gari

  1. JamiiForums Tanzania Toyota harrier inatakiwa m31. Gari ipo Msasani/ostabey polisi mpya.

    Yes, Nauza harrier tako la nyani m31 karibuni sana. 0715 494920 & 0783 708437. Gari ipo Msasani karibu kabisa na kituo cha polisi ostabey mpya. (Mazungumzo yapo kidogo)
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mwizi wa gari adai Kanye West alimtuma kuliiba

    Mwanamke mmoja kutoka Luis ville Marekani, Ricki Smith mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa akitaka kuiba gari na kudai kuwa Kanye West ndiye aliyemtuma. Tukio hilo lilitokea Ijumaa huko mtaa wa North main street. Smith sasa anakabiliwa na mashtaka ya kujaribu utekaji na wizi wa gari...
  3. JamiiForums Tanzania Mtu akinywa castlelite 4, kisha akaendesha gari 120kph, anajihisi kama 30kph, sababu ni ipi hasa?

    Hii nimeshajaribu mara kadhaa, ukicheki dashboard mshale unasoma 120kph, gari inaenda kasi, lakini unaona kama imesimama hivi.., ukicheki nje unaona kabisa hii gari haizidi 30kph..,
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi Milioni Tano Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu ili kufanyia matengenezo gari yake. Pia...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa wenye uzoefu na Dar, kati ya biashara ya daladala na gari za kukodisha (special hire), ipi inafaa kwa anayeanza na kwa nini?

    Pia kipi bora kati kununua gari/Coaster mpya au used?
  6. JamiiForums Tanzania Car4Sale Gari inauzwa Nissan Patrol

    Nissan patrol Engine D 45 Ac Available Fully working Halogen Lights Tsh 16,000,000 haina shida yyte Maongezi yapo🙏 0774446553 Location Arusha
  7. JamiiForums Tanzania Gari hizi zina matatizo gani? Watu wengi wanazikataa

  8. M

    JamiiForums Tanzania Gari dar-bukoba choo ndani

    Wadau nauliza gari nzuri ya dar-bukoba yenye choo ndani
  9. W

    JamiiForums Tanzania Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

    Habari za mchana watu wangu Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50) Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
  10. JamiiForums Tanzania Kuna gari mbili zimepaki hapa masaa mawili bila watu kushuka

    Nimeongea na mjumbe serekali za mtaaa kumtaarifuu juu ya gari hz ambazo zimepaki bila watu kushuka, nae akasema mpaka awasiliane na mwenyekiti kwanza sasa mwenyekiti hapokei simu Gari ni Nissan cibin na Nissan patrol Je tumchukuwe hatua gani kama raia
  11. U

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine leo ijumaa kiongozi mwingine wa Hezbollah Saeed Mahmoud Diab auawa kwa drone ya IDF, akiendesha gari

    Wadau hamjamboni nyote? IDF wameamua na wamedhamiria kuhakikisha kuwa Viongozi white wa magaidi wanatangulia mbele za haki Nia wanayo, sababu wanayo na uwezo wanao! Leo kwa mara nyingine tena wamefanikiwa kuliua kubwa lingine la magaidi likiwa ndani ya gari lake huko Lebanon ya Kusini IDF...
  12. JamiiForums Tanzania Gari yako ishawahi kukuambia hivi?

    Haya magari ya siku hizi noma sana. Pata picha uko kwenye highway, expressway, freeway, interstate, etc. Kwenye uendeshaji wa magari kuna kitu kinaitwa highway hypnosis. Ile hali ambayo ukiwa unaendesha gari lakini unajikuta unaacha kuwa attentive na kuangalia barabarani na akili yako inakuwa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Zuchu aahidi kumnunulia Anjela gari

    Msanii wa muziki zuchu kupitia kipindi cha (lavidavi) cha wasafi fm ambapo alipokua akihojiwa Anjela, ameahidi kesho 22/8/2024 atamnunulia anjela gari aina ya Crown kwani ni kama dada yake na hakuna anaejua kesho huenda iko siku Anjela atakuja kumsaidia na yeye.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Gari za kwenda bagamoyo zinapatikana wapi

    Habar wakuu hivi gari zakwenda bagamoyo unapandia wapi mwenge au makumbusho au tegeta
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari la kukodisha

    Habari za leo wakuu, Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam weekend hii. Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ninunue gari ipi Mazda CX-5, Forester, Mitsubishi outlander,xtrail new moder

    Wakuu naleta kwenu wataalamu wa magari ninunue gari ipi Kati ya hizo hapo au nje ya hizo gari nilizotaja bajeti ya yangu ni 25-27m
  17. D

    JamiiForums Tanzania Gari aina ya Runx nyeusi linahtajika

    Nahitaj gari used Runx nyeus No D kwa anaeuza anichek DM nipo Dom.
  18. JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya ml. 4

    NINA 4,000,000 NIPE MOJAWAPO 👇 Nissan extrail, alteza, markx , mark2 markX, brevis
  19. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari dogo la kukodisha Dar

    Habari za leo wakuu, Natafuta gari dogo, binafsi, isiwe zaidi ya cc1400, kukodisha kwa mizunguko ya Dar es salaam wiki hii. Dereva ni mimi mwenyewe. mwenye nayo nicheck whatsapp 0688180839.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

    Wanajamvi Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani. Hii imekaaje?Ni sahihi kweli? Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…