo yote tunataka kujua kaburi la halaiki lipo wapi? Hatutaki majibu mepesi ya GUYS GUYS..... Kama serikali haijui mahitaji ya vijana wasubiri D9 kwenye tamko rasmi maana hadi...
  9. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Suala la Mapambano dhidi ya Ufisadi, Nepotism na uroho wa Madaraka sio la Gen z pekee, ni la Watanzania wote

    Hoja kubwa ni kwa nini baadhi ya watu kadhaa wajione wao ndio watu wenye kunufaika na hili taifa? Kwamba wao wanawez kujipa madaraka, kuiba mali za umma na kuona raia wengine ni takataka. Suala la kupambana na watu kama hawa sio la kuwaachia Gen z peke yao. Ni suala la kila Mtanzania.
  10. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Dini mpya yaibuka Tanzania, Kumbukizi miaka 5 iliyopita mwana JF Likud aliwahi sema Genz hawana dini

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Hii naichukulia kama kumbukumbu maishani mwangu kwamba usiepende kukaa unapinga kila jambo Mwana JamiiForums Likud miaka takribani saba iliyopita aliwahi sema humu jukwaan kuwa watoto wa mwaka 2000 hawana dini kipindi hicho jina la Genz...
  11. Agent-47

    JamiiForums Tanzania Genz wameibua jambo jingine: Wanadai watoto wa Spika wa Bunge Zungu wana uraia wa Belgium

    Genz hawapoi. Wamekuja na madai mengine mapya kuwa watoto wa spika wa bunge, Zungu waliomba uraia wa Belgium kama wakimbizi kutoka Somalia. Cha kushangaza zaidi wamepewa NİDA hapa nchini. Wamempa wiki moja ajiuzulu la sivyo wataweka passport zao adharani watasasiliana na mamlaka za uhamiaji...
  12. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Genz hawapoi na Challange zao aisee tukutane D9

  13. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kuelekea D9: GenZ watoa Tahadhari ya kiusalama kwa wageni na watalii wanaotarajia kuingia Tanzania kuanzia 9/12/2025

    Raia wazalendo wa taifa hili maarufu kama GenZ wanaoongoza harakati za kudai HAKI na UWAJIBIKAJI na UCHAGUZI HURU, HAKI na wa WAZI kwa njia ya maandamano yasiyo na ukomo yatakayoanza tarehe 9/12/2025 na kuendelea Wametoa taarifa kupitia vyombo vya habari (PRESS STATEMENT) kwa wageni na watalii...
  14. canular

    JamiiForums Tanzania Sikiliza maongezi wa vijana wa Tiktok kuhusu yanayoendelea nchini

    Sikiliza hizo clip kutoka Tiktok Zisikilize kwa mpangilio wa kinamba ndio utaelewa madudu ambayo CCM wanavyolibagaza taifa hili sikiliza hizo clip kutoka ticktock zisikilize kwa mpangilio wa ki namba ndio utaelewa madudu ambayo wahuni wa ccm wanavyolibagaza taifa hili
  15. G

    JamiiForums Tanzania Genz wanazidi kutoa uchambuzi wa maadui wa Taifa tutoe maoni kama wako sahihi wakuu

  16. Bawabu wa pili

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia anamtumia Nanauka kuwazima Gen-Z

    Joel Nanauka uwe makini sana, usije ukapoteza legacy uliyoitafuta kwa taabu na kwa mda mrefu kwa kutumiwa na huyu bibi kuficha uovu wake
  17. B

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Maandamano ya Gen Z, sababu ya Mawaziri wa Polisi na JWTZ kuoneshwa mlango na Samia?

    Kina nani wengine ndani ya vyombo hivi kutupiwa zigo la lawama ya mauaji ya mamia ya watanzania baada ya hawa mawaziri kutupwa nje ya baraza la mawaziri . 17 November 2025 Dar es Salaam, Tanzania SAMIA HASSAN DROPS TWO KEY SECRETARY OF STATES FROM HER NEW CABINET, THEY WERE RESPONSIBLE FOR...
  18. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Gen Z: Msamaha wa Samia umekataliwa. Tunasisitiza wafungwa wote waachiwe haraka

  19. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Mkikubali maridhiano ina maana kweli nyie ndo mlikuwa nyuma ya GenZ na mna kesi ya kujibu, huo ni Mtego Polepole alikataa Maridhiano

    Kuna mtego. Mkikubali maridhiano, mjue mmekubali kuwa nyie ndiyo waandaaji wa vijana wa GenZ. Oktoba 29 kesi zimewekwa pending, mkikosea kidogo wanawarudisha ndani na mtapata kesi ya kujibu tena. GenZ ni nguvu ya umma, maridhiano yanaweza kuwa mtego wa kuwanasa. Chadema, kuweni makini. Polepole...
  20. A

    JamiiForums Tanzania Tuweni makini, CCM wanazidi kueneza propaganda mbaya dhidi ya Gen Z

    Tuweni makini ndugu zangu hawa wahuni wanaweza kugeuza kibao kwetu tukaonekana sisi ndo wenye makosa alafu wao wana haki Wameanza harakati za kueneza propaganda kuwa waandamanaji walikuwa raia kutoka nje hasa hasa wakenya na lengo lao lilikuwa kuchafua cv ya tanzania kimataifa. Tusipokuwa...
Back
Top Bottom