gawio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Sababu za mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali

    Kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha mashirika ya serikali kuingia hasara na kushindwa kutoa gawio kwa serikali. Baadhi ya sababu hizo ni: 1. Uongozi mbaya: Mashirika ya serikali yanaweza kuingia hasara kama uongozi wake ni mbaya na usiofaa. Wakurugenzi na mameneja wa mashirika haya...
  2. BARD AI

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Familia ya Kenyatta yapata gawio la Tsh. Bilioni 58.7 za Hisa inazomiliki NCBA Bank

    Familia ya Kenyatta imepata Tsh. Bilioni 58.7 kwa mwaka mmoja kutokana na umiliki wao wa hisa za NCBA Group baada ya mkopeshaji wa daraja la juu kukaidi kushuka kwa soko la hisa na kuibuka kuwa hisa bora zaidi katika Soko la Hisa la Nairobi (NSE). Hisa za NCBA zilipanda kwa asilimia 57.94 mwaka...
  3. Mwl Athumani Ramadhani

    JamiiForums Tanzania Chama cha ujamaa na kujitegemea cuk(self reliance and socialist party SSP) na dhamira yake ya gawio la Rasilimali KWA kila mwananchi!je itawezekana!!?

    Baada ya katiba mpya kupatikana hiki ni Moja ya chama kitakacho sajiliwa kikiwa na dhamira njema ya kurudisha nguvu ya umma kwenye rasilimali zetu yaani wananchi wapate gawio la Moja KWA Moja la rasilimali zao kupitia akaunti za Benki na simu zao. Wadau wa uchumi mnadhani ndoto hiyo inaweza...
  4. N

    JamiiForums Tanzania STAMICO watoa gawio. Nao wamekopa?

    Leo STAMICO wametoa gawio la 2.2 B kwa serikali. Juzi Mama yenu alikuwa anaponda Mashirika kuwa yalikuwa yanakopa ili kutoa gawio kwa Serikali. Sasa naona na yeye anaenda mulemule. Kukaa na mnafiki ni hatari kwa afya na maisha yako.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wakuu wa Mashirika walikuwa wanakopa fedha Benki ili walipe Gawio Serikalini kulinda vibarua vyao

    Rais Samia amesema Mashirika ya Umma hayafanyi vizuri na kuna baadhi ya Viongozi wao walikuwa wanakopa fedha Benki ilu walipe Gawio serikalini kulinda vibarua vyao Rais Samia amesema Mashirika ya Umma yote yataangaliwa upya Source ITV ====== “Najua miaka iliyopita kuna kipindi maalumu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Kitanzi cha gawio

    Rais Samia Suluhu Hassan amefichua Siri iliyokuwa imefichika kuhusu gawio kwa serikali yaliyokuwa yakitolewa na baadhi ya mashirika na taasisi za umma huku yakiwa yamepata hasara. Mkuu huyo wa nchi amesema viongozi wa mashirika hayo walikuwa wakikopa fedha benki na kupeleka gawio serikalini ili...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni gawio la Vodacom!

    Ndugu zangu mimi ni mwanahisa wa Vodacom ninauliza kama tayari wamekwishatoa gawio lao kwa wanahisa. Naona Mabenki tayari yamekwishatoa gawio kulikoni Vodacom?.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kulikoni gawio la Vodacom!

    Nimesoma kupitia website ya Vodacom kuwa kwa mwaka 2022 gawio la kila hisa ni Tshs.430. Je wanahisa tayari wamewekewa fedha zao kwenye akaunti zao?.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama Mwanahisa nawapongeza sana NMB kwa kutugawia gawio kubwa na inayoridhisha

    Binafsi niwapongeze sana uongozi mzima wa National Microfinance Bank(NMB) chini ya uongozi wa Mkurugenzi Mtendaji Mama Zaipuna kwa kazi nzuri mnayoifanya na kutuwezesha sisi wanahisa kupata gawio kubwa na ya kutosha kwa kila hisa. Leo nimeingiziwa kwenye akaunti yangu siyo chini ya millioni...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Gawio la Hisa CRDB

    Kama mwanahisa napenda nielemishwe kwa yafuatayo:- (1) Ni kigezo gani kinachotumika (Directors fees)mathalani Wakurugenzi 10 kulipwa Tshs.965,000,000 kwa mwaka na hii ina maana ya Tshs 96,500,000 kwa Mkurugenzi moja kwa mwaka na Tshs 8,041,666 kwa mwezi kwa mkurugenzi moja na kwa siku...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Gawio la hisa za CRDB

    Jana kulikuwa na mkutano wa wanahisa wa CRDB kule Arusha na katika agenda ya gawio kwa wanahisa waliazimia kuwa kila hisa moja watatoa gawio la Tshs.36. Binafsi kama mwanahisa sijaridhika na gawio la Tshs.36 kwa hisa mpaka nipate majibu kwa yafuatayo:- (1) Ni vigezo gani mliotumia kufikia...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Kwanini CRDB hutoa gawio dogo?

    Benki ya CRDB ni moja kati ya benki kubwa hapa nchini. Kitu nisichoelewa kutoka benki hii ni sababu zinazoifanya benki kutangaza gawio kiduchu mara inapoatangaza ukifananisha na banki za ukubwa wake kama NMB? Je inaweza kuwa ni sababu ya benki kuwa na expenses kubwa ambazo zikipunguzwa...
  13. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Gawio la mabenki ya Kenya lavunja rekodi mpya, Bilioni 51.7

    Hili soko linatisha balaa..... Na sasa tumeteka DRC ============================ Local listed banks nearly trebled their dividend payout for the 2021 financial year, rewarding shareholders who have seen a mixed performance in capital gains on their stock in the period. The nine lenders...
  14. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Mashirika mbona hayatoi gawio kama tulivyozoea wakati wa awamu ya tano?

    Nashangaa kwa Sasa hakuna shirika la umma linalotoa gawio kwa serikali ni Upuuzi na Ujinga kuamini kwamba tanesco Haina fedha za nguzo Sasa wanafanya biashara au wanatoa huduma???
  15. F

    JamiiForums Tanzania Vodacom hawajatoa gawio la hisa mwaka huu, shida nini?

    Kampuni ya mawasiliano kwa njia ya simu za mikononi Vodacom, hawakutoa gawio kwa wana hisa wake, shida nini? Ni kawaida kutoa gawio mwezi June au July, lakini mwaka huu hakuna kitu. Kunanini Vodacom?
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Maendeleo: Mkoa wa Dodoma wapokea gawio la Tsh mil 500 lililotokana na Tozo, kujenga vituo vya afya

    Hii ni taarifa aliyoitoa Mkuu wa Mkoa huo, Antony Mtaka alipokuwa anawasilisha taarifa ndani ya vikao vya CCM vilivyofanyika mkoani humo.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mimi ni mwanahisa wa CRDB, sijapata gawio hadi leo

    Kikao cha Wanahisa wa CRDB kimefanyika siku za karibuni na mimi kama Mwanahisa sijaona gawio la mwaka huu unaotokana na uwekezaji tuliouwekeza kwenye Benki hii. Wenzao NMB katika kikao chao cha tarehe 4 Juni, 2021 moja ya ajenda yao ni mapendekezo ya gawio kwa kila mwanahisa ambayo ni...
  18. Labile

    JamiiForums Tanzania Je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika?

    Habari ya muda wanajamvi? Napenda kujua kitu kimoja kuhusu HISA, inasemekana kampuni inapopata hasara basi hakuna gawio. Swali ni kwamba je, HISA zako zitakuwepo hata kampuni ikifirisika na ili uziuze kwa bei ya hasara au ikifirisika unakosa kila kitu. ========= Makampuni mengi yanayokuwa na...
Back
Top Bottom