gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani kinakufanya ujue “Restaurant” bei yake sio za kitoto

    Kuna restaurant niliwahi kwenda Masaki kufika tu mnafunguliwa mlango na mzigo mnapokewa nikajiambia tu bora nilibeba kadi yangu ya benki ingekuwa fedhea 😂 Pale Hyatt ni hoteli lakin wanakufungulia hadi mlango wa gari. Mdau wewe Ni kitu gani ukikikuta kwenye mgahawa unajua bei lazima itakutoa...
  2. JamiiForums Tanzania Tamasha la kizimkazi linadhaminiwa na nani? Na lina lengo Gani? Naona watu maarufu wamejaa kizimkazi

    Kizimkazi ni kwao namba 1 wetu. Kuna hili tamasha linafanyika huko. Naona wasanii, media, mashabiki maarufu wa Yanga na Simba wanagharamikiwa Kila kitu kuinogesha Kizimkazi festival Hili tamasha la Kizimkazi Lina tija Gani kwenye michezo au Kwa Watanganyika. Yaani watu mamia Kwa mamia...
  3. JamiiForums Tanzania Ni changamoto gani unaweza kutana nayo iwapo hutaripoti kwenye kituo cha kazi ulichopangiwa na TAMISEMI?

    Nimekuj kwenu wana jf nisaidieni kunielewesha iwapo huta ripoti kazini(tamisemi) incase ukiwa umepata nafasi kuna changamoto yoyote utaipata mbeleni ukitaka kuomba ajira tena( Tamisemi). Na kama ni ndio kuna taratibu za kufuata kuepekan na hizo changamoto?
  4. JamiiForums Tanzania Dharau gani uliwahi kuonyeshwa ugenini?

    Ugenini Jamani kuna mambo Mengi sana. Na si ajabu unapoenda ugenini ukakutana na majanga tofauti tofauti. Ugenini kuna watoto waliokosa adabu, ugenini kuna watu wasiopenda wageni anaweza kuwa mume au mke. Unaweza kufika ugenini kumbe mmoja hana taarifa ile tu unaingia unaona watu Hawana furaha...
  5. JamiiForums Tanzania Ni maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya kwenye maisha yako?

    Maamuzi gani magumu umeshawahi kufanya mpaka sasa huamini kama ni wewe ulifanya yale maamuzi? Tiririka Mkuu..... Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Paris nchini Ufaransa 🇫🇷
  6. JamiiForums Tanzania Natumia njia Gani kati ya hizi kupokea hela?

    Kuna hela kidogo nimezipata mtandaoni Sasa Kuna hizi njia za ku withdraw kama Kuna anayejua inayosupport apa bongo anipe details 👇
  7. JamiiForums Tanzania Tabiri, ni tukio gani au msemo gani utatrend au ni nani atatrend hivi karibuni

    Nitataja watu au matukio yaliyotrend Tanzania. Sitaweza kuweka kwa mpangilio. Tabiri mtu atakayetrend , tukio au msemo utakaotrend hivi karibuni. Komando madafu Miso Misondo Konki master Lizer wa Tanzanite Mandonga mtu kazi Liquid piere Aslay na Binti kungwi Mwanachuo na Mirinda Bashite na...
  8. JamiiForums Tanzania KERO Serikali ya Mkoa wa Dar Es Salaam inampango gani na foleni ya Mbagala

    Foleni ya Mbagala Rangi 3 ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa barabara ya Kilwa Road. Sababu za kuleta foleni zinajulikana kuwa ni daladala. Tafadhali uongozi wa Mkoa tafuteni suluhisho la tatizo hili. Napendekeza itafutwe njia mbadala kama ilivyofanya zamani kwa daladala zinazotumia barabara...
  9. JamiiForums Tanzania Condom gani inautamu zaidi?

    Wakuu kuna condom ina utamu zaidi ya rough rider?
  10. JamiiForums Tanzania Mbinu gani nitumie kumnasa binti anayenisumbua?

    Ndugu wanajf, naomba tupeane ujuzi, Kuna binti Moja nimetokea kumpenda, nimemwambia kuwa namuelewa nae akakubali ila shida ninapomwambia swala la kummega ananipa kalenda daily. Naomba munipe ujuzi na mbinu ya kumshawishi huyu binti ili nimle. Naomba michango yenu tafadhali
  11. JamiiForums Tanzania Tupeane uzoefu ulichukua hatua gani na nini ulijifunza ulivyoyumba kiuchumi kurudi kwenye ubora wako

    Kuna kipindi niliwahi kuwa na biashara nzuri na wafanyakazi pamoja na usafiri wa kutembelea ulionipa heshima kila niendapo, ikatokea biashara ikayumba mambo yangu yakaharibika ikapelekea kuangukia kwenye madeni mpaka kuuza gari langu aisee heshima yangu ilishuka mpaka sakafuni kuna...
  12. JamiiForums Tanzania Simu gani ninunue kwa bajeti ya laki nne?

    Habari, Nahitaji ushauri wa simu ya bajeti ya laki 4. Nahitaji kununua simu mbili zawadi kwa watu wawili muhimu, bajeti kila moja isizidi laki nne. Thanks in advance
  13. JamiiForums Tanzania Changamoto gani iliopo kwenye biashara ya dagaa

    JamanI mimi nataka nifanye biashara ya dagaa nakua nasafirisha kutoka mwanza kupereka songea na iringa je ni changamoto gani ninaziweza kukutana nazo. Nahitaji TahadharI, faida zake na hasara zake kabla sjaamua kuanza kufanya biashar rasimi maana uzoefu ninao ila sio kuuzia nje ya mkoa
  14. JamiiForums Tanzania Kama Tajiri Max angekuwa analipa unahisi ni mwana JF gani angekuwa Tajiri?

    Endapo kama mmiliki wa JamiiForums, Tajiri Max angekuwa analipa watunga maudhui unahisi ni mwana JF gani angekuwa Tajiri? Tiririka...
  15. JamiiForums Tanzania Ukiwa Tajiri utaoa Mwanamke wa aina gani?

    Eti, utaoa Mwanamke wa aina gani na hutooa Mwanamke yupi? Weka vigezo vyako hapo chini Mkuu.
  16. JamiiForums Tanzania Mwenge unafaida gani wakati kuna mkaguzi mkuu wa serikali

    Mwenge ulitakiwa kuisha tokea kipindi cha nyerere. Ila naona mwenge ni kumaliza pesa za walala hoi tu. Majukumu ya mwenge ni yamebeba majukumu ya mkaguzi mkuu ambayo ni wajibu wake. Mwenge unafata nini tena unachukuwa machokoraa wa ccm
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mpaka sasa unaipa CHADEMA alama ngapi kisiasa kutokana na yanayoendelea?

    umesikitishwa na umekatishwa tamaa kwa kiwango gani kwa hadithi, maelezo, simulizi na malalamiko yasiyo na mashiko ya viongozi waandamizi wa chadema? Je, uamuzi wa kuishitaki serikali mahakamani kisiasa, una faida au hasara kwa Chadema? au ni kupoteza muda, rasilimali na kukosa hoja, mipango...
  18. JamiiForums Tanzania Sehemu za mwili zikicheza je Zina ashiria nini sana sana na matukio gani? karibu wenye uelewa wa elimu ya nafsi...

    Habari Katika mwili wa binaafamu Huwa Kuna viashiria vingi vinavyotokea kutokana na baadhi ya viungo kucheza....mfano wa viungo kucheza ni kama.. 1.Pua kucheza 2.kung'ata ulimi 3.ngozi juu ya jicho kucheza 4.na viungo vinginevyo.. 5... 6... Asante. Je yote haya yanaashiria nini sana sana...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume kitu gani kinawafanya muogope mnapokua kwenye mahusiano Na mwanamke aliyekuzidi kipato

    Hello JF, Wanaume kwanini mnakuwa hamjiamini ukiwa kwenye mahusiano Na mwanamke au ukioa mke aliyekuzidi kipato ingawa unakuta anakuheshim vizurii. inferiority inampelekea mpaka mwanaume kuanza kumnyanyasa mwanamke kimwili,kiakili Na kihisia....why ebu mtusanue
  20. JamiiForums Tanzania Uliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakakushangaa kuwa na wewe kumbe umo ila huvumi.

    Hivi mliwahi kufanya tukio gani shuleni mpaka mwalimu/waalimu wakabaki wanashangaa na kusema iv kumbe na wewe umo? na tokea hapo wakaanza kukuchulia walewale tu? Mimi nakumbuka tulikuwa kidato cha nne, ilikuwa mchana , madam g alikuwa yuko darasani kwetu mkondo A, alikuwa mwalimu wa somo la...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…