gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Ulipokwenda ugenini, tabia gani za watoto zilikushangaza?

    Nipo Ugenini huku Mikoa ya Kaskazini, nimekuta kwenye hii familia watoto wana tabia ambayo imenishangaza sana na wazazi wanachukulia poa tu, Jana tulikwenda sehemu wakanitembeze nione miazingira wakati tunataka kwenda watoto walitaka kwenda nasi, wazazi wakasema wababi wafanye kazi za shule...
  2. JamiiForums Tanzania Rais Museveni hii leo akutana na Ujumbe wa Abdul Hafidh mtoto wa Samia ikulu ya Entembe. Hivi huyu dogo ana cheo Gani serikalini?

    Kuna maswali yanakuja kichwani kwangu bila majibu. Rais wa Uganda anampokea kwa itifiki ipi je ni ya kiserikali au huyo bwanamdogo ni mfanyabishara au mwanasiasa au balozi wa hii Serikali? Mwenye ufahamu tafadhali maana nachanganyikiwa.
  3. JamiiForums Tanzania Bank gani Tanzania ina unafuu?

    Imekuwa kawaida siku hizi kukuta CRDB wamekata hela zangu kwenye account. nikiuliza maelezo yao yamejaa ubabaishaji tu. Hivi bank gan kibongo ina unafuu? maan NMB naona nao wanalia balaah
  4. M

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo sababu ambazo hupelekea wakati mwingine umeme kukatika katika

  5. JamiiForums Tanzania Kwetu wafanyabiashara wadogo: Je, ni kero gani unazokumbana nazo kutoka kwa wateja wako?

    Habarini za asubuhi wana jukwaa,, niende moja kwa moja kwenye mada yangu: Hivi ninyi watu au tuseme wateja mnao fika ofisini kwa mtu/dukani na kuanza kupepesa macho yako huku na kule kutafuta kitu flani na baadae kuondoka kwa kujisemea kwamba kitu hicho hakipo huwa mnajielewa kweli?, kwanini...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Ccm na mamayao kuzomewa kila kona hadi na Dr. Ndlozi wa Africa Kusaini kijana mdogo wa Julius Malema inatoa picha gani.

    Kwa mtazamo wangu Samia na genge lake la watekaji,wauwaji, mafisadi na ma-cartels ya mafuta nimegundua kuwa ccm ni genge ambalo limefikia damu ya kunguni kiasi kwamba hakuna mtu anayetaka kusogelewa nalo hadi Dr. Ndlozi amewaonya SADEC kutomruhusu Samia kukaa naye kama mkuu wa Nchi kwasababu...
  7. JamiiForums Tanzania Kutunza pesa huwa ina maana gani katika utamaduni wa kibongo?

    Kuna clip nimeona Sheikh Walid anatoa daawa mi sikitini halafu wanainuka watu wanampa pesa kwa kumuwekea kwenye mifuko ya koti, kumshikisha mkononi na nyingine hadi kwenye bargashia! Huu utamaduni wa kutunza/kutunuku pesa bongo huwa una maana gani hasa ? Huwa naona nchi nyingine utunzaji...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa wadada ambao ukiwatongoza tu wanakubali hapo hapo wanakuwa na sababu gani kati ya hizi?

    1. Wanakuwa na ugwadu wakati unawatongoza 2. Hawajatongozwa muda mrefu 3. Wanadaiwa kausha damu wanataka baada ya sex waombe hela 5. Wanaogopa kukupoteza Unaombwa mawazo yako huru ndugu mdau
  9. JamiiForums Tanzania CHUO GANI RASMI KWA SASA KINATOA FANI YA UFUNDI WA PHOTOCOPI NA PRINTA

    Wale wajuvi wa mambo naomba msaada kama kuna chuo rasmi kama ilivyo kwa fani zingine zinazotolewa VETA.
  10. JamiiForums Tanzania Ni kiwango gani cha umalaya umewahi kukifanya mpaka leo ukikumbuka unajishangaa?

    Mimi mwaka juzi nilikua natoka kimapenzi na mdada flani hivi,sasa huyo mdada alikua na best yake,nikawa namzunguka namla na best yake,so kwa kifupi nikawa nawala marafiki walioshibana kwa wakati mmoja. Case ya pili mwaka 2019 niliwahi kuwala wadada wanne kwa siku moja,kila mtu nilimkaza kwa muda...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs?

    Wakuu mambo niaje? Kwa hapa Kariakoo ni duka gani naweza kupata jezi za zamani za clubs za Uingereza kama hizi?
  12. JamiiForums Tanzania Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa mtapata faida gani? Utawala wenu utakubalika zaidi?

    Amekutwa na hatia ya kujibu. Maana yake kuchomoa hizi hatia kwa mahalama zetu hizi za Tanzania ambazo kada wa CCM Rostam Aziz alisema zinafanya maamuzi kwa kupigiwa simu ni kidogo sana. Ikitikea akahukumiwa kunyongwa hadi kufa kwa kosa hili la uhaini wa mchongo mtapata faida gani. Kwamba...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Wanaohusika kudai fedha za ‘parking’ kwa kusimamisha magari barabarani, wamekuwa kero kwa Wananchi!

    Wakusanya malipo ya maegesho (parking), kwa kuvamia kando ya barabara na kuanza kukusanya malipo wamekuwa kero sana na mara nyingi wamekuwa wakiona ufahari kusumbua wenye magari. Hii hali ina kera sana kupoteza muda wa Wananchi. Wananchi kweli anapaswa hulipia lakini kwanini wasiweke njia nzuri...
  14. JamiiForums Tanzania Ni uraibu gani unatamani ujinasue nao lakini umeshindwa?

    Kwa hali ya kawaida katika maisha ya kila siku jambo moja huanza taratibu na mwishowe huwa ni mazoea. Kiasili ubongo wa mwanadamu hupenda starehe sana kuliko shida. Yaani mtu anaweza kushikwa uvivu, kughairisha mambo, kuacha kazi baada kuona ni ngumu japo inalipa, kulala sana n.k. Hivyo mara...
  15. JamiiForums Tanzania Wewe kama memba wa JF una mchango gani humu?

    Wewe umetoa mchango gani kumtoa kijana humu kwenye sifuri na kwenda kwenye ndoto zake? Nina vijana watano humu wanajijua wamefanikiwa kupitia mimi, kama wapo online watakuja. Note: achana na vijana wanao kuomba pesa hasa 20 za kubeti humu gademitt.
  16. P

    JamiiForums Tanzania ANAANDIKA MKE WANGU KWA HABARI YA MAGONJWA YAKE

    Naomba msaada na ushauri kutoka kwa wataalamu wa afya kuhusu historia yangu ya kiafya. Kwa muda mrefu nimekuwa nikisumbuliwa na matatizo mbalimbali ya kiafya. Sehemu kubwa ya maisha yangu nimekuwa nikiumwa mara kwa mara; leo tatizo hili, kesho lingine. Mwaka 2018 nilifanyiwa upasuaji na...
  17. JamiiForums Tanzania Huu utaratibu wa CR7 kwenye kufunga ndoa yake ni mzuri sana, ni wa kuigwa. Una maoni gani mdau?

    Mke wa Cristiano Ronaldo, Georgina Rodríguez amesema ndoa yake na Mumewe ilifungwa katika sebule ya nyumba yao Cascais, Ureno huku ikihudhuriwa na Watu saba tu. Kauli ya Georgina inakuja ikiwa ni takribani wiki moja tangu kufungwa kwa ndoa hiyo ambapo katika mahojiano maalum na Vogue, amesema...
  18. JamiiForums Tanzania Tamasha la Kizimkazi lina umuhimu gani kwa Watanganyika?

    Nataka kujua umuhimu wa hili tamasha kwa Watanganyika ambao hadi leo taifa lao limepotezwa. Hawana uhakika wa maji salama, barabara ni tatizo kubwa vijijini na mijini. Watanganyika wapo zaidi ya mil 60. Ndio wanaolipa kodi na kuendesha maisha ya Wazanzibari mil 1+ Tamasha kama hili...
  19. X

    JamiiForums Tanzania Dunia ya AI Yaanza Kugawanyika Katika Mifumo Miwili: Marekani 🇺🇸 au China 🇨🇳 — Tanzania Itaegemea Upande Gani?

    China imezidi kuikalia kooni Marekani kwenye vita ya teknolojia ya AI hivi kwamba Marekani imeanza kuhofia kukosa ushawaishi na kuanza kuyapiga mikwara mataifa mengine duniani Iko hivi: Kwa mujibu wa Reuters, Marekani inaandaa kuishinikiza takribani nchi 35 zinazohusishwa na mpango wake wa Pax...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Bi Ayi Dham'bin' Kut'lat kwa kosa gani umeuwawa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…