gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  2. Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa?

    Salaam, Kuna watu wenyewe bila kulazimishwa wanaenda Hospitali kutoa kizazi au kukifunga wasizae tena. Mnaofanya hivyo, Mnaambiwa Maneno gani hadi mnakubali kufunga kizazi hata kukitoa? Ni akili ya kawaida au changamoto ya akili? Wanalishwa sumu gani ya maneno hadi wanakubali? Halafu unakuta...
  3. Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?.

    Je kuna utofauti gani kati ya adui na mpinzani ?. Adui- huyu yeye hawezi Ku-expose mipango yake katika kadamnasi Mpinzani - huyu anakupinga waziwazi kwa kukuonesha kuwa hiki sio au Ana-ku outshine . Kosa alilofanya JPM naona limejirudia tena . Jpm ali offend the wrong enemy , Alimshambulia...
  4. Online skills gani iko sokoni sahivi, ambayo mtu akisomea hata juta maishani mwake?

    Habari wanajf Kuna rafiki yangu ni mwajiliwa mahari flani , anamuda mwingi wa ziada baada ya kazi, anataka huo mda wa ziada ajifunze kozi nzuri online ambayo ipo sokoni Ili imsaidie kupata pesa ya ziada baada ya kumaliza masaa ya kazi. Vifaa vya kujifunzia vipo Pc, smartphone, bando 24/7 hours...
  5. K

    Anayeweza kutueleza Gwajima kafanya kosa gani atueleweshe

    Anayeweza kutueleza Gwajima kafanya kosa gani atueleweshe. Kwasababu naona maandiko mengi sana lakin hakuna mtu ametuelezea kosa lake hasa ni nini??
  6. N

    Dawa gani nzuri ya kusafisha viti ndani ya gari

    ni dawa ipi nzuri naweza kuipata madukani ya kusafishia viti ndani ya gari
  7. Watumishi wa umma leo naona ni vicheko tu huku mtaani, kuna siri gani?

    Naombeni mnijuze, mimi ni bodaboda hapa kazuramimba. Mji leo umechangamka, NMB pamefurika, baa zimechangamka. Leo ukipaki kijiweni dakika mbili tu mteja huyu hapa!! Leo kuna siri gani huko?
  8. M

    Hivi kuna haja gani ya Kupost mambo yako, watoto, nguo mpya, Ujinga huo na ushamba

    Mimi Huwa sielewi hasa huu ugonjwa wa kutafuta social validation, hasa wadada na wakaka wasiojielewa ndo Huwa Wana tabia hizi. Unakuta kidada kimepewa trip ya kuenjoy nje ya nchi, Sasa buana akienda Kule Kila kitu anapost status ya wasap au insta, akiwa swimming pool, kwenye ndege, akiwa...
  9. Siku ya mazishi yako unapenda nyimbo gani uipendayo ipigwe?

    Kuna nukuu isemayo "An empty mind is a devil workshop" . Sasa hapa katika kuwaza nimejikuta nafikiria itokee labda chance ya ku select nyimbo niipendayo ichezwe katika siku ya mazishi yangu ningetamani nichezewe hii. Ili inisindikize huko kunaposemekana kuna Afterlife...
  10. Utumie mbinu gani kulielewa somo la calculus

    Wakuu hili somo la calculus kwangu NI gumu Tu level zangu za elimu sijawahi kulipenda ingawaje najua ni fundamental kwenye ulimwengu wa engineering..kwa wale wanaoweza kulipasua mnawezaje?
  11. Kitu gani kilikufanye utafte pesa kwa bidii??

    Kuna mda dharau, masimango na umaskini hua vinafanya watu kupata moyo wa kupambana ili kujitoa kwenye chanzo kilicho fanya wadharaulike je wew umewahi pitia hali gani ikakufanya utafte sana pesa kwa moyo wote?
  12. S

    Stori gani ya wizi au wezi uliwahi isikia au kuhishuhudia ukacheka sana

    Naam habari za muda huu ndugu zangu. Msinichoshe nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kisa changu. Mwaka 2018 mtaani kwetu kuna mtu alikua na duka anauza vitu vingi sana na alikua kalikata mara mbili, Upande mmoja alikua anauza vitu vya electronic pale kulikua na mafridge, TV nk, na upande...
  13. N

    Ikiwa CCM ilikiuka katiba yake, Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa imechukua hatua gani?

    Kwa yanayotokea kuna ushahidi kwamba ccm ilikiuka au haikufuata taratibu kumpata mgombea wao wa nafasi ya urais. Ofisi ya msajiri wa vya siasa imewachukulia hatua gani? Au nayo iko sehemu ya ccm hivyo ina enda na mtiririko wa kujirekebisha yenyewe? Wanaionea chadema hata inapokuwa haina...
  14. Ni wanawake au wanaume wa kabila gani ambao umewahi kukutana nao kimwili kwa wingi?

    Bila kuwapotezea muda na mambo ya salamu. Nitaanza mimi. Wanawake na makabila yao niliyowahi kuwala ni kama ifuatavyo Wakinga 15 Wapare 12 Wanyakyusa 10 Wachaga 09 Wahaya 06 Wasukuma 05 Wahehe 04 Wabena 04 Wanyamwezi 02 Wameru 01 Wagogo 01 Wangoni 01 Mkenya 01 Mzungu 01 Mwarabu 01 Mzambia 01
  15. Ni Utapeli gani Mkubwa umewahi Kufanya/Kufanyiwa?

    Nazungumzia utapeli mkubwa kama vile kutapeli bandari au rasilimali kubwakubwa, either umefanya au umefanyiwa na je reaction ya wananchi ilikuwaje?
  16. V

    Mnaojua maisha na codes za maisha ya Uswahili eti hii ina maana gani?

    Shikamooni wote. Jamani uswahilini mbona kuna mambo ya ajabu hivi?!! Jana nilikua kwa Muha wangu na mojawapo ya vitu nilifanya pale kwake ni kufua wakati yeye yuko kazini. Kwa vile nyumba ina watu wengi nilipoanika pichu zangu na boxer za Muha wangu nilizifunika kwa kanga mana kwangu ni aibu...
  17. Serikali na TCRA Kuna shida gani Kutumia neno NIDA,Sms ukiituma ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa,tatizo ni nini!?

    Wasalaamu Wapendwa. Kuna changamoto nimeanza kuiona toka Jana,nilikuwa natuma sms kwa wateja wangu ambao nawaombea mikopo kwenye bodi ya mikopo na elimu ya juu(Heslb). Wakati nawasiliana nao na kuwaambia nitumie namba ya NIDA,sms ikiwa na neno NIDA haiendi kabisa, naomba watu wa TCRA...
  18. M

    Hivi kuoa Kuna faida Gani?

    Mlioko kwenye ndoa mtuambie faida ya kuoa na wanawake kwanini mnapenda sana muolewe au ndo huwa mnatafuta pa kuponea?????
  19. Kama watia Nia UDIWANI na UBUNGE wanajadiliwa na KAMATI KUU TAIFA, Je watia Nia URAISI watajadiliwa na kamati gani?

    Nini kazi ya kamati za SIASA mkoa na wilaya kazi zao zitakuwa ni kufanya Nini? Diwani kamati ya wilaya ndio inamfamu vizuri kuliko taifa kulingana na mazingira ambapo anatokea. Mbunge kamati ya mkoa ndio inamjua vizuri ikisaidia na wilaya Rais huyu anatambulika na wajumbe wa mkutano mkuu...
  20. Ni tabia gani unafahamu madhara yake lakini unakuta umeshaifanya tena?

    Binadamu tupo kundi la wanyama ambapo upeo wetu wa kufikiri ni mkubwa kuliko wanyama wengine wote. Kila mnyama anatabia fulani nzuri na mbaya yenye madhara na isiyokuwa na madhara. Binadamu tumepewa uwezo kutambua tabia yenye madhara na isiyokuwa na madhara. Zipo baadhi ya tabia ni nzuri lakini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…