gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. U

    Je Unampa ushauri gani Mzee Joseph Sinde Warioba Waziri Mkuu na Makamu wa Rais Mstaafu

    Uzi Maalumu kumshauri Mzee Warioba. Karibuni wadau
  2. Hela Yako kubwa kuwahi kuokota ilikuwa kiasi gani?

    Mimi nimewahi kuokota laki tatu,..300,000 kwenye ukoka.Lengo langu halikuwa ovu kabisa nilitaka kuirudisha kwa muhusika. Ilikuwa ni ofisini hotelini,,mimi nilikuwa mtu wa garden ila cha kushangaza kikao kilivyoitishwa kwa wafanyakazi wote,,,muhusika ilionekana ni kama ameibiwa pesa na sio tena...
  3. Millard Ayo kutopost habari za press ya Polepole ina maana gani?

    salamu wakuu, mbona jamaa yetu wa mawinguni hajagusa chochote kuhusu habari inayoshika nafasi kubwa hivi sasa ya bwana Polepole, nini shida? anaogopa? au anaona akippst, hatopiga picha na rais.?
  4. N

    Wahitimu wengi sikuhizi hawauzi vitu baada ya kuhitimu, ni dalili ya maisha yamekuwa magumu sana mtaani

    Hapo kabla ilishazoeleka, wanachuo wakihitimu vyuo wanauza vitu kwa bei za kutupa mfano pasi, laptop, kitanda, godoro, mitungi ya gesi, n.k. Leo hii nikiwa naongea na moja ya rafiki yangu ambae ni dalali, yeye huwa anaanda hata milioni 3 kununua vitu aje kuwauzia wanachuo wapya, kalalamika...
  5. Ghafla kila mtu arudi mkoa aliozaliwa wewe utarudi mkoa gani ?

    Ghafla kila mtu arudi mkoa aliozaliwa wewe utarudi mkoa gani ?? Kwangu mimi nitarudi kigoma ndio nilipo zaliwa Sijui wewe ?.....
  6. Ni tabia gani huipendi kutoka kwa mpenzi wako lakini huwezi kumwambia?

    Wakuu! Nimetulia zangu hapa ufukweni nikakumbuka tukio moja la ajabu, lakini la kweli kabisa. 🌊😌 Mara nyingi kuna mambo madogo ambayo yanatuudhi kimya kimya… lakini hatuwezi kusema. Labda kwa sababu tunaogopa kumuumiza au tunajua "hawezi kubadilika". Rafiki yangu mmoja aliwahi kumuacha...
  7. Hivi kuna madhara gani kwa Mtu pale anapojizuia kutoa/kuachia gesi kwa muda mrefu?

    Iwe kwa makusudi tu au kwa sababu ya mazingira magumu yanayomzunguka Mtu. Wapo wale ambao shughuli zao za kila siku hujumuisha kuzungukwa na Mtu au watu wengine,na isivyo bahati kitendo hiki cha kuruhusu gesi kutoka ni tendo linalosababisha fadhaa kubwa kwa Muhusika pale anaposikika na Mtu au...
  8. Ushiriki wa Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo: Je, Inatoa Picha Gani ya Kisiasa?

    Ushiriki wa Freeman Mbowe katika Mkutano wa Dira ya Maendeleo ya Kisiasa unaashiria juhudi za kimkakati za kujihusisha na wadau wa kitaifa, lakini kutokuwepo kwake kwenye kesi za Tundu Lissu, Mwenyekiti wa Chadema tangu Januari 2025, kunazua maswali kuhusu umoja wa chama. Tangu kushindwa...
  9. M

    Private schools zinadai pesa ya remedial class kwa watoto wa darasa la pili , school fees inafanya kazi gani ?

  10. D

    Hivi kuna haja gani kuwepo kikundi kinachoitwa kikundi cha hamasa kwenye matukio ya Kitaifa kama uzinduzi wa Dira ya Taifa ya Maendeleo?

    Hii mada nimeamua kuileta kwenye jukwaa hili baada ya tafakuri ya muda mrefu.Baada ya tafakuri nimeitimisha kama ifauatavyo. 1.Kuruhusu kelele mahali panapohitaji utulivu ni ukusefu wa userious kwenye mambo yenye umuhimu mkubwa sana kwa taifa letu. 2.Kupiga kelele kipindi viongozi wanautubia...
  11. Godoro gani ni zuri na linadumu kati ya haya? Nashindwa kuchagua

    Bomba-8inch-250k Super bango-8inch-220k Arusha delux-8inch-230k Arusha delux-8inch-180k Hizi brand ni mpya inaniwea ngumu kuzijua vizuri
  12. Mke wa Mrisho Mpoto alikua na cheo gani mpaka mwili wake ubebwe na bus la jeshi?

    Nimeona mitandaoni huko,mwili wa mke wa mrisho mpoto umebebwa kwenye bus la jwtz. Je huyo marehemu alikua ni Askari wa jwtz?
  13. Ni wimbo gani kwa sasa unaweza kuusikiliza kwa masaa hata 7 non-stop

    Kuna pindi Tu inatokea wimbo Fulani ukaupenda Sana yaani unaweza Ku repeat hata mara 100 na usione shida hasa kwenye safari mfano kwenye bus umevaa zako earphones Mimi kwa sasa.. nitaamini -israel Mbonyi toka mchana mpaka alfajiri nitausikiliza.
  14. Tambua Biashara Yako Inahitaji Leseni Gani

    Leseni Kundi A ni Kwa Biashara Kubwa Hili ni kundi la biashara zenye mtaji mkubwa na athari pana kwa uchumi. Zinafanyiwa tathmini na taasisi ya kitaifa (BRELA) na huhitaji maandalizi ya kina. Mifano ya biashara katika kundi hili ni: Biashara za kuuza bidhaa nje ya nchi (exporters) 2. Huduma...
  15. W

    Ni vitu gani vitatu 3 unavijali zaidi ya pesa?

    Ukiachana na pesa na mishe za kutafuta pesa mimi huwa na priotize sana Amani (Peace of mind), marafiki wafaida pamoja na Heshima. We vitu gani vina umuhimu kwako?
  16. S

    Gwajima akisema CHADEMA wapewe 'minimum reforms' anatuambia CCM ni wenye hati milki ya Katiba na kuwaamulia vyama vingine wapewe nini, kwa kiasi gani?

    Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima. Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima...
  17. Polepole yupo nchi gani?

    Ajitambulishe ili tujue alipo(exact location).
  18. E

    Tofauti gani kati bachelor of computer science na bachelor of science in computer science in software softwere engineering?

    Mimi nimwajiriwa Nina stashahada ya Ualimu (physics & mathematics) nataka kwenda kusoma mwaka huu course ya TEHAMA, Wakuu naomba kujua utofauti wa course ya bachelor in computer science Na Bachelor of science in computer science in software engineering
  19. Tunawezaje kumsaidia huyu, atumie dawa gani na hili ni tatizo gani?

    Anaomba ushauri huwa amepata tatizo la kuwashwa mwili sasa akawa anajikuna sana mpaka akatoka vidonda kwenye uume pia makalioni, na kila akijikuna sehemu zingine za mwili anatoka vidonda na hatimaye hufanya vijipu.
  20. Ili kuku wa mayai watage vizuri wanatakiwa wapewe dawa gani na dawa zipi haziwafai nipo najifunza wakuu

    Wakuu nipo hapa kupokea nondo zenu sijawahi fuga kuku wa mayai. Najua kuna dawa wakipewa huwa zinawazuia kuku kutaga sio dawa tu hata booster pia nyingi huwafanya wanenepeane na kuwa na mafuta na mwisho kuwafanya kuku wasitage Nakaribisha Elimu zenu tujifunze
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…