gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Video: Watoto hawa wa shule gani? Kwanini waingizwe kwenye siasa?

    Hawa wa shule gani?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hili la Lissu na tulipofika: "Hivi hatuoni aibu kuchagizwa, ili kutenda haki? Hivi tutakuwa hata na majibu gani kwa Mola?"

    Kwamba kwa ajili ya haki tunabidi kuchagizwa kweli kweli na sasa kutokea nje ili Lissu awe huru, kina Mdude, Soka, Kipanya na wengine mlio nao kinyume cha ubinadamu wapatikane wakiwa hai? Kwamba wenye kuhusika na kuyaridhia hayo ni ninyi, na mwaona mko sahihi, maisha yanaendelea ali mradi...
  3. JamiiForums Tanzania Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza

    Chimbo gani zuri kununulia vifaa vya umeme kwa ajili ya kuuza
  4. R

    JamiiForums Tanzania Yemen ina tofauti gani na ukuta usio na mlinzi ulioandikwa "usikojoe hapa" ? Inawezekanaje ndege 30 za Israel ziingie bila hata moja kuangushwa ?

    Ndege 30 zimeingia kwenye anga la Yemen kwenye ukanda wa Houthi lakini wameshindwa kuotea hata moja tu ? Hata hivyo, lawama kamili huenda ikaelekezwa kwa Iran, ambao wapo nyuma ya Houthi. Inaonekana kwamba Iran waliwapatia Houthi mifumo ile ile ya ulinzi wa anga ambayo Israel waliidharau kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Walimu wa madrasa mna shida gani? Mbona mnautia matope dini ya haki na ukweli(uislamu)

    Mahakama ya Wilaya ya Lushoto, imemhukumu mwalimu wa Madrasa Abuubakar Hamis, mkazi wa eneo la Dule B lililopo Jimbo la Bumbuli wilayani humo, baada ya kukutwa na hatia ya Kumlawiti mara kwa mara Mtoto wa kaka yake wa kiume, ambaye ni Mwanafunzi wa darasa la pili na kumsababishia athari kubwa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Kabila gani ni nzuri kuoa hapa Tanzania

    Yaani ukishaurika itakubidi ufunge safari kumfuata au ni hapo ulipo itakuwa huna haja ya kuhangainga. Nasikia wadigo au Watanga ,ila sijaona uzuri wao mie nipo Tanga ,ila nawaona wapo ovyo. Pengine mwezi ujao nikaelekea Mtwara ,ila ushauri wa hapa si mnajua jungu kubwa halikosi ukoko.
  7. JamiiForums Tanzania Je, chama kikongwe kitatumia dodoki gani ili kisafishike kitakasike?

    Je, mchafu anachafuka tena? Hapana! Je, mchafu anachafuliwa tena? Jibu pia ni hapana. Kutoka jina jema kabisa la chama cha wanaolima na wanaofanya kazi, kuendea majina mengine kama Chama cha walafi Chama cha chukua chako mapema Chama cha majambazi mpaka chama cha mauaji/wauaji... Kuna...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Kuna utofauti gani kati ya kuwa Introvert, kupenda kujitenga na kuwa mkimya ?

    Aina hii ya watu hutofautiana kivipi ?
  9. JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri movie gani kali niangalie

    Movie yoyote ambayo itanifundisha au itabadirisha mindset yangu hasa katika kupambana na umaskini. Asante Jina tu la movie linatosha
  10. JamiiForums Tanzania Hivi kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani hapa duniani?

    Mimi kabla sijafa natamani kwenda Ukraine na Urusi kule kuna wanawake wazuri kuliko sehemu yoyote duniani sio uzuri, sio akili, sio shape wanawake wa hizi nchi wameumbwa aisee. Weka nchi zako na wewe kabla hujafa unatamani kutembelea nchi gani.
  11. JamiiForums Tanzania Harufu ya kitu gani unaipenda zaidi?

    Kwema wakuu, natumaini siku imekuwa poa kwenu. Alright, tiririka ni harufu (scent/smell) ya kitu gani unaipenda zaidi? Copy to: secretarybird | Binti Sayuni03 To yeye | Joanah | dosho12 Lax | Chica Gee | Mshangazi dot com | Poor Brain | mshamba_hachekwi | Tajiri Sina BAYA | and 100 others
  12. J

    JamiiForums Tanzania Maneno gani huwa unaitwa yanakushangaza lakini hayakuboi?

    Hi chit chat, Mimi Mtaani 1. Cheupe 2. Wa kishua 3. Mwanachuo JF 1. Mwanaume 2. Kuna member miaka ileeee aliniPM kuniambia "kumbe wewe ni bigmind " akimaanisha mimi na hiyo ID ni mtu mmoja Huwa wananishangaza kwasababu sio ya kweli lakini sikerekwi Uzi tayari...
  13. JamiiForums Tanzania Harakati za Daudi kuwania Ufalme zinatupa Somo gani katika Siasa na namna ya kuepa Kuuawa?

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Ni kweli kabisa Hakuna ufalme au utawala usiotoka kwa Mungu. Huo utawala haupo. Hata watawala wenyewe wanajua Jambo Hilo kutokana na maisha Yao walikotoka na walipo hivi Leo. Niliwahi msikiliza Magufuli na pia Rais Samia mwenyewe alishawahi kukiri kuwa hakuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, tutegemee kuona tukio gani kwenye mchezo wa JKT Tanzania vs Simba SC?

    Karibu Wadau Wa Soka uweke utabiri wako Wa tukio la kustaajabisha litakalokuacha mdogo wazi (kupigwa bumbuwazi) kwenye Mchezo Wa JKT Tanzania vs Simba SC kati ya haya yafuatayo. (1) Penati ya mchongo Baada ya mchezaji kujiangusha kwenye Penati box (2) Kadi nyekundu yenye utata na...
  15. JamiiForums Tanzania Huu ni ugonjwa gani unaompata ndugu yangu huyu kila akisaini mkataba mpya?

    Ndugu zangu hili jambo linanitatiza sijui niseme ni ugonjwa au ni nini. Iko hivi, nina kaka yangu anaendesha bodaboda hizi za mikataba, sasa mara ya kwanza mwaka jana alikabidhiwa pikipiki mpya na boss wake akafanya kazi kama wiki hivi mara ghafla akaanza kuwehuka, yaani ni kama ukichaa hivi...
  16. JamiiForums Tanzania Gari gani Dogo (SUV) inayofaa kwa biashara?

    Wakuu poleni kwa majukumu ya ujenzi wa taifa! Naomba kujuzwa brand ipi ya gari dogo lenye muundo wa SUV ambalo linaweza kutumia kuingiza Mia mbili Mia tatu angalau maisha yaendelee? ( Maana ni aina ya biashara nayotamani kuifanya ) Pia naomba kujuzwa na kushauriwa juu ya business idea...
  17. JamiiForums Tanzania Kwenye haya mashirika ya umma huwa inachukua muda gani kuitwa kazini baada ya kufanya oral interview?

    Mko poa wajumbe wa jukwaa hili? Nipo hapa kuwauliza wanaofahamu utaratibu wa mashirika ya umma huwa wanachukua muda gani kuita watu kazini baada ya kufanya oral interview? Interview husika ilisimamiwa na taasisi husika na sio psrs. Nb:ni mashirika ya umma sio psrs,so mtu asichanganye
  18. JamiiForums Tanzania Dawa gani sahihi ya kutokomeza majani shambani?

    Asalaam wadau wa kilimo! Naomba kujua ni dawa Gani ya kupuliza shambani ambayo inaweza kuwa mbadala wa kupalilia shamba ili kupunguza gharama za kusafisha shamba? Nimepanda miti msim huu wa kilimo, nimepanda miti ya Michenza Sasa majani yamefumuka hasa baada ya mvua kunyesha, Naomba wajuzi...
  19. JamiiForums Tanzania 1 Timotheo 2:12 una maana gani? Je kwa leo hii bado mstari huu una mashiko?

    Mnaoijua biblia tuwekeeni hapa maana au tafsiri ya huu mstari wa biblia. 1 Timotheo 2:12 - "I permit no woman to teach or to have authority over a man; she is to keep silent." Je huu mstari bado una mashiko kwa dunia ya leo?
  20. JamiiForums Tanzania Hivi CCM mna matatizo gani kwa nini mnalazimisha watu wawe wanachama wenu kwa kisingizio cha daftari la wapiga kura

    Tunapoelekea sio pazuri kwa mwenendo wenu sasa. Sasa mnaingia mitaani kufatilia watu kama wewe sio mwana ccm kukuwekea hatari. Wameanza kulazimisha watu kuwa wanachama kwa kuwadanganya watu wasipokuwa na kadi ya ccm hawata kuwa kwenye daftari la uchaguzi.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…