Katika kesi ya ugaidi inayomkabili Mh Mbowe na wenzake watatu,leo Shahidi upande wa utetezi Ndg Lembrus Mchome mkaazi wa Wilaya ya Mwanga kaithibitishia Mahakama kwamba D/C Msemwa alikuwa akihudumu kituo cha police Oysterbay na si Central Police kama alivyodai wakati akitoa ushahidi wake...