gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Niandae bajeti ya mafuta kiasi gani kwenda Singida?

    Wakuu mambo vipi? Mapema mwezi October nina ndugu yangu wa karibu anaoa huko Singida maeneo ya Itigi. Ninapaswa kuhudhuria hiyo harusi sasa nauliza kwa wazoefu kutoka Dar mpaka Singida hapo Itigi niandae bajeti ya mafuta kiasi gani? Gari ni Toyota Mark II grande engine beams 2000, cc 1990 au...
  2. JamiiForums Tanzania Mtandao gani wenye kifurushi cha usiku?

    kuna wakati nilikuwa nikipata halotel gb 10 kuanzia saa sita hadi saa kumi na mbili, ila naona wanazingua siku hizi, ni mtandao upi wenye huduma kama hii.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Biashara gani inamfaa mwanachuo?

    Habari wakuu Dogo amechaguliwa kujiunga UDSM (Main Campus). Anataka atakapokuwa chuo awe pia anafanya biashara ndogo ndogo ambayo haitampotezea sana muda wa masomo. Ikiwezekana aifanye mwenyewe au ampe mtu katika maeneo ya jirani asimamie. Tayari amejichanga tangu amalize chuo na ana 1.5m na...
  4. JamiiForums Tanzania Nina sebule ina urefu wa 6m na upana wa 4m, je, ninunue TV (screen) ya nchi ngapi na brand gani ni nzuri?

    Habari wakuu? Nimehamia kwenye nyumba ambayo ina sebule yenye vipimo kama nilivyoainisha hapo juu (Ur 6m kwa Up 4m). Naomba ushauri ninunue flat screen ya nchi ngapi na brand gani ina quality nzuri za picha na inadumu kwa muda mrefu bila kuleta matatizo? Natanguliza shukran za dhati wakuu!
  5. N

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mwanamke aliye bora kwa mumewe anatakiwa awe na sifa gani?

    Kwa majina naitwwa Ramadhani Selemani Ramadhani ni kijana wa Kitanzania leo ningependa kuzungumzia sifa za mwanamke alio bora kwa mumewe. Wote tunafahamu kuwa duniani kila kiumbe hai mungu amekiumba katika jinsia mbili ambayo ni jinsia ya kike na jinsia ya kiume. Ninapozungumzia mwanamke bora...
  6. JamiiForums Tanzania SoC02 Makosa gani 5 watu hufanya katika miaka yao ya 20's ambayo yanahakikisha kuwa watakuwa na maisha magumu

    1. Kuingia kwenye uraibu Madawa ya kulevya,ulevi,ngono,bangi na uvutaji wa sigara ni moja ya mashimo hatari yanayonasa vijana.Uraibu ni njia tu ya kufanya maisha kuwa magumu zaidi. Yatachukua muda wako,afya na umakini wako wote kutoka kwa mambo ambayo ni muhimu sana. 2. Kuiga tabia mbaya...
  7. JamiiForums Tanzania Ni mikoa gani pisi kali za kichotara zinapatikana

    Wakuu, wasalaaam, Ni mikoa gani pisi kali haswa za kichotara chotara ivi zinazojielewa zinapatikana? Naskia Tanga kuna za kiarabu kali kali. Mnaonaje wadau? Hivi ni kweli? Na kama kuna anayejua mikoa mingine, itakuwa poa sana kutiririka humu wakuu. Kwa hayo machache,nawaomba na hili...
  8. JamiiForums Tanzania Huwa unachukua hatua gani kuhusu hili

    ...
  9. JamiiForums Tanzania Hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(mke wa pili)?

    Habarini wana JF. Naomba msaada je, ni hatua gani za kufuata ili kuongeza mke(kuoa mke wa pili)? Hapa nazungumzia wale wasio waislam. Karibuni.
  10. JamiiForums Tanzania Smart kitochi cha kampuni gani ni rahisi kutoa lock na kuweka laini nyingine ya kampuni tofauti?

    Wadau naomba kufahamishwa kuhusu smart kitochi ya kampuni gani ambayo nikiinunua itakuwa rahisi kutoa lock na kuweza kuweka laini ya mtandao mwingine wowote tofauti.
  11. JamiiForums Tanzania Sensa ilipoanza niliulizwa nyumba ina choo cha kuvuta au cha shimo, leo wamekuja kuona kama nyumba ipo na ni ya aina gani?!

    Sensa ilipoanza nilisema walioandaa sensa hawajawahi kushiriki sensa, hii ilitokana na aina ya maswali yakiwemo ya uchuro, yaani umewahi kufiwa humu ndani. Leo nimeulizwa namba ya mita ya umeme, nategemea watarudi tena kuuliza namba ya mita ya maji. Kingine ni je, unategemea kuifanyia...
  12. I

    JamiiForums Tanzania Ni vitu gani serikali ifanye ili iweze kuboresha sekta ya elimu na ajira?

    1. Kubadilisha mfumo mzima wa elimu, kutoka elimu ya mitihani hadi uelewa? 2. Je, ni kutengeneza sera ambazo zitawalinda na kuwasaidia wafanya biashara wadogo? 3. Au kutoa mafunzo zaidi kuhusu biashara na ujasiriamali?
  13. C

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kunusurika kifo? Nini kilikuwa chanzo na njia gani ulitumia kujinisuru?

    Habari Watanzania! Leo nina stori ya kweli ambayo imetokea katika maisha nikiwa mkubwa hivi. Basi bwaana baada ya kumaliza masomo nilianza vijikazi vya hapa na pale kuendesha maisha yangu. Nilipigana kama miezi 5 bila mafanikio. Niliamua kwenda mwambao wa ziwa Victoria kuangalia fursa zingine...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Unaposikia ama kuona neno TOZO kwa mara ya kwanza akilini mwako anakujia mtu gani?

    Me Binafsi nikisikia ama kuona neno TOZO akilini mwangu mtu wa kwanza anaenijia ni Mwigulu sjui kwako ww mdau
  15. JamiiForums Tanzania Ben Saanane, roho inayoishi ndani ya mioyo yetu. Ni faida gani umepata?

    Sio wote hatujui chochote kumhusu mjenzi huyo wa kizazi kipya cha wanasiasa chipukizi hapa Tanzania. Yupo anaejua alipo. Anayejua alipo yupo miongoni mwetu, na kila tunachozungumza kumhusu mwendazake huyu anakiona, yupo! Yupo anasonya kwa kuwa tu tumenyimwa uwezo wa kumjua ila yupo. Huenda...
  16. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa gharama za kusajili Hiace, Coaster au basi LATRA

    Salamu, Naomba kufahamishwa gharama/ada ya kusajili chombo cha usafiri kwa ajili ya kubeba abiria pale LATRA ni kiasi gani? Natanguliza shukrani.
  17. JamiiForums Tanzania Hivi kuna uhusiano gani kati ya washika dini sana na roho mbaya/ubinafsi? Maana ni kama hivi vitu havitengani!

    Kichwa cha mada kimejitosheleza, yaani kwa utafiti hawa watu machoni petu huonekana wema na wenye msaada mkubwa sana kwetu. Ila ukianza kuwa karibu nae ndio utagundua ni watu hatari sana kwenye maisha. Kwako anaweza onekana mwema sababu kilichowakutanisha ni suala la dini tu. Ila kwa wale...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Afande Sele: Tozo zimekuwa nyingi na hazionekani zinafanya kazi gani

  19. M

    JamiiForums Tanzania SoC02 Ni namna gani tutaipiku Uchina katika Science na teknolojia, na kuwa wawekezaji wakubwa na wauzaji wa teknolojia kote duniani

    UTANGULIZI Ndugu msomaji wa makalia hii, nilicho kiandika hapo juu, kuhusu jinsi nchi yangu pendwa, Tanzania inaweza kuipita Uchina katika technologia Miaka ijayo, kama Tuu tutaamua kuwekeza katika Elimu yetu kwa kiwango cha mapinduzi. Pia hili lilikua ni ndoto kwa Uchina miaka ya 60's kuipiku...
  20. JamiiForums Tanzania Ulipata funzo gani wakati wa COVID-19 Kama mwajiriwa?

    Katika lile tukio lililoshtua ulimwengu, katika tasnia ya ajira tuliona wengi kupunguzwa makazini. Binafsi nilijifunza kuchapa kazi mno Kuna tija mno maana kusimamishwa inamaanisha Kuna watu wanaweza fanya ata wewe usipokuwepo kuhusu saving hapo nilijifunza ni Jambo la msingi mno. Karibu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…