gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. W

    JamiiForums Tanzania Ni mambo gani hutakiwi kumshirikisha mpenzi wako, hata iweje?

    Mimi huwa najikuta very uncomfortable kushare mambo au shida za familia kwa mwenzangu hata kama mara nyingine anasisitiza naona kama kuna siku tukikwazana he will use that against me. Japo yeye anasisitiza kuwa tunatakiwa kusaidiana kwenye shida na raha lakini bado sijashawishika na hii kauli...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Hakuna marefu yasiyo na ncha. Ni kitu gani kinaweza kuja kuitoa CCM madarakani?

    Hakuna ajuae labda ni miaka 50 ijayo au zaidi, lakini hili halikwepeki. Najua humu JF kuna wachambuzi wazuri wa haya mambo ya politics za nchi, Ni kitu gani kinachoweza kuchangia ccm itolewe madarakani. Vyuma vikikaza sana Mpasuko mkubwa ndani ya CCM utaotengeneza chama kipya Muungano...
  3. JamiiForums Tanzania Mtandao wa Telegram Tanzania una shida gani?

    Wadau natumai mko vizuri. Kwa siku tatu sasa mtandao wa Telegram umekuwa haufunguki na nahusisha na taarifa kuwa kuna changamoto ya kimtandao licha ya kuwa Mamlaka husika hazijareport chochote. Telegram, imekuwa inaload tu Kwa siku ya nne sasa, kuna Nini kinaendelea?
  4. JamiiForums Tanzania Namba yako ya simu unayotumia sasa ulianza kuitumia mwaka gani?

    Mimi nilianza kuitumia mwaka 2008 enzi hizo unasajili bila NIDA na ndiyo laini yangu kuu mpaka leo yaani takribani miaka 16 sasa! Ya kwako umeanza kuitumia mwaka gani?
  5. W

    JamiiForums Tanzania Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani?

    Habari za mchana watu wangu Gari yangu imefikisha kilomita 144,573 nitumie oil gani maana nilienda kupiga service mafundi wakaweka oil ya Castrol (20w-50) Engine ikaharibika ilianza kupiga kelele nimebadilisha mswaki sasa nitumie oil gani?
  6. Y

    JamiiForums Tanzania MICHAPIO......MCHAPIO GANI UMEWAHI KUCHAPIA UKIKUMBUKA UNACHEKA MWENYEWE?

    Nilikua natuma meseji group la familia kuuliza kama hawajambo nikaandika "hamjambi humu ndani ?"
  7. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa online na kupata cheti, sehemu gani sahihi ya kujifunzia?

    Sehemu gani sahihi ya kujifunza Kifaransa na kupata CHETI?
  8. JamiiForums Tanzania Mbunge gani harudi 2025?

    Uchaguzi mkuu wa Tanzania unatabirika sana hasa kutokana na ushawishi wa chama cha mapinduzi. Ni wazi hata uchaguzi mkuu wa 2025 unatabirika japo utakuwa mgumu ikilinganishwa na ule wa 2020. Ni wazi CCM bado itadhibiti bunge baada ya uchaguzi mkuu wa 2025. Hili ni kweli ndugu zangu (si...
  9. JamiiForums Tanzania Kosa gani unalijutia na limeharibu maisha yako?

    Mimi najuta kwanini nilioa mapema. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa. Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina, za hospital na kienyeji ila...
  10. G

    JamiiForums Tanzania nina milioni 1, ninunue kifaa gani au niwekeze huduma ipi kwenye tech niingize pesa ?

    N:B: Sihitaji idea za PS, kamari, forex, bitcoin. habari zenu wana tech, naombeni mnipe ideas Nipo mazingira ya mjini binafsi ni muajiriwa lakini ni mdau mkubwa sana wa side hustles Nahitaji wazo au vifaa / huduma walau kuingiza elf 10 kwa siku, niliwahi kufungua banda la games tatizo kubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Hii Serikali imefeli kwenye usalama

    Niwe mkweli serikali ya CCM Chini ya Rais Samiah imefeli kwenye suala la Usalama kabisa. Kwa Sasa inteligensia ya Polisi ipo Chini kabisa. Uhalifu unafanyika na Wala polisi hawana taarifa ya uhalifu huo na hata ukiwapelekea taarifa hawaufanyii kazi. Kwa mfano kifo Cha Samwaja huko Singida. Mtu...
  12. JamiiForums Tanzania KWA UFAULU HUU ASOMEE KOZI GANI?

    Habari wakuu, Huyu ni binti nilitaka kujua kama mzazi ni kozi gani yenye tija anaweza kusoma , amemaliza kidato cha 4 2023.
  13. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu Wasabato, hizi sanamu za kazi gani?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Niwatakie Usiku mwema "Usijifanyie sanamu ya kuchonga, wala mfano wa kitu cho chote kilicho juu mbinguni, wala kilicho chini duniani, wala kilicho majini chini ya dunia" Kutoka 20:4
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni kisa gani cha kweli lakini cha kuogopesha na kusisimua ulichowahi kusimuliwa na mwanamke? Ulijifunza nini kutokana na kisa hicho?

    Binafsi nimebahatika kuwa na mahusiano ya kawaida na akina dada/mama na katika simulizi za kweli za baadhi yao hapa ningependa ku-share nanyi baadhi ya visa hivyo kama ifuatavyo: Wa kwanza: Huyu dada aliwahi kuwa girlfriend wa nabii mmoja maarufu nchini mwenye kanisa lake njia ya kuelekea...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Nina mtaji wa milioni 10 nifanye biashara gani

    Habari wana jf Nina mtaji wa milioni 10 nifanye biashara gani ambayo inaingiza kipato kizuri kwa siku ambayo haitaniletea hasara?
  16. JamiiForums Tanzania Kosa gani unalijutia hadi leo?

    Mimi najuta kwanini nilioa mapema tena huyu mwanamke ni nuksi. Toka nimeoa kila kitu kinaenda mrama, hapati mtoto mwaka wa 6 sasa, biashara tulianza zimekufa, kiufupi maisha yameharibika na nimepoteza mwelekeo kabisa. Tumepima afya yake wanasema hormones imbalance, ametumia dawa za kila aina...
  17. JamiiForums Tanzania Chuo gani huwezi pendekeza mdogo wako aende hapo?

    Oya bongo kuna vyuo vingi kwa level ya degree, lakini je ni chuo kipi huwezi kupendekeza mdogo wako eande akasome hapo? Sababu ni nini,?
  18. JamiiForums Tanzania Mikeka: kiasi gani cha pesa uliwahi shinda kupitia betting?

    Najua vijana wengi wanafanya betting ya football, casino nk kama sehemu ya kujipatia kipato. Wapo wanaoshinda na wapo wanaoliwa sana pesa zao. Leo tuambie kwenye reply, ni kiasi gani umewahi shinda kupitia betting au ni hasara gani umewahi ingia kupitia beeting?
  19. JamiiForums Tanzania Ni chuo gani hapa Tanzania huwezi mshauri ndugu yako asome hata iweje?.

    Wakuu ni chuo gani uliwahi kusoma ila baada ya kuwa pale na kupita ukagundua ni heri ungegundua mapema usingelienda kusoma pale? 🤣
  20. JamiiForums Tanzania MwanaFA nakubaliana na wewe; ila hapo mwishoni inategemea ni ndege wa aina gani na ana dhamira gani

    Kwanza natamani kujua mwana FA alimaanisha ndege gani? Ndege kiumbe au ndege usafiri? Kama ni ndege kiumbe basi tujue tu kwamba wapo aina za ndege ambao ni waharibifu na wana madhara kwa viumbe wengine. Hivyo ni wazi kabisa mbwa mkali yoyote atambwekea tu ndege huyo. Mbwa hawezi kunyamaza...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…