gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtu kanitumia huu ujumbe; Unadhani mtu huyu kanywa pombe gani?

    Alichoandika ni mish mash. Lakini I have tried to sort it out. Hii ndiyo msg yake. Nitaongea mengi ya kusikitisha. Lakini kabla sijaongea mtafute yule mtu aliepanda gari na Mr. Magufuli kutoka Mbezi. Kwa sababu walipopanda Ile gari ulikuwepo ugomvi kati yao. Ugomvi wao ulikuwa yule...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Madaraka haya madaraka! Sasa hapa ni imani gani? Uislamu - Ukristo? Kisa Ikulu!

    AMEN, BWANA ASIFIWE
  3. JamiiForums Tanzania Hivi vioo vina matumizi Gani kwenye gari?

    Wasafwa husema kwenye wengi pana mengi, na kujifunza hakuna ukomo na wala hakuna ajuaye yote. Hata Erica Lukomo Kakuyu aliendelea kujifunza hadi dakika yake ya mwisho kabla ya kutwaliwa. Kwenye mabasi ya Toyota Coaster Kuna kioo kinaning'inia juu kwenye kioo kikubwa cha nyuma, je ni nini KAZI...
  4. JamiiForums Tanzania Hivi Samia na Kikwete Wana ajenda gani na hii nchi?

    Sikuona ukaribu Sana wa Mwinyi na Nyerere Sikuona ukaribu Sana wa Mkapa na Mwinyi kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Kikwete na Mkapa kiasi hiki Sikuona ukaribu wa Magufuli na Kikwete kiasi hiki Sasa ni Hawa ni Kama mke na mme wanafuatana tu Kama siafu Nini ajenda nyuma ya pazia ? Sasahivi kila...
  5. JamiiForums Tanzania KItu gani unataka kuwaambia watu lakini unajua hawakuelewi kabisa

    Mimi nina mambo ya kuwaambia watu lakini hawaelewi hawaeleweki yaan hata ukiwaambia dini au misimamo yao ya kisiasa au kwa kuwa wana elimu ndio atakuona poyoyo Nikisema jamaan watu tujiandae kuna janga kubwa sana duniani linakuja nan atakuelewa si atajua watu wapo busy hakuna wa kumlaumu...
  6. JamiiForums Tanzania Dr Dorothy Gwajima kachukua Fomu Jimbo gani?

    Mheshimiwa Dr Dorothy Gwajima amechukua Fomu Jimbo gani? NB: Tunaandika ripoti ya waliochukua Fomu ila hatumuoni Jimbo lolote
  7. JamiiForums Tanzania Nimpe adhabu gani huyu memba aliyeniita mimi kiazi kwenye uzi wangu?

    Kuna mtu namtafuta humu, kwenye uzi wangu ameniita mimi kiazi. Wakuu, nimpe adhabu gani huyu jf memba kwa kuniita mimi kiazi?
  8. JamiiForums Tanzania Katuni hii inakupa picha gani ?

  9. JamiiForums Tanzania Baada ya Jenshalee a.k.a kiungo wa penalty, Debora a.k.a kiungo wa benchi na Mutale a.k.a SGR, Tutarajie usajili gani mpya?

    Tuliambiwa kuna striker moja refu kuliko holi, akigusa tu, imo! Kisha Bilioni 7 zikamwagwa hapo, wakatua Mutale SGR, Debora Fernandes,Jenshalee ahwaa, Kiungo wa airport, Awesu awesu nk. Tukaambiwa sasa ukame wa vikombe baaasi! Mambo yameenda ndivyo sivyo! Je, Tutarajie usajigani msimu huu?
  10. JamiiForums Tanzania CWT kuna uchawi gani mabilioni ya wanachama inaliwa bila maelezo?

    Nini maana ya kuchanga, kutoa michango. Kwa kawaida michango ikitoka kwa wanachama linafwata jambo lingine. Matumizi ya michango kwenye malengo mliojiwekea. Hii cwt nilianza kuisikia miaka nenda rudi. Je haijafikia lengo? Je wanachama wanaendelea kuchanga? Kwa nini hawakomi kuchanga na...
  11. JamiiForums Tanzania Wananchi tupatiwe majibu shule inayoezuliwa Kwa ajili ya mwekezaji mmoja.

    Sasa tupo mahala si salama kama shule inaweza kufutwa kwa ajili ya mwekezaji. Inaanza kuwa new normal . Years back mwekezaji binafsi alijipa jukumu la kufanya tathmini ya nyumba za watu binafsi vingunguti jijini ,Lukuvi akiwa ardhi chini ya magufuli zoezi lilifutwa na baada ya awamu hiyo...
  12. JamiiForums Tanzania Ni upekee gani wa WaIsrael ulifanya washushiwe vitabu vitatu kati vinne vya Mwenyezi Mungu?

    Wakristo wao wanaamini Israel ni taifa teule lilichogaliwa na Mungu ndio maana mambo yote ya dini ya Ukristo na ukombozi yamepitia Israel, hawana kipengele katika hili, mjadala uliopo unaowaganya ni kama Israel ya sasa au ya kale ndio taifa teule. Kwa upande wa Waislamu wao wana story ya...
  13. JamiiForums Tanzania Pombe imewahi kukusababisha kutenda jambo gani ambalo unalijutia?

    Wanywaji wa Pombe wamegawanyika katika makundi mbalimbali, 1. Kuna ambao wanakunywa kwa wingi na bado wanajitambua na huwezi kuona wakigombana au kusumbua wengine, in short wanaweza kuji control, 2.Kuna wengine wakilewa ni vurugu mtaa mzima, ugomvi, matusi, kelele nk 3.Wengine wanaweza hata...
  14. JamiiForums Tanzania Ni adhaabu gani unaweza kupata ukibainika unatembelea gari ya commercial likiwa na plate number ya private (njano)?

    Habari naombeni kujua adhabu ya kutembelea gari ya commercial(gari la biashara, plate number nyeupe) likiwa na plate number ya private (plate number ya njano)?
  15. JamiiForums Tanzania Jerry Muro kapigwa ganzi haelewi achukue Fomu Jimbo gani?

    DC Mstaafu kapigwa ganzi kelele anapigia KAWE Fomu anachukulia Hai Maombi ya Jasusi Mkuu wa KAWE hayatamuacha salama
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu hili taarifa ya ajali iliyotokea mpakani mwa wilaya ya kiteto na kongwa ina ukweli gani?

    Good morning! Jana usiki nilipewa taarifa ya ajali iliyotokea kwenye maeneo ya mpakani mwa wilaya ya kiteto (manyara na )na wilaya ya Kongwa. Inasemekana gari lile lilikuwa linaelekea mkoani Dar es salaam ambapo lilipinduka na kuwaua watu watano palepale na baadhi yao kujeruhiwa. Sasa kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Wajumbe ni watu gani

    Katika watia nia wote haswa wa ubunge wote wanategemea mchujo kutoka Kwa wajumbe. Sasa naomba kuuliza hao wajumbe ni watu gani ni mabaloziywa nyumba Kumi au ?
  18. JamiiForums Tanzania Nimechoka kuigiza, mara kadhaa nimekua nikiona matumizi ya neno "KOBAZI" kwenye nyuzi mbalimbali humu jamvini. Naomba anaejua anisaidie maana yake

    Wanajamvi kama nilivyotangiliza heading, mara kadhaa nimekua nikikutana na neno KOBAZI kwenye comment mbalimbali humu jamvini, nimejaribu kufuatilia bila mafanikio. Juzi nimeuliza nikaambiwa ni viatu lakini kila nikiangalia uhusiano kati ya viatu na comment za watu jamvini nakua sielewi kabisa...
  19. JamiiForums Tanzania Watu wanaiongelea ndege ya B-2 “Spirit” ya US inavyofanya mashambulizi huko Iran, unajua ina balaa gani?

    Sio mara ya kwanza hivi karibuni umeona sehemu mbalimbali kwamba Marekani kutumia B-2 Spirit Stealth Bomber kufanya mashambulizi ya “precision” dhidi ya Iran. Lakini je, tunafahamu B-2 ni nini? Inaweza kufanya nini? Ina gharama kiasi gani? Na je, kama taifa kama Tanzania, tunaweza hata...
  20. JamiiForums Tanzania Hiki ni kiwango gani cha mshahara

    Ni bei gani hii
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…