gari

  1. Kati ya hizi gari, ipi ni nzuri Kwa mizunguko hapa mjini.

    Kati ya hizi gari ipi ni nzuri na Bora Kwa mizunguko ya hapa mjini.
  2. Nimekagua Gari sita Yard siku ya leo, majanga ni makubwa.

    Mfano hiyo hapo juu ni actual mileage inayonekana kwenye gari. Hii ni mileage inayoonekana kwenye website ya EAA. Gari imeshushwa 120,000Km sasa hiyo ina uafadhali ila zipo ambazo ni worst kuliko hiyo. inaonekana kununua gari na kuja kuuza na actual Kilometers watu hawataki kununua, kwa...
  3. Gari yangu voxy haizidi speed 40 ata ukikanyaga accelerator mpaka mwisho shida ni nini . Na anaejua changamoto zilizopo kwa gari za voxy msaada

    Wakuu habari za saivi Shida niliyonayo ni gari yangu haiziidi speed ya 40 na engine ina nguruma sio kawaida ninaomba idea zenu
  4. Kama jana tu Gari limeanza Kufanyiwa Majaribio kama litafaa Mashindanoni mwaka 2025 limeleta shida Njiani je, likirekebishwa litaweza Kutuvusha vyema?

    Na Mimi GENTAMYCINE tatizo langu Kubwa siyo hilo Gari kwani tokea linaruhusiwa kuwepo njiani (barabarani mwaka 2021) nililiona kuwa ni Bovu ila Abiria wengi walikuwa Wanalitamani kwakuwa hawakuwa hawakumuelewa Dereva wake Mtata wa Mwanzo. Hata hivyo kwa sasa Mimi wasiwasi wangu mkubwa ni...
  5. Kwanini ukipanda ama Basi au Gari linaloendeshwa na Mzee unakuwa na Amani na Safari yako kuliko ukipanda ambalo anaendesha Kijana?

    Halafu niwaombe mno Wazee mnaoendesha Magari / Mabasi hebu pangeni Siku muwe mnatoa Elimu kwa Vijana Ok?
  6. M

    Gari hizi trafiki wanazipenda kuzipiga mkono

    Mimi ni mtumiaji wa barabara kwa kiasi chake , kuna hii tabia ya trafiki wanaopiga bao barabarani Kuna gari zao wanazipenda sana kuzisimamisha bila sababu ya msingi 1.Ist, premio, corrola , Nissan dualis, gari yoyote Namba c, b, A na vigari vyote vya chini ya milioni 20 , na hata...
  7. Naiuza gari hii

    Habari,naiuza gari hiii Toyota town ace pickup Location Dar es salaam
  8. Kama umeajiriwa Halmashauri (Walimu, manesi) gari zako zisizidi 1500cc

    Ikiwa wewe umeajiriwa Serikali za mitaa (Halmashauri) hapa nazungumzia Walimu na Manesi huku wanapitishia mishahara NMB ni bora ukabaki kwenye IST, Premio, Passo, Carina na Corolla. Ukivuka hapo hesabu maumivu au uwe mwizi. NB: Ligi za Mazda CX5 sijui Land rover discovery 3 au 4 waachie vijana...
  9. Hivi ushawai kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari yako katikati ya safari hebu tuambie ulitembea umbali gani kwa miguu

    Kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani ni vitu ambavyo vinatokea kama ajari Wadau hivi sikuna watu humu walishawai kusota umbali mrefu baada ya kupoteza nauli au kuharibikiwa na gari njiani kitendo kilichokulazimu utembee kwa miguu mpaka sehemu unayokwenda. Sasa hebu tupe story ilikuwaje...
  10. U

    Tumekosana hatuongei! kisa nimemfananisha na mafarisayo, anadai kuagiza chakula hotelini au kujaza mafuta gari yako siku ya Sabato ni dhambi!

    Wadau hamjamboni nyote? Ni kisa cha kweli kabisa nimeona nikilete kwenu tupeane uzoefu Nimekosana na rafiki yangu wa karibu kwa sababu zisizo na mashiko kabisa! Tulianza kama utani kujadili amri za Mungu na tulikwenda vema tu hadi tulipofikia kujadili utunzaji amri ya nne ndipo tukakosana...
  11. Miaka 3 ya kondakta Nayce Moshi, sasa anamiliki gari ya milioni 17 na kahamia kwenye treni ya SGR

    Maisha ni popote, kazi zote zinalipa, mwisho kabisa kufa maskini ni kujitakia. Muwe na Siku njema
  12. Habari nzuri kwa makampuni ya Mabasi: CATL wazindua battery yenye lifespan ya miaka 15!

    Watengenezaji wakubwa wa battery za magari ya umeme CATL jana (tar 13 Sept) wamezindua battery Tectrans Bus Edition kwaajili ya mabasi ya umeme yenye lifespan ya miaka 15 au Kilometa Mil 1.5 na warranty ya miaka 10 au kilometa Million 1. Hii battery ina energy density ya 175 Wh/kg ambayo ni...
  13. I

    Historia ya gari aina ya Hummer

    Hummer ni chapa ya magari ambayo ina asili katika magari ya kijeshi ya Marekani yanayojulikana kama Humvee (High Mobility Multipurpose Wheeled Vehicle). Historia ya Hummer ilianza mwanzoni mwa miaka ya 1980 wakati kampuni ya AM General, ambayo ni tawi la American Motors Corporation (AMC)...
  14. Tatizo la gari kushtukashtuka

    Habari ndugu wana jamii forum, gari yangu aina ya nissan duals nmebadili plug juz tu,ila naona utofauti baada ya kubadili kwan gari kuna saa kama inashtukashtuka hivi kitu ambacho mwanzo hakikuwepo naomba mwenye kujua original plug za nissan duals anisaidie maana hawa mafundi wetu wanatuingiza...
  15. Weka gari yako ya umeme itakayompoteza Lucid Air!

    Hii Lucid Air kutoka Lucid Motors, USA, ni chuma na nusu aisee, especially kwa wadau wa executive sedans. Naikubali katika sekta zote tatu kuu, muonekano, technology na performance! Kwa muonekano, chuma inavutia sana, kuanzia nje na ndani. Imekaa kistylish na kisasa ukifananisha na sedans...
  16. Naweza pata gari za kwenda Morogoro usiku huu kutokea hapa Dar?

    Habari hivi naweza pata usafiri huo kwa usikuu huu? Na shida kidogo kwenda Morogoro
  17. Toyota harrier inatakiwa m31. Gari ipo Msasani/ostabey polisi mpya.

    Yes, Nauza harrier tako la nyani m31 karibuni sana. 0715 494920 & 0783 708437. Gari ipo Msasani karibu kabisa na kituo cha polisi ostabey mpya. (Mazungumzo yapo kidogo)
  18. M

    Mwizi wa gari adai Kanye West alimtuma kuliiba

    Mwanamke mmoja kutoka Luis ville Marekani, Ricki Smith mwenye umri wa miaka 28 amekamatwa akitaka kuiba gari na kudai kuwa Kanye West ndiye aliyemtuma. Tukio hilo lilitokea Ijumaa huko mtaa wa North main street. Smith sasa anakabiliwa na mashtaka ya kujaribu utekaji na wizi wa gari...
  19. Mtu akinywa castlelite 4, kisha akaendesha gari 120kph, anajihisi kama 30kph, sababu ni ipi hasa?

    Hii nimeshajaribu mara kadhaa, ukicheki dashboard mshale unasoma 120kph, gari inaenda kasi, lakini unaona kama imesimama hivi.., ukicheki nje unaona kabisa hii gari haizidi 30kph..,
  20. PreGE2025 CCM wamchangia Lissu Milioni 5 atengeneze gari lake. Lissu azipokea

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amewaongoza wajumbe wa NEC alioongoza nao ziarani mkoani Mwanza na wanachama wa chama hicho mkoani humo wamemchangia Shilingi Milioni Tano Makamu Mwenyekiti wa chama cha CHADEMA, Tundu Lissu ili kufanyia matengenezo gari yake. Pia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…