gani

Gani is both a given name and a surname. Notable people with the name include:

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii ina maana gani ni positive au negative?

    nimetoka kumpina girl wangu jana usiku sasa mpaka sasaiv sijaelewa mm sikusoma sayansi ajanipa majibu sahihi kwahiyo waungwana nisaidieni huyu kaungua ua ili nijue niendelee na safari au niishie njiani?
  2. S

    JamiiForums Tanzania Plate number moja kwenye magari huchukua wastani wa muda gani kujaa?

    Naomba kujua huchukua wastani wa muda gani plate number moja mfano kwa magari yaliyooanza na namba "D" kujaa kabla ya kuingia namba "E" iliyoko sasa? Kuna mdau alinunua gari mwaka 2015 (kwa maelezo yake) na gari yake ni namba "D" kitu ambacho kidogo kimenishangaza kuona namba hiyo ipo tangu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Ni zao gani linafaa mwinuko wa m 1200?

    Kama kichwa cha habari kinavyosema. Wataalamu wa kilimo huo mwinuko ni rafiki wa mazao gani? Mwinuko huo mnau weka katika kundi lipi low land au highland. Lengo langu ni mazao yafuatayo 1. Mahindi 2. Viazi aina yote 3. Matunda kama avokado,miembe, furisi, matunda damu, papai, limao chungwa. Tope...
  4. JamiiForums Tanzania Kwani kuna ubaya gani ukimdanganya unataka kumuoa?!

    Anakuzungusha sana, unakomaa wala hajali. Unaamua kupiga gia kubwa zaidi "nataka kukuoa". Si unajua kupata mume smart ni kazi? Mnyama anakuwa ameingiza Chama, Luis na Baleke na Saido kwenye 18-Huponi. Sasa nauliza kuna ubaya gani? Kuna watu humu wanasema usimuonee huruma mwanamke
  5. JamiiForums Tanzania Tukio gani limewahi kukutokea mpaka ukajisemea kweli Mungu yupo?

    Katika dunia tunapitia mambo mengi ya huzuni na furaha, ya amani na magomvi vipi katika maisha yako jambo gani limewahi kutokea na ukajisemea kweli Mungu yupo. Binafsi ni jinsi nilivyo faulu kidato cha sita yaani daah! Nikikumbuka naishia kusema kweli Mungu yupo na anatenda maana nilijua...
  6. JamiiForums Tanzania Njia gani ni bora kwa mtumishi kuhama kutoka halmashauri (local government) kwenda Taasisi zingine?

    Jamiiforums kisima Cha maarifa. Mimi ni mtumishi Mwalimu, Nilisoma PCB advance nikapata division II point 12, nilichaguliwa computer and software engineering Lakini sikwenda, nikazamia Chaka la ualimu wa Physics Nilisoma kwa sababu ya kukosa washauri pamoja na umaskini wa home na nilitaka...
  7. JamiiForums Tanzania Gari gani zuri la kuanzia maisha?

    Gari gani zuri dogo dogo la kufanyia mizunguko hapa mjini Ukinzingaria mambo kama ya ulaji wa mafuta na pia urahisi wa kujipenyeze, vipuli etc
  8. JamiiForums Tanzania Ni wajumbe gani wanaopiga kura kumchaguwa Askofu mkuu wa KKKT Tanzania kwa mujibu wa katiba yao?

    Igweeeeee, Kama heading ya thread inavyojieleza naomba kufahamu kwa anayefahamu katiba ya kanisa la KKKT Tanzania ni kina nani ni wajumbe wa mkutano mkuu wa kumchaguwa Askofu mkuu? Kwa upande wa Kanisa Katoliki nadhani iko wazi hakuna Askofu mkuu wa kanisa katoliki Tanzania, maaskofu wote ni...
  9. JamiiForums Tanzania Wazee wa kazi na dawa, chimbo gani zuri kwa hii wkend?

    Ijumaa ndio hii, inakaribia kuishia. Maisha ni kufurahi na marafiki, sio kila siku kuwaza kununua matofari tu; kuwekeza mwilini kwa kuupa furaha ni muhimu zaidi. Wako wapi wazee wa kale, waliishi miaka mia mbili, wengine miaka mia tisa, sasa wako wapi? Kwa sababu tunaishi mara moja, muhimu...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Nichague kozi gani na chuo gani kati ya hizi?

    Heshima mbele wadau, Kuna mtoto wa sister namsapoti kachaguliwa masomo ngazi ya cheti (certificate) kozi hizi; 1. IFM (Dar) - Certificate in Taxation 2. Mzumbe University (Moro) - Certificate in Law 3. Chuo cha Utumishi wa Umma Dar (TPSC) - Certificate in Records and Archive Management 4. Chuo...
  11. JamiiForums Tanzania Una mipango gani kwa miaka 10-20 ijayo?

    Habari wana-JF. Kama tunavyojua mpango kazi kwenye maisha ndiyo dira itakayokuongoza katika maisha yako na kufikia malengo yako. Kwangu nahisi safari ndiyo kwanza inaanza na maamuzi yangu ya leo yatakuwa na mchango mkubwa kwa maisha ya baadaye. Nikiwa kwenye early 20s (23) tayari nipo kwenye...
  12. JamiiForums Tanzania Ticha wako alikuwa anasumbuka kutamka maneno gani?

    https://youtube.com/shorts/m3V0DrNdKns?si=zE3dCx52pGD7Dx3A
  13. JamiiForums Tanzania SimBank ina shida gani leo?

    Wakuu, Leo mbona simBank inasumbua hivi.. shida ni nini au ni kwangu tu. Hautaki kutuma pesa kabisa dadeq halafu wanakata tu pesa za Salio🤔🤔 NMB
  14. JamiiForums Tanzania Kuna wanawake wazuri ila wana akili finyu hawajui style gani ya nywele au nguo zenye vybes nzuri kwao

    Wasalaam JF, Kumekuwa na kautamaduni ka wanawake kuiga Kila kitu bila kufanya tathmini oanifu ya mfano msuko wa nywele na bichwa au uso wa mhusika, mavazi pia, makeups pia, miwani, miguu na etc. Wengine hugeuka vituko Kisha wanategemea tuwasifie kinafiki Mimi huo upuuzi wa unafiki siuwezi...
  15. JamiiForums Tanzania Wanaume tuelimishane ulinzi, ni silaha gani nje ya bunduki ni nzuri kuimiliki sehemu unayoishi?

    Hasa kwa wale wanaoishi na mke ama / na watoto wadogo. SILAHA ZANGU 1. FIRIMBI firimbi zile za walinzi na sungusungu, zinasaidia kumpa wenge mvamiaji kudhani kwamba pana ulinzi shirikishi, filimbi hizi hazizidi elf 2 kwa machinga. 2. MANATI Kwa mashambulizi ya mbali nina manati na golori za...
  16. JamiiForums Tanzania Ni wakati gani unaweza au kutoweza kuchanganya dini na siasa?

    Nimekuwa nikiwaza, kimyakimya.... Hivi siasa ni nini na dini ni nini? Hivi ni wapi dini inachanganywa na siasa na ni wapi siasa inachanganywa na dini? Hivi majukumu ya dini ni yapi na majukumu ya siasa ni yapi? Hivi dini inafanyikia wapi na mipaka yake ni gani? Na siasa je, inafanyikia wapi...
  17. JamiiForums Tanzania Ungepata nafasi ya kuoa/kuolewa na mtu wa nchi nyingine ungachagua raia wa nchi gani?

    Mimi ningachagua kuoa Rwanda. Kila mtu anajua maua yaliyopo kule. Wewe ungechagua wapi?
  18. R

    JamiiForums Tanzania TPA inapewa tuzo ya utendaji bora Duniani then tunakodisha kwa ajili gani?

    Kama ufanisi wa bandari umepelekea wapewe tuzo kwanini tunalazimisha kukodisha? Mbona hatukodishi mashirika ambayo hayafanyi vizuri? Tunasema bandarini kuna rushwa; DP World ni TAKUKURU yakiwekezaji? Wanatumia uchawi gani kupambana na rushwa?
  19. JamiiForums Tanzania Nchi gani ya SADC naweza kwenda kutafuta maisha na nikatoka kwa mtaji huu?

    Husika na kichwa cha habari hapo juu, Wakuu siko vizuri kupangilia maandishi naomba mnisamehe kwa hilo. Mimi ni kijana mwenye miaka 30 nimefanya biashara kama tatu hapa bongo sioni mafanikio biashara ya mwisho nimeachana nayo last month nimeuza vitu kwa hasara nimepata 2M. Nimeamua kwenda...
  20. JamiiForums Tanzania Gazeti gani hata upewe bure huwezi kulisoma?

    Mimi gazeti la wamachinga yaani siliewi kabisa yani naonaga tu mapicha picha siwaelewi angalia hili toleo la jana 19/8/2023 walivyolipoti msimamo wa TEC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…