fuso

The Mitsubishi Fuso Truck and Bus Corporation (Japanese: 三菱ふそうトラック・バス株式会社, Hepburn: Mitsubishi Fusō Torakku・Basu Kabushiki gaisha) is a manufacturer of trucks and buses. It is headquartered in Kawasaki, Kanagawa, Japan. Currently, it is 89.29 %-owned by Germany-based Daimler AG, under the Daimler Trucks division.Fuso derives from the ancient Chinese term Fusang (扶桑), for a sacred tree said to grow at the spot in the East where the sun rises, and has been used to refer to Japan itself. The actual Fuso tree is a hibiscus.

View More On Wikipedia.org
  1. Fuso Tipper engine 17

    Fuso Tipper Engine 17 Milion 65 Dar Es Salaam Nipigie Kwa ukaguzi 📱0754693556
  2. Car4Sale Fuso Super Great available for sale

    Bei/Price TSH 95M Call +255 747 999 927 MITSUBISHI FUSO SUPER GREAT Year: 2001 Engine: 6D11 Mileage: 100,000+ Fuel Used: DIESEL Transmission: MANUAL 100% Duty Paid Free Registration Swap Deals Allowed ABS Braking System Heavy Duty Steel Bumper Standard Halogen Headlights
  3. I

    msaada nahitaji excel ya fuso

    msaada nahitaji hii axle shaft ya hii fuso. kama unayo tuwasiliane kupitia 0623593536
  4. Hivi crane fuso inaweza jibeba kule nyuma yenyewe

    Kwanza poleni na kinachoendelea,ni mda kidogo sikuwepo ndo nimerejea rasmi sasa kwa mapambano. Wakati nimekaa natafakari nchi yangu tunakoelekea nikawaza kitu nimeshindwa kupata jibu mwenyewe mwenyewe.hivi crane (hizi xinazobeba mizigo kujipakia n kushusha zenyewe mfano wa fuso au magari ya...
  5. Habari mimi nina leseni ndogo class D je ninao uwezo wa kuendesha gari ndogo fuso au tata (Single)

    Naombeni mchangie tafadhari
  6. Fuso 6D17 inauzwa Location Dar Es Salaam

    Fuso ya body 6D 17 Milion 45 Engine & Gearbox ni Safi kabisa. Location Dar Es Salaam (Kinondoni) 📞0754693556
  7. Uache Kumsikiliza Mamaako kisa mpenzi? Kuwa Serious kijana

    Sabato Njema! Hivi kweli uache kumsikiliza Mama aliyekuzaa kwa sababu ya mwanamke mwingine ambaye analundo la maex ambao ililetwa hitcher la Gongo la Mboto anaweza kuwajaza wake wote humo. Kweli? Uache Kumsikiliza Mamaako kisa mwanamke mwingine ambaye anapigia hesabu Mali mlizochuma mpeana...
  8. Magari ya milioni Tano (5M) kushuka chini

    Ndugu msomaji, namba yangu ni 0712 148001. Magari nitakayopost kwenye uzi huu, bei yake ni milioni tano kushuka chini, usije kukubali kupigwa. Nunua gari kuendana na uchumi wetu wa mitano tena. WhatsApp 0712 148001.
  9. D

    Fuso tandam za kukodisha

    Hello Wanajukwaa la Biashara na Uchumi. Kampuni yetu inatoa huduma mbalimbali za usafirishaji wa mizigo, vifurushi, barua ndani na nje ya Tanzania. pia tuna magari aina ya fuso tandam yenye uwezo wa kubeba hadi tani 17 na kusafirisha ndani ya Tanzania. Pia tunaruhusu wale wa trip town, kwa...
  10. Ajali ya coaster na Fuso maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida

    Hii ajali imetokea asubuhi ya Leo maeneo ya Kintinku wilaya ya Manyoni Mkoa wa Singida, Hilo Lori lilisimamishwa kwa ajili ya ukaguzi hiyo coaster ikaja kuvaa Lori kwa nyuma na kuna taarifa za kifo, Poleni sana aisee na Mungu awatie nguvu wote waliofikwa na majanga haya. Credit - Adventure_36
  11. Wachambuzi wetu wanachumbua dereva wa bodaboda apigwe na dereva wa fuso

    Nimeshuhudia dereva wa lori akichomolewa na kupigwa na dereva wa bodaboda baada ya dereva wa lori kumsukumia mtaroni dereva wa bodaboda. Sio kwamba timu ikiwekeza sana lazima mara zote iifunge timu yenye uwekezaji mdogo. Wachambuzi wetu wanazilazimisha Al-Ahly na Mamelodi izifunge Simba na...
  12. J

    Tipper moja fuso, linajaa ndoo ngap ndoo ngap za mchanga

    Wandugu kuna jamaa wananikusanyia Mchanga , Sasa kwa wajuzi naomba msaada, fuso moja linajaa ndoo ngp za mchanga? Ili nipate hesabu sahihi. Asante kwa anayejua..!
  13. Car4Sale Magari Makali Haya Hapa yanapatikana SHOWROOM kweetu. Ukiwa na pesa pungufu usijali gari utapewa tu

    TUNAPATIKANA UBUNGO STENDI YA ZAMANI YA MKOS MKABALA NA MIC HOTEL NJIA YA KUINGILIA NBC BANK MOROGORO ROAD MAWASILIANO 0711707070 AUDI A4 YEAR : 2013 Stock No: 23/000536 Engine Capacity: 1800CC Mileage:49,524KM TRANSMISSION: AT LEATHER SEAT PRICE:35,000,000/= (With Full Registration) TOYOTA...
  14. O

    Ajali ya Harrier na Fuso yadaiwa kuua wawili Morogoro

    Watu wawili wanadhaniwa kufariki na mmoja kujeruhiwa kufuatia ajali iliyohusisha gari dogo aina ya Toyota Harrier lililogongana na lori aina ya Fuso eneo la Melela Mangae wilayani Mvomero mkoani Morogoro. Ajali hiyo ni ya tatu ndani ya siku tatu mkoani hapo, ambapo juzi basi dogo aina ya...
  15. Ajali Mbaya ya Lori la Taka na Fuso Bagamoyo Rd Eneo la Bunju B

    Wanabodi Nimepokea taarifa hii as breaking news: Ajali mbaya Bagamoyo Rd eneo la Bunju kati ya Fuso na lori la taka!. Kuna taarifa ya Maafa ambayo bado haijathibitishwa!. Wana JF wa karibu mlio kwenye maeneo hayo ya tunaomba update. Paskali Update Kwa mujibu wa hizo picha nilizo tumiwa kwa...
  16. Car4Sale Tunatoa huduma ya kuagiza magari ya aina mbalimbali

    PDF pichani inaeleza kwa ufupi uzuri na ubaya wa aina za mifumo tajwa ya uendeshaji lengo likiwa kukuongoza kufanya uchaguzi sahihi wa aina ya gari unayofikiria kuagiza kulingana na matumizi yako. Pitia ujifunze zaidi
  17. D

    Nahitaji Trucks (Canter na Fuso kwa mkataba)

    Hello. Nahitaji magari yafuatayo kwa mkataba. Kama ambavyo watu hutoa mkataba wa pikipiki na gari za Uber. Nahitaji; 1. Fuso 10 Tone. 2. Canter 3.5 Tones. Au Eicher au Tata.
  18. Ushauri Kutumia FUSO kubeba mizigo ya semi trailer

    Habari wana jf, Nlikuwa nafuatilia juu ya Mitsubishi Fuso Fighter horse ambayo ina 11700 cc ukubwa wa engine yenye uzito kwa horse pekee 6300kg nikaona inafanana cc na scania 124 . Je, naweza kutumia hiii gari kubeba mizigo tani kama za scania ? Ni zipi changamoto za hizi gari kwa hizi kazi...
  19. Car4Sale Nauza Fuso

    FUSO INAUZWA✅ JIPATIE KWA BEI NDOGO OFFER YA SIKUKUU Mil. 19 Ukilipia Njoo na Dereva wako Gari ni nzima 100% Vehicle details Gari haina Deni lolote ndani ya Mwaka Mzima. ➡️TRA ✅ ➡️SUMATRA ✅ ➡️BIMA ✅ ➡️NO TMS DEPT ❎ Location; Sumbawanga
  20. G

    Car4Sale Fuso inauzwa Dar, Shekilango

    Engine na kila kitu viko safi sana. Napatikana kupitia hii # 0752725614
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…