geita

Geita is a town in northwestern Tanzania of approximately 240,000 people, located north east of tanzania. It is in the centre of a gold mining area. In March 2012 it became the administrative headquarters of the newly created Geita Region.

View More On Wikipedia.org
  1. GE2020 Prof. Lipumba akiwa Nkome Geita Vijijini: Nichagueni niwe Rais wa nchi hii tumalize tatizo la wavuvi

    NKOME, GEITA VIJIJINI WANANCHI WA NKOME WANANYANYASWA KWA KUPOKONYWA NYAVU NA KUWEKWA NDANI NICHAGUENI NIWE RAIS WA NCHI HII TUMALIZE TATIZO LA UNYANYASAJI"PROF. LIPUMBA" Mgombea Urais wa jamhuri ya muungano wa tanzania Prof. Lipumba amesema hayo katika mkutano wa kampeni uliyofanyika kata ya...
  2. Kisa cha Polisi mkoa wa Geita kinasikitisha

    Nasikitika kusema tumefika pabaya sana kwamba sasa chama kipo juu ya vyombo vya dola (CCM ni bora kuliko TISS, Polisi na majeshi yote) Kwambaa mwenyekiti, katibu wa chama anaamua nani afanye nini na kwa wakati gani. Inauma sana. Jeshi la polisi mkoa wa Geita lipo kwenye masikitiko makubwa...
  3. Q

    GE2020 Ratiba ya Mgombea wa CCM leo yuko wapi, CHADEMA wapo Geita

    Kwa mwenye taarifa please tufahamishane wengine huwa tunafuatilia mikutano ya wagombea wote hasa wagombea wa vyama vikuu vya CCM, CHADEMA na ACT-Wazalendo. Lissu yuko Geita.
  4. M

    GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu na Mkutano Mkubwa wa Hadhara Geita Mjini

    Mgombea Urais kupitia Chadema Tundu Lissu yupo Mkoani Geita akiendeleza kampeni zake za kuingia Ikulu. Lissu aliyewasili mkoani Geita hapo Jana na kupata mapokezi yaliyovunja Rekodi ya Tanzania katika mji wa Katoro Jimbo la Busanda. Mkoa wa Geita ni nyumbani kwa mgombea wa CCM John Magufuli...
  5. D

    GE2020 Tundu Lissu atua Katoro - Geita kwa kishindo

    Wakati kesho tukijiandaa kwa mkutano mkubwa Geita Mjini, leo Katoro muda huu Tundu Lissu ametua hapa na umati mkubwa umejitokeza kumsindikiza na kusikiliza sera za kuwakombia. Kwa hakika lipo la kujifunza kwa watu wa CCM. Msijifanye hamuoni kinachoendelea! Video: Katoro Geita
  6. GE2020 Yanayojiri kwenye Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA Mh Tundu Lissu Mkoani Geita

    Wakuu nawasalimia kwa salamu ya ukombozi , leo tena yule mgombea anayeongoza kwenye kura za maoni Mh Tundu Lissu anaendelea na mikutano yake ya kampeni za kuomba kura kwa wananchi , ambapo leo atakuwepo Geita , huu ndio Mkoa aliouawa kinyama kamanda Alphonce Mawazo, RIP, mchana wa jua kali huku...
  7. GE2020 Yaliyojiri kwenye kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mikoa ya Kagera na Geita

    Wakuu natanguliza salamu na baada ya salamu naingia moja kwa moja kwenye mada, kama mnavyojua Kampeni zinaendelea na leo tena Mh Lissu ambaye anapewa asilimia kubwa kutwaa urais wa nchi atakuwa kwenye mikoa ya Kagera na Geita, katika kanda hii kunatarajiwa kupigwa mkutano maalum wa kipekee...
  8. GE2020 Yaliyojiri Chato: Mkutano wa mgombea Urais Dkt. Magufuli (CCM) - Septemba 14, 2020

    MKUTANO WA MGOMBEA URAIS JOHN POMBE MAGUFULI KUTOKEA CHATO, GEITA UKO LIVE === MAGUFULI: Ndugu zangu wa Chato na Geita kwa ujumla, mwaka 1995 nilikuja kuomba kura kwa nafasi ya ubunge, mkanipa miaka 5, nikaja tena mwaka 2000, nikaja tena 2005. Katika vipindi vyote vinne nikiwa mbunge...
  9. GE2020 Rais Magufuli na mafaniko ya miaka mitano mkoani Geita

    Na Debora C. Kiyuga✍🏽 Katika Sekta ya Madini, Serikali imeweza kudhibiti utoroshwaji wa Madini kwa kutunga Sheria ya kuyalinda na kuanzisha Soko kubwa la Madini. Kabla ya hapo Madini mengi yalikuwa yakitoroshwa nje ya nchi, Serikali ilikuwa haipati chochote na wananchi hawakuweza kufaidika na...
  10. Procurement and Contracts at Geita Gold Mining Ltd (GGML)

    Overview Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The...
  11. GE2020 GEITA: Dkt. Magufuli awataka wasichague Viongozi wa majaribio

    Leo Jumatano, Dkt. John Magufuli yupo mkoani Geita baada ya jana kutoka jijini Mwanza kuendelea na kampeni ya Urais kuomba ridhaa ya kusalia madarakani kwa muhula wa pili. Tuwe sote kujuzana yatakayojiri. ======= 10:15 Asubuhi: Dkt. Magufuli awasili uwanjani 10:18 Asubuhi: Dua na Sala...
  12. GE2020 Kuomba kura kwa ukabila CCM hii imezidi. Msukuma awaambia wana Geita kwa kisukuma mnamwachaje mtoto wenu mnachagua asiye wa kwenu

    Inasikitisha na kuhuzunisha kura za Magufuli zinaombwa kwa ukabila na eneo analotoka. Leo yuko Geita cha ajabu kikabila kinatumika kuomba kura tena kwa vijembe kwa kusema inakuwaje mnataka kumchagua asiye wa nyumbani kwenu usukumani na kasema kwa kuwa tunafahamiana kwenye mikutano yao wakija...
  13. GE2020 Kwa kupinga Uwanja wa Ndege Chato iliyo Geita na kupinga uwepo wa Mbuga, wana Geita wote msimpe Lissu na CHADEMA kura hata moja

    Lissu na CHADEMA wamekuwa wanapinga wazi uwepo uwanja wa ndege Chato ambao ni Mji wa Geita. Wanaona wana Geita hawastahili kuwa na uwanja wa ndege pamoja na kuchangia Kodi mabilioni ya pesa za kigeni kupitia migodi mikubwa ya dhahabu Kama Geita Gold Mine nk Kwa kupinga Geita kuwa Wana Geita...
  14. Nafasi za kazi Geita Gold Mining (GGM)

    Position: CAF Batch Plant Operator Contract Type & Duration Permanent Job Number: GGM-2020-XUG-08 Number of Positions: 04 Works For: Supervisor –CAF Plant Qualifications: •A minimum of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) •Basic Numeracy and Verbal / Written English •Possession...
  15. J

    GE2020 Viongozi wa chama okoeni CHADEMA Geita Mjini, kura za maoni zinakipasua

    Yawezekana jambo hilo likaonekana ni la kawaida lakini CHADEMA jimbo la Geita kuna fukuto kubwa sana kwani kura za maoni zinakipasua chama, mwisho wake ni mbaya, viongozi tazameni hilo kwa ukaribu.
  16. Engineering Superintendent at Geita Gold Mining Ltd (GGML)

    Overview Geita Gold Mining Ltd (GGML) is Tanzania’s leading gold producer with a single operation in Geita Region. The company is a subsidiary of AngloGold Ashanti, an international gold producer headquartered in South Africa, with operations in more than ten countries, in four continents. The...
  17. J

    RC Geita: Rais Magufuli ni Nabii aliyebarikiwa na Mungu wagombea wengine wanamsindikiza!

    Mkuu wa mkoa wa Geita mh Gabriel amesema Roho mtakatifu mwaka 2015 alizunguka Tanzania nzima na alipofika Chato akaweka makao nyumbani kwake Dr Magufuli. Gabriel ambaye alikuwa akishangiliwa muda wote huku akitunzwa kama mchungaji Lusekelo amesema Dr Magufuli ndiye Rais wa Tanzania hao wengine...
  18. Underground Diamond Driller at Geita Gold Mine

    Position: Underground Diamond Driller- Geita Gold Mine, Geita African Underground Mining Services (AUMS) Job Summary To ensure the safe and efficient operation of drill rigs in the day to day operations, through the provision of manual tasks inclusive of monitoring & adherence to safety...
  19. Tunaolisifia ' Embe ' la Mtwara kuwa ' Gumu ' leo kwa ' Jiwe ' la Geita tuwekeni akiba ya maneno pale nalo likiamua kukubali ' Kumenyeka ' Kiulaini tu

    Ni ukweli usiopingika kabisa kuwa kama kuna Matunda matamu lakini ni Magumu kuyala kama usipokuwa Imara ni ' Maembe ' ya kutoka Mkoani Mtwara. Ila pia hakuna Mkoa ambao una Mawe magumu na hatari tena yaliyo na Ncha Kali ambayo inaweza Kufanya Embe la Mtwara ' limenyeke ' lenyewe Kiulaini kama...
  20. Nafasi za kazi ya dereva wa mitambo daraja II, Halmashauri ya mji Geita

    TAREHE: 26/05/2020 YAH: TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI YA DEREVA WA MITAMBO DARAJA II – NAFASI 3 Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita anawatangazia nafasi za kazi na anakaribisha maombi kwa waombaji wenye sifa za kujaza nafasi za uendeshaji wa mitambo ya “Roller, Excavetor na Grader” kama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…