Bank gani Tanzania ina unafuu?

Bank gani Tanzania ina unafuu?

Imekuwa kawaida siku hizi kukuta CRDB wamekata hela zangu kwenye account. nikiuliza maelezo yao yamejaa ubabaishaji tu.

Hivi bank gan kibongo ina unafuu? maan NMB naona nao wanalia balaah
Bank wana makato ambayo hayapo wazi ,kuna nyingine wanakwambia hatuna makato ya mwezi ila ukitoa pesa wanakata elfu 5 nzima ,ukitoa mara tatu maana yake elfu 15.

Kama wewe unafanya miamala sana ya LIPA NAMBA kununua bidhaa au kulipa online services basi Selcom ipo vizuri.
 
Imekuwa kawaida siku hizi kukuta CRDB wamekata hela zangu kwenye account. nikiuliza maelezo yao yamejaa ubabaishaji tu.

Hivi bank gan kibongo ina unafuu? maan NMB naona nao wanalia balaah
Bank zote zinafanana linapokuja suala la maslahi. Ni kama makampuni ya simu tuu bei ni moja kupiga simu tofauti ni majina tuu.
 
Imekuwa kawaida siku hizi kukuta CRDB wamekata hela zangu kwenye account. nikiuliza maelezo yao yamejaa ubabaishaji tu.

Hivi bank gan kibongo ina unafuu? maan NMB naona nao wanalia balaah
Wote kausha damu kama ilivyo hawa wavuchochoronitofauti ni kuwa wanajivika suti Tu🤣
 
Back
Top Bottom