Mwaka gani ulikutana na tatizo la afya ya akili na kipi kilipelekea kukutana na tatizo hilo?
Nakumbuka nadhani ilikuwa mwaka 2020 na 2022 nilipata mawazo na msongo mkubwa baada ya kuenea corona dunia nzia tulishuhudia shughuli mbalimbali zikisitishwa na mambo mengi kusimama na ikatubidi...
Je ni watu wa IT, Credit, content creators, human resource, corporate, risk, au ni kitengo gani wanazengo chenye maokoto mengi??
Benki gani bongo zina maslahi mazuri kwa wafanyakaz wake?
Kila member wa JF ambaye amekaa hapa muda mrefu naamini kuna member mmoja au zaidi yuko kwenye ignore list yake... mimi huwa na-ignore mtu kwa sababu kujifanya ananijua sana...yaani mtu uliwahi ku post labda kwenu singida post ya mwaka 2017 huko ila mtu leo 2026 anakuja ku comment kwenye thread...
Mshana Jr hii elimu naomba nikupe uweze kuwajibu.
Ila nimeona mpaka kwenye teknolojia sio jina ila kwenye mambo mengi ambayo tunafanya kama binadamu.
mfano namba 9 inaweka kuwa 6 hapa ndio binadamu wakapishana.
Mfano 3 kwa mwengine ikawa B.
Kwa nini 6 iwe jicho la ufahamu .
Mwanasayansi...
Muda si mrefu kuna jamaa yangu nilikuwa naye hapa kwenye gori langu, ghafla bin vuu kuna kijidada kikali sana hapa jirani kikawa kinapita pita, jamaa kakiimbisha chap kwa haraka, mara paap! mshkaji ananiambia amepata imejensi, baada ya kumdodosa akasema amejaribu kumsoundisha mtoto, mtoto...
Uzi huu ni kwa ajili ya watu wa mazoezi wanaoenda gym au wale wanaofanya mazoezi makali iwe ya kukimbia, mazoezi ya viungo au high intensity interval training (HIIT) au kunyanyua vitu vizito.
Je unatumia njia gani kurecover after mazoezi? Especially kama unafanya siku 3 mpaka 5 kwa week?
1...
Wanawake wanaojiuza kimboka, kwenye bar na clubs wanaosemwa na kuchukuliwa vibaya sana na jamii lakini mimi nafikiri hao wako wazi zaidi, sio wanafiki na wanafanya biashara rasmi.
Wanawake wanaoingia au kuwa kwenye mahusiano kwa sababu ya pesa tofauti yao ni kwamba wao wanakuwa wanafanya...
Jirani yangu hapa alistaafu mpaka na sherehee tukafanya ila bado anaendelea na bonus za kutosha.
Ina maana cha kuwalipa pesa kubwa mkaona sasa wabaki waendelee kuwatetea CCM mfike mpaka 2030.
Halotel wanashida gani nimekuwa nikituma meseji masaa manne sasa meseji zinaandika not sent na kwa ninao zungumza nao zinakuja zikijurudia sms moja mara mbili had sita, mtando piah umekuw ukisuasua nini shida maana imekuw kero sasa.
Katika maisha ya kila siku, wanawake wengi hupitia mabadiliko mbalimbali ya kiafya bila kuelewa chanzo chake halisi. Wakati mwingine, dalili zinazoonekana kama magonjwa ya kawaida zinaweza kuwa ishara ya ujauzito mchanga.
Ni muhimu kwa mwanamke kuutambua mwili wake na kufahamu mabadiliko...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) ilituhakikishia kuwa hatua mbalimbali zilizochukuliwa zimepunguza kwa kiasi kikubwa, au hata kutokomeza, utapeli wa mtandaoni. Hata hivyo, uzoefu wangu binafsi unaonyesha taswira tofauti.
Katika kipindi cha miezi mitatu tu iliyopita, nimepokea jumbe nyingi...
Kila binadamu dunia kuna kitu ambacho anapendelea kukifanya bila kujali icho kitu kina madhara katika nyanja tofauti tofauti kijamii,kiuchumi na kifamilia mathalani akifanya icho kitu anapata amani na furaha ya moyo
Ni kitu gani ambacho lazima ukifanye hata iweje na unakipenda bila kujali...
Moja ya tabia wanaume wengi huijenga ni kuchukia kelele na purukushani nyingi as umri unaenda.
Ni kawaida kukuta mwanaume ulikuwa unaishi kwenye mazingira yenye kelele, nyumbani kelele ,(mke) ulikuwa mtu wa kwenda club nk , nyumba za ibada zenye kelele lakini as time goes unajikuta hupendi...
Eti Wakuu mnafanyaje?
Nimefanya kila mbinu kuepuka mtego huu wa ku-bet bila kutumia pesa yangu ambayo nimeweka kama akiba ila nimeshindwa, umekuwa ugonjwa wangu karibu kila ninapo suka mikeka yangu.
Hali hii inaniumiza sana na sijui najinasuaje?
Wakuu
Baada ya kuangalia perfomance ya The Mother na Malkia wa Majukwaa ya Kombe la Dunia 'Shakira', The African Giant 'Burna Boy', Tyla kwenye ufunguzi wa michuano hiyo mikubwa ulimwenguni, unadhani ni Msanii gani wa Tanzania anapaswa kupewa Mkataba wa wimbo wa FIFA World Cup ijao?