gari

  1. JamiiForums Tanzania Fursa: Dereva bolt/uber wa gari anahitajika

    Anahitajika dereva mwenye leseni ya gari na mwenye account ya bolt aliye na uzoefu wa kuendesha bolt Dar es salaam. Gari iliyopo inatumia mfumo wa gas, malipo ni kwa hesabu ya siku sio ya mkataba. Aliye tayari anicheki Dm. ===== Update: Dereva amepatikana
  2. M

    JamiiForums Tanzania Vitu ninavyotamani ningevijua mapema kwenye kumiliki gari, ningepunguza gharama nyingi sana

    Ni kwa uzoefu wangu wa kutumia magari kwa mizunguko ya mjini na safari chache nje ya mkoa, Gari nilizomiliki ni automatic, mafuta petrol, cc 1500 hadi 2500, magari ya kawaida tu, nothing fancy Hakikisha unatumia oil sahihi na original za gari lako, kama engine inahitaji 10W40, tumia hiyo. Kama...
  3. JamiiForums Tanzania Prof. Shemdoe awataka Ma RC na Ma DC kupunguza idadi ya magari kwenye ziara, ampongeza RC Dodoma kutumia gari moja

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe, amewataka Wakuu wa Mikoa na Wilaya nchini kutekeleza maelekezo ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ya kupunguza matumizi ya mafuta kwa kutumia magari machache kwenye ziara za...
  4. B

    JamiiForums Tanzania KERO Abiria Kigoma Mjini tumechoshwa na tabia ya baadhi ya magari kufaulisha abiria wao kwenye Kampuni ya Takbiir bila ridhaa yao

    Kumekuwa na tabia ambayo imekuwa endelevu kwa baadhi ya mabasi mengi yanayotokea Kigoma kuelekea MWANZA, mfano GTA Express, kuuza wateja wake baada ya kukata tiketi usiku wake unapigiwa simu eti "samahani gari halitoweza kwenda limekodishwa, hivyo mtapanda basi la Kampuni ya TAKBIIR". Wanafanya...
  5. JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Barabara ya kupunguza foleni Dodoma ni mpya lakini imejengwa kizamani, hakuna sehemu ya gari kupaki kwa dharura

    Pia soma:TANROADS: Barabara ya Mzunguko wa Nje ya Dodoma (Outer Ring Road) haijakamilika rasmi, inatumika kwa dharura
  6. JamiiForums Tanzania KERO Tajiri wa gari za Loliondo kuwa serious na service ya gari zako

    Abiria tunatoka kanda ya ziwa kuelekea Arusha na Moshi tumekwama hapa Shinyanga gari imekatika spring T646 EKS ya kutoka Tarime kwenda Moshi so tupo kwa mafundi wa kilocal wanachomelea hizo spring tangu saa nne na sasa ni saa tisa usiku. Unaenda kuua jina la biashara yako uliojenga kwa muda...
  7. JamiiForums Tanzania Gari toka Japan linauzwa Mil 5.6 hadi Tanzania, halafu TRA wanataka Mil 9.8 cash!

    Kumiliki gari ni anasa. Kuna mtu anavipenda sana vi BMW MINI sasa tukawa tunacheki cha 2013 tumekielewa. Tukapata cheap kabisa Mil 5.6 Bila negotiations. Tukajua TRA itacheza kwenye Mil 5 hivi au 6. Aisee. Nadhani ataenda kununua pikipiki ya umeme uyu.
  8. JamiiForums Tanzania Baba Levo: Nataka V8 ya Tsh. Milioni 270 ila siwezi nunua gari hela yote wakati Wananchi nyumba zinaanguka

    Baba Levo amesema anataka V8 ya Tsh. Milioni 270 ila siwezi nunua gari hela yote wakati Wananchi nyumba zinaanguka.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Natafuta Gari used Missubish Rosa au Nissan Civilian kwa ajiri ya biashara ya daladala

    Ndugu zangu kuhangaika hakuishi, mwenye connection ya mahali napoweza kupata gari nzuri kidogo ambayo ni ktk hali ya Used hapa Bongo. Nataka nijilipue kwenye biashara hizi pasua kichwa za Daladala Ktk utafiti wangu wa swali naona kama Nissan Civilian au Mitsubishi Rosa itanifaa.. Tuwekane Sawa...
  10. JamiiForums Tanzania Msikimbilie gari za umeme.. Je mnajua gharama za kubadili battery?

    Bei ya betri za magari yanayotumia umeme (EV) kwa mwaka 2026 inakadiriwa kuwa kati ya TSh milioni 14 na TSh milioni 56 ($5,000 – $20,000), ikitegemea ukubwa wa gari na uwezo wa betri. Ingawa gharama ya teknolojia ya betri imeshuka hadi kufikia takriban $80–$105 kwa kila kWh, bei ya kubadilisha...
  11. JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa wataalam wa EV conversion kuchangamkia fursa kwa sasa ili kubadili mfumo wa uendeshaji gari kutoka petrol kwenda umeme

    Hilo linawezekana ingawa kuna gharama ila inawezekana kabisa kwa gari nyingi zilizopo hapa tanzania kubadilishwa mfumo ila lazima fundibawe mjuzi sana wanhizi mambo
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Nichukue lipi kati ya magari haya?

    Habari wakuu,naombeni ushari nilikuwa na gari aina ya toyota belta nataka kubadilisha na nimepata toyota premio second generation (T240) namba E engine 1NZ na nyingine ni toyota Premio new model (T260) namba D engine 2ZR...je nichukue ipi kati ya hizo gari mbili ikiwa bajeti zao hazipishani sana?
  13. JamiiForums Tanzania Mafuta yanaenda kupanda Hadi 3,500/= Kwa Lita. Kwa magari yenye CC kubwa, kazi itakuwepo

    Ndugu zangu wale wenye magari yanayobugia wese tutapaki Tu mwaka huu, Kwa vipato hivi vya kuungaunga kazi itakuwepo mwaka huu endapo vita ya Huko mashariki ya Kati kama itachukua mwaka mmoja. Jana nilikuwa na mkurugenzi mmoja wa kituo cha mafuta akaniambia nijipange na bei hii mpya ya Tsh 3,500...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nimeshawishiwa niweke Sump kwenye gari, ni kweli inasaidia kama inavyonadiwa au ni biashara tu?

    Nimeona tangazo mtandaoni la kuweka Sump guard kwajili ya ulinzi wa engine, Je ni kweli inasaidia au ni biashara tu, Ni vitu gani nizingatie
  15. JamiiForums Tanzania SSP Notker Kilewa: Gari la Mgonjwa likikutana na Msafara wa Rais, gari la Mgonjwa litasubiri

    Sehemu ya majibu ya SSP Notker Kilewa wakati akihojiwa na Mwandishi wa Habari wa BOMBA FM ya MBEYA, MC Kamendu, ambapo alimuuliza “Ikiwa msafara wa Rais unapita na gari la Wagonjwa liko njiani kwa wakati mmoja, nani anapewa kipaumbele?” Mahojiano hayo yamefanyika Machi 17, 2026...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mchawi wa kwanza wa matatizo ya gari lako ni wewe mwenyewe, ni kitu gani huwa unakitatua mwenyewe au kumpa fundi maelekezo asilete ujuaji

    Kwenye oili ya usukani huwa nipo strict sana kuiweka mwenyewe, na nikipeleka kwa fundi huwa nampa maelekezo asiweke oili ya gearbox kama walivyozoea. Air filter – hii huwa naibadilisha mwenyewe au nikiwa kwa fundi namsisitiza aweke original, si zile za bei rahisi zinazoziba haraka. Engine oil...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Taa ya Engine kwenye gari

    Habari Wakuu..nina magari mawili Toyota Run x na Kulger. Magari yote mawili yana changamoto ya kuwasha taa ya Engine nikitembea distance fulani..Yani sio kwamba inawaka muda uleule nikiwasha gari labda nikitembea kilometers kadhaa ndio unakuta inawaka. Hii Run x ni ndani ya siku moja ndio huwa...
  18. JamiiForums Tanzania Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako

    Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako. Kila utakapopita nalo utakutana na watu wanaojitapa kulijua vzr kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu walivyoliendesha kwa mitindo mbalimbali
  19. M

    JamiiForums Tanzania Inadaiwa Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari

    Inadaiwa hapo ni Kariakoo, Polisi walikamata Bodaboda Wananchi wakazuia gari Amendika Twaha Mwaipaya, Hii ni Jana Kariakoo unaambiwa Polisi walikamata bodaboda wakapakia kwenye gari Raia wakawasha Moto bodaboda zikashushwa, unasikia hapo watu wanasema vibaka hao vibaka hao, watu wamechoka...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Mama Kanumba Alengwa Lengwa Na Machozi Mbele Ya Umati Wa Watu Baada Ya Kununuliwa Gari Mpyaaa Na Rais Samia . Amimina Shukurani Nzito Kwa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa Hakika Rais Samia Ni Mkono Wa Mungu Uliopo Hapa Duniani, Mungu Anatenda Miujiza Yake Kupitia Rais Samia ,Rais Samia Ni chaguo la Mungu kuwafikia Watu na waja Wake. Kama Unasikiaga Mungu anatenda Miujiza Kupitia Watu basi Mtu Mwenyewe ni Rais Samia Aliyeinuliwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…