gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kampuni ya tigopesa mna matatizo gani

    Kampuni ya mawasiliano Tigo upande wa huduma ya miamala mnatukwaza sana. Nashangaa inakuaje nataka pesa zangu hampatikani. Yaani mnaudhi mnakera
  2. JamiiForums Tanzania Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

    Binafsi kete naitupa kwa TID na Marioo hapo ni upande wa wasanii wakiume kwa wakike nafikiri maunda zorro na Vumi. TID Mario Maunda Vumi
  3. JamiiForums Tanzania Naomba kuelimishwa kama ungekuwa na shamba Hekari 30, ungelima au ungelifanyia shughuli gani?

    Nimekuja kwenu kupata elimu kutoka kwa wazoefu, Mimi ni mtumishi Mwalimu nipo kigoma, kwa mara ya kwanza nilipata shamba Hekari 6 kigoma, nikafikiri cha kufanya nikaona nilime migazi hekari zote sita, migazi ni mti unaotoa mafuta ya mawese, pamoja na mafuta ya mise, mafuta yanayotumika...
  4. JamiiForums Tanzania Nimeota nakula keki na vyakula vingine ambavyo sikumbuki, ndoto hii ina maana gani?

    Wakubwa, kwema? Naomba msaada wa hii ndoto, imeota nikiwa nakula (vingine sikumbuki). Cha ajabu ni ndani ya dakika 17 tu nilizopitiwa na usingizi, hii imekaaje?
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Nauliza hivi; tunatumia vigezo gani kupima maendeleo Tanzania?

    Utasikia uchumi umepaa mara maisha bora, hivi kwa speed yetu iko siku tutafikia nchi kama USA?
  6. JamiiForums Tanzania Mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba sasa hivi hapa Mjini?

    Wakuu nimenunua Kitenge kikali sana, na target yangu kubwa ni kushona shati ya Kitenge kali sana, Hivyo nipeni mwongozo na uzoefu ni mtindo gani wa Mashati ya Kitenge unabamba kwa sasa hapa Mjini..?
  7. M

    JamiiForums Tanzania HIVI WACHAWI HUWA WANAMSAADA GANI KWENYE VITA VYA LEBANON NA GAZA?

    Hawa watu huwa wana msaada gani? Maana mbona science ndio inaonekana ndio kila kitu...si dini wala uchawi unaweza kusaidia
  8. JamiiForums Tanzania Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?

    Funguka. Ni kosa gani umewahi kulifanya kwenye Mahusiano/Ndoa na umeapa kutorudia tena?
  9. JamiiForums Tanzania Ni kitu gani ulijaribu kukifanya mara moja na ukagundua hutakaa ukirudie tena?

    Aisee miye kuna snacks hizi wanaita Pringles yooooh zimenishinda kabisaaa Maisha yangu yote Mara ya kwanza tu kujaribu kuzila ndio ikawa funga kazi, nimeshindwa kuzirudia hata kama nikiona wengine wanakula miye mzuka nazo sina kabisaa Hebu tuambie na wewe, nini ulijaribu mara moja na ukasema...
  10. JamiiForums Tanzania Kataa ndoa naona mmeamua kufika mbali h

    KUNa vitu vina tia sana uchungu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa NEC amejiandikisha, je unadhani atachagua viongozi wa chama gani?

  12. JamiiForums Tanzania Pepo gani hili? Navutiwa kuwa na mahusiano na Wanawake walionizidi umri

    Wakuu habari za mda huu.. leo nimeshindwa kulala nikitafakari sana Mwanzani nilijua ni sifa kutembea na watu walioniacha umri. Ila sasa imekua too much wakuu maana imefikia kipindi mpaka wasichana wa rika langu siwaelewi.. Hii hali ya kutowaelewa hawa wa rika yangu imeanza baada ya kujiona...
  13. C

    JamiiForums Tanzania TANESCO kwani mna matatizo gani? Siku zote hamkati umeme leo siku ya derby ndio mnakata sio bure mnatafuta sifa na kiki

    Naandika kwa masikitiko makubwa Leo nimelipia kingamuzi changu cha 28,000 kwa ajili ya Derby na kibanda umiza changu cha kuunga unga ila ghafla wamekata umeme. Na Leo ndio ilikuwa siku ya kutusua mana watu walijaa si haba Wameondoka wote na kwenda kwenye banda lense jeneeta. Imeniuma sana...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anayetelekeza watoto mapacha wa miaka miwili anawaza nini?

    Dah! Kuna watu wana roho ngumu, basi tu. Hivi, kweli, mwanamke anaejitambua, anawaza nini anapoamua kutelekeza vipacha vya miaka miwili na nusu? Baba ndo awe mlezi, awe mtafutaji, mama akale bata na wanaume kusikojulikana! Japo na wanaume hawako sawa(badhi),ila pia wanawake na wenyewe kuna...
  15. JamiiForums Tanzania Je Urais wa IPU Una Faida Gani Kwa Tanzania? Majibu Haya Hapa

    Kuna Hype (mhemuko) mkubwa kkwenye social media juu ya clip za Tulia Ackson akiwa kwenye mkutano wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU). Kuna wanaomsapoti kwa kauli zake kali dhidi ya maswali ya wabunge wakidhani amewaonyesha kuwa ana uwezo wa ki-uongozi. Na upande mwingine wanamuona amefeli kwenye...
  16. JamiiForums Tanzania Kuelekea Derby ya Kariakoo kesho, tabiri tukio gani la kisiasa litajitokeza

    Kama mnavyojua, Simba na Yanga ndio mtaji wa wanasiasa wa Tanzania. Hebu tabiri unahisi tukio gani la kisiasa lazma litajitokeza uwanjani?
  17. R

    JamiiForums Tanzania Waha na Wakinga wanapesa ila wanaongoza kuishi maeneo yasiyopimwa (Uswazi); Kabila gani jingine linapenda msongamano?

    Waha wangeamua kuishi kifahari wangeweza ila wengi wanapenda kuficha utajiri wao. Ni mara chache sana kuwakuta Waha wakiishi maeneo ya uzunguni. Hata awe na pesa kiasi gani atakwenda kununua kiwanja eneo lisilopimwa. Yupo tayari ameseme ana viwanja hata kumi ila vyote hakuna chenye sqm 1000...
  18. W

    JamiiForums Tanzania Simu yako ya gharama ulinunua bei gani na siku ulipopoteza au kuibiwa ulijisikiaje?

    Nilijitahidi sana na kufanikiwa kununua iPhone 7 Plus nikiwa mwaka wa kwanza chuoni mwaka 2019, kipindi hicho simu hiyo bado ilikuwa maarufu sana. Nilikuwa naipenda sana kwa sababu ilikuwa inapiga picha nzuri na pia niliweza kuhifadhi mambo yangu mengi. Siku moja nikiwa njiani kuelekea Mwenge...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Maeneo gani Morogoro hayana vumbi kali

    Unakuta nyumba nzuri ila vumbi la mazingira linaingia Hadi ndani ni tabu tupu. Wapi kwenye unafuu? #Morogoro manicipal
  20. JamiiForums Tanzania Swali la Siku: Dhana gani kuhusu Chakula fulani unahisi ni Potofu?

    Leo Oktoba 16 ni Siku ya Chakula Duniani, licha ya umuhimu wa chakula kwa afya ya Binadamu, kuna dhana Potofu nyingi kuhusu chakula katika Jamii Kama mdau wa JamiiCheck.com, tujuze ni dhana gani umewahi kuisikia kuhusa chakula ambayo unahisi ni Potofu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…