Kwanini TPA imeongoza kutoa gawio kwa miaka mitatu mfululizo?
i. Maboresho ya miundombinu yaliyochangia ongezeko la Shehena ambapo kwa kipindi cha miezi kumi na moja kwa mwaka 204/2025 mizigo imeongezeka kwa asilimia 11, ambapo imehudumia tani mil 23.9 kulinganisha na tani mil 21.5 za miezi 11...
Something is wrong somewhere!
Kwa muda wa miaka miwili na zaidi sasa takwimu zinazotolewa na Serikali na vyombo mbalimbali vya habari vya ndani na nje ya nchi zinadai kuwa Tanzania tunaongoza kwa kupokea idadi kubwa ya Watalii wanaotembelea nchi yetu ikiwemo mbuga zetu za wanyama na vivutio...
Hivi kila kilichofanyika wakati wa Magufuli ni lazima kidumishwe?
Kipindi cha Magufuli wahuni wachache ili kulinda nafasi zao wakaona wamkoshe Rais kwa kutoa gawio kwa serikali. Mashirika mengi yanajiendesha kwa hasara, watumishi wana hali ngumu na wale wanaoonekana kuwa super basi wako mahali...
📘
🔁 Katika somo letu lililopita, tulielewa vizuri dhana ya ongezeko la mtaji (capital gain) — faida unayopata pale bei ya hisa inapopanda.
📍 Leo, tunazungumzia faida ya pili: Gawio.
1️⃣ Gawio ni nini?
Gawio ni sehemu ya faida ya kampuni inayogawiwa kwa wanahisa wake, kawaida mara moja au...
| Leo Tujifunze kwa Mfano Halisi 💰📈
Juzi CRDB Bank PLC wameanza kutoa gawio (dividends) kwa wanahisa wake! 🏦💵 Gawio la mwaka huu ni Tsh 65 kwa kila hisa – na guess what? Wanafunzi wangu wa darasa la uwekezaji (kwenye group langu la WhatsApp 📲) waliowekeza kwenye hisa za CRDB wameanza kupokea...
Msajili wa Hazina, Nehemiah Mchechu amelitaka Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) kuweka lengo la kutoa gawio Serikalini la Tsh. Bilioni 10 kwa mwaka Ujao wa fedha.
Kauli hiyo ameitoa katika Kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa NHC kilichofanyika mkoani Pwani mapema, Februari 24, 2025.
Akizungumza...
Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali.
Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu JamiiForums.
Je, hawa jamaa nikiweka pesa inakua salama? Nikiweka Bilioni 5 napata gawio Bei Gani Kila...
Kuna nyakati naona jumbe kupewa gawio na mtandao wa simu, unakuta ni kama Sh 38 n.k.
Naomba kuuliza, mimi si mwanahisa wa kampuni ya simu yoyote, ni mteja tu.
Kwa nini wanajipa gawio? Kiasi cha gawio hutolewa kwa vigezo vipi?
Kampuni ya simu inalenga nini kutoa gawio kwa wateja wake (gawio si...
Kijiji cha Mundindi kilichopo wilayani Ludewa kilipewa fidia ya Tshs 464 na kati ya hizo Tshs 400 milioni waliamua kununua hati fungani katika benki mojawapo nchini itayowapa gawio la Tshs 41 kila mwaka. Kijiji kilipata fedha hizo baada ya kupewa fidia ya ardhi kutoka Serikalini baada ya kupisha...
Heri ya Sikukuu ya Eid.
Mimi ni mwanahisa wa NMB Bank. Nauliza kama wameshatuwekea Gawio maana sijaona meseji ya muamala!!!kwa mwanahisa mwenzangu msaada tafadhali
https://www.youtube.com/live/N5UQz7YOdMQ
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akipokea gawio na michango kutoka mashirika na taasisi za umma Ikulu jijini Dar es Salaam, leo tarehe 11/06/2024.
MABEYO (CDF MSTAAFU): Vijana wanakosa mwelekeo, tunajenga hofu kwa taifa la...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan,mama wa shoka , shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Hii leo muda na Majira ya saa tano asubuhi atafanya tukio zito sana...
Kampuni ya Mbeya Cemetent Kwa mara ya kwanza imetangaza kutoa Gawio kwa wana hisa wake ikiwemo Serikali na NSSF kufuatia kuanza kupata faida ,hii ni baada ya hasara ya miaka 10 mfululizo.
Hatua hii imefikiwa baada ya Kazi kubwa ikiyofanywa na Serikali ya Rais Samia Kupitia Msajili wa Makampuni...
Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi...
Wakuu nime-estimate matumizi ya familia yangu, bills na msosi kwa mwezi jumla yake ni 250k. Je mfuko gani UTT unaoweza kunipa fixed commission ya 250k kwa mwezi?
Nchi hii in maajabu sana; tunadanganywa sana. Kama wapo wakurugenzi walikuwa wanakopa kudeclare gawio kwa serikali tena wakiwasilisha hizo taarifa kwa Mhe. Rais unajiuliza hadi udanganyifu huu ubarikiwe nani na kufanyika mbele ya camera wahusika walikuwa wananufaikaje? Je, hayo madeni nani...
Nichukue nafasi hii kwa kuipongeza NMB kwa gawio zuri kwa wanahisa wake kwa mwaka 2022/23. Naiomba CRDB iige mfano mzuri wa NMB kwa kutoa gawio inayoendana na uwekezaji wao. Gawio la CRDB ni ndogo sana na hii inawakatisha tamaa wanahisa wake. Hongera sana CEO wa NMB Mama Zaipuna.
Wahasibu mnisaidie hapa. Mwezi huu tumesikia CRDB wametoa gawio la 118bn kwa wanahisa wake, ambapo serikali yenye 21% imekabidhiwa 45.8bn. Kwa upande wa NMB wametoa gawio la 143bn na Serikali yenye 31% imepata 45.5bn. Hii kihasibu imekaaje, maana kihesabu za uwiano imegoma.
Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio la mwaka 2022 kwa Serikali ambayo inamiliki asilimia 30 ya hisa za benki hiyo. Wanaoshuhudia ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.