Allah amsamehe madhambi yakeHivi,hao askari walishindwa hata kusoma hali na mazingira ya hao vijana?Kwa uzoefu, mbinu na mafunzo yao walishindwa kutambua chochote?
Marehemu lakini na siyo hao wauaji.Allah amsamehe madhambi yake
KabisaMarehemu lakini na siyo hao wauaji.
Hyo ni ajali kazini tu wangapi humu tumepitia masoto ya wanajeshi na hakuna walikosema kama wengekuwa wanania ya kuwauwa wangewaulia pale pale getini wasingeambiwa waondoke.NIanza kwa maneno haya yaliipo katika kitabu kitakatifu cha Qur an yakimaanisha kuwa hili ni swali ambalo Mungu Mwenyezi atawahoji waja wake walouwawa kwa kudhulumiwa
Askari unamuua mtoto wangu akiwa getini kwa kumpa jina la ujangili hali ya kuwa hana hata kisu kwa hiyo angemuua tembo kwa kumpiga roba au angeokota mjiwe amtwange faru kichwani kisha ang'oe upembe kwa meno
Unavaa uniform ya serikali ili uhatarishe uhai wetu sie wenye serikali
View attachment 3650985
Acha kutetea mauaji. Wewe kama hukufa ni wewe.Hyo ni ajali kazini tu wangapi humu tumepitia masoto ya wanajeshi na hakuna walikosema kama wengekuwa wanania ya kuwauwa wangewaulia pale pale getini wasingeambiwa waondoke.
Back 2010 nishapitaga eneo la jeshi banana ambko hawaruhusu kutembea raia nikala budy kuanzia saa 1 mpka saa 5 usku nikiwa nimetepeta.
Na wengi tu yanawakuta hayo ya adhabu za polisi sema ndo vile tu wana walikuwa na mapafu ya k vant na viroba
UnasemaAcha kutetea mauaji. Wewe kama hukufa ni wewe.
Unatetea ujingujinga.Wamesababisha kifo.Kawatetee kwa hayo maneno yako ya kijinga ili aliyekufa afufuke.Hyo ni ajali kazini tu wangapi humu tumepitia masoto ya wanajeshi na hakuna walikosema kama wengekuwa wanania ya kuwauwa wangewaulia pale pale getini wasingeambiwa waondoke.
Back 2010 nishapitaga eneo la jeshi banana ambko hawaruhusu kutembea raia nikala budy kuanzia saa 1 mpka saa 5 usku nikiwa nimetepeta.
Na wengi tu yanawakuta hayo ya adhabu za polisi sema ndo vile tu wana walikuwa na mapafu ya k vant na viroba
HAKUNA KITU CHA THAMANI KWENYE MAISHA KAMA UHAI MZEE.Hyo ni ajali kazini tu wangapi humu tumepitia masoto ya wanajeshi na hakuna walikosema kama wengekuwa wanania ya kuwauwa wangewaulia pale pale getini wasingeambiwa waondoke.
Back 2010 nishapitaga eneo la jeshi banana ambko hawaruhusu kutembea raia nikala budy kuanzia saa 1 mpka saa 5 usku nikiwa nimetepeta.
Na wengi tu yanawakuta hayo ya adhabu za polisi sema ndo vile tu wana walikuwa na mapafu ya k vant na viroba
Mkuu hawa waliteswa extremely. Baba wa marehem kadai mwili ulikuwa na alama za viboko na damu kuvilia ndani. They acted very unprofessional.Hyo ni ajali kazini tu wangapi humu tumepitia masoto ya wanajeshi na hakuna walikosema kama wengekuwa wanania ya kuwauwa wangewaulia pale pale getini wasingeambiwa waondoke.
Back 2010 nishapitaga eneo la jeshi banana ambko hawaruhusu kutembea raia nikala budy kuanzia saa 1 mpka saa 5 usku nikiwa nimetepeta.
Na wengi tu yanawakuta hayo ya adhabu za polisi sema ndo vile tu wana walikuwa na mapafu ya k vant na viroba
R.I.P - Mdudu .. handsome....NIanza kwa maneno haya yaliipo katika kitabu kitakatifu cha Qur an yakimaanisha kuwa hili ni swali ambalo Mungu Mwenyezi atawahoji waja wake walouwawa kwa kudhulumiwa
Askari unamuua mtoto wangu akiwa getini kwa kumpa jina la ujangili hali ya kuwa hana hata kisu kwa hiyo angemuua tembo kwa kumpiga roba au angeokota mjiwe amtwange faru kichwani kisha ang'oe upembe kwa meno
Unavaa uniform ya serikali ili uhatarishe uhai wetu sie wenye serikali
View attachment 3650985
Hawa Kitanzi kinawalamba chapu tu...Mkuu hawa waliteswa extremely. Baba wa marehem kadai mwili ulikuwa na alama za viboko na damu kuvilia ndani. They acted very unprofessional.
Walipewa kazi/mamlaka ila akili wakazikalia.Matokeo yake ndiyo hayo wanasababisha madhila kwa wengine.Hawa Kitanzi kinawalamba chapu tu...
Mkuu, matukio kama haya yanayotokea nyuma ya pazia na hayafahamiki ni mengi. Hakuna kikosi chenye kiu ya damu kama hawa watu. NB: watu watanishangaa sana mimi nikisema tukio kama hili wala halijanishangaza hata kidogo. Kama rais wa nchi anaweza kufurahia hadharani kuuawa kwa watu kama ilivyotokea 29/10 na raia wakaona ni poa tu, tena baadhi wakamshangilia tunadhani hao polisi watafanya nini?Hivi,hao askari walishindwa hata kusoma hali na mazingira ya hao vijana?Kwa uzoefu, mbinu na mafunzo yao walishindwa kutambua chochote?
Umeamdika uhalisia mtupu.Siongezi neno.That's a damn shame!Mkuu, matukio kama haya yanayotokea nyuma ya pazia na hayafahamiki ni mengi. Hakuna kikosi chenye kiu ya damu kama hawa watu. NB: watu watanishangaa sana mimi nikisema tukio kama hili wala halijanishangaza hata kidogo. Kama rais wa nchi anaweza kufurahia hadharani kuuawa kwa watu kama ilivyotokea 29/10 na raia wakaona ni poa tu, tena baadhi wakamshangilia tunadhani hao polisi watafanya nini?
Watanzania tuache unafki! Nchi ikishafikia kwenye stage ya kuua raia bila kosa kama ilivyokuwa 29/10 na muuaji akapita mitaani anatamba na baadhiyetu tukamshangilia na kuendelea na maisha, hiki kilichotokea kwa huyu kijana kinawashangaza kweli?NIanza kwa maneno haya yaliipo katika kitabu kitakatifu cha Qur an yakimaanisha kuwa hili ni swali ambalo Mungu Mwenyezi atawahoji waja wake walouwawa kwa kudhulumiwa
Askari unamuua mtoto wangu akiwa getini kwa kumpa jina la ujangili hali ya kuwa hana hata kisu kwa hiyo angemuua tembo kwa kumpiga roba au angeokota mjiwe amtwange faru kichwani kisha ang'oe upembe kwa meno
Unavaa uniform ya serikali ili uhatarishe uhai wetu sie wenye serikali
View attachment 3650985
Bado haitoi uhalaliHyo ni ajali kazini tu wangapi humu tumepitia masoto ya wanajeshi na hakuna walikosema kama wengekuwa wanania ya kuwauwa wangewaulia pale pale getini wasingeambiwa waondoke.