fursa

  1. Diaspora waahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana Nchini Czech

    Watanzania wanaoishi Jamhuri ya Czech wameahidi kushirikiana na Serikali kuchangamkia fursa zinazopatikana katika nchi hiyo kwa manufaa ya nchi na wananchi. Ahadi hiyo wameitoa Januari 18, 2025 walipofanya kikao na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit...
  2. Wana CCM wapewe nafasi ya kuwania kiti cha Urais kisha Kura zipigwe. Kile kilichofanyika ni dhulma

    Mpo Salama! Wapo watu walitaka na wanatamani kuwa sehemu ya watakaotumia Haki Yao ya kikatiba kuwania Tiketi ya Urais kwa Njia ya CCM. Hata kama Wana CCM hao ni wawili au Mmoja. Wanahaki ya kufanya hivyo. Watu wote waungwana, watu wote wenye AKILI, watu wote wenye kupenda haki, watu wote wenye...
  3. Balozi Kombo awakaribisha Wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara wa Czech kuangalia fursa za uwekezaji nchini Tanzania katika sekta za utalii uchukuzi, afya, TEHAMA, nishati, madini na elimu. Waziri Kombo alitoa mwaliko huo alipofanya...
  4. Fursa Uliyankulu Tabora

    Aisee habarin Wapamabanaji Siku chache nyuma nilifanikiwa kutembea kijiji kimoja kipo Wilaya ya Kaliua kinaitwa Uliyankulu umbali wa KM 80 kutoka Tabora mjini njia ni ya vumbi lkn inapitika vizur tu, kule kuna fursa nyingi sana wanakijiji wamelala sana, fursa za biashara za mazao, maduka...
  5. C

    Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu

    Nimepata offer ya ku volunteer huko Brazil kupitia kanisa letu. Swali langu ni kwamba Kuna fursa huko? Maana sijawahi sikia watu wakiiongelea hii nchi, je kwa mtu alomalizia form six bila kwenda chuo, Kuna uwezekano wa kutoboa huko? Wadau karibuni...
  6. Fursa ya kwenda kufundisha Marekani (kwa walimu tu)

    Maombi sasa yamefunguliwa kwa walimu wa Kitanzania kutuma maombi ya kushiriki katika mpango maarufu wa Fulbright Teacher Exchange wa mwaka 2026! Hii ni fursa ya kipekee ya kushirikiana na waelimishaji wa Marekani, kubadilishana mawazo bunifu, na kushirikiana mbinu bora za ufundishaji. Usikose...
  7. HAYA FURSA NYINGINE HII HAPA YA KUTEMBELEA CHEMKA HOT SPRING KWA WAKAZI WA MOSHI NA ARUSHA HII INWAHUSU

    Habari za kila mmoja humu, leo nawaletea mchingo mwingine huu hapa wa kwenda kutembelea paradiso ya maji moto ya chemka iliyopo wilaya ya hai mkoani Kilimanjaro. Hapa huoendwa kutembelewa na watu wengi zaidi hasa wanachuo hivyo tunakuletea fursa hii mezani ili uweze kutembelea paradiso ya maji...
  8. Ushauri wa biashara

    Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu stationery yenye electronics, car wash na grocery. Naombeni mawazo yenu hapa wakuu
  9. Fursa ya kupanda Mlima Kilimanjaro mpaka kileleni Uhuru Peak

    Wana jamvi mnaonaje kama mtakuwa tayari kuchangamkia fursa hii ya kutembelea mlima Kilimanjaro kwa gharama nafuu zaidi ambayo imeandikwa kwenye tangazo letu hapo chini! Changamkini fursa chap chap ili ukajionee kwa macho na kujifunza mengi zaidi kwa mwaka huu 2025 Kwa maelezo zaidi nicheki...
  10. Fursa ( Digital currency) mwaka 2025

    Habar ndugu nipo hapa kuwashirikisha fursa hii ya digital currency ( PI coin) mpya ambayo inaingia sokoni rasmi kuanzia tarehe 31.1.2025 Ndugu zangu Coin hii ni rahisi Sana kuipata Kwan unaipata kwa kutap kitufe kwenye app yake inayoitwa pi Mara you baada ya kujisajiri, Thamani ya pi coin...
  11. Endapo Tundu Lissu atashindwa kupata fursa ya kuwa mwenyekiti CHADEMA taifa. Plan B, atangombea Ubunge Singida, na kujipanga kugombea Urais 2030

    Endapo atashindwa vibaya sana kua mwenyekiti wa Chadema Taifa kama plan A yake, Tundu Lisu, atagombea ubunge miongoni mwa majimbo ya uchaguzi katika mkoa wa Singida, kupitia chama kipya cha siasa ambacho bado hakijawekwa wazi bado, lakini ndicho atakachokitumia kugombea ubunge Singida na lakini...
  12. Samia Mtaani Kwetu Kuwajengea Uwezo Madereva Bajaji Ili Wazitumie Fursa Zinazowahusu

    Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji UVCCM Taifa, Komredi Debora Joseph Tluway Tarehe 28/12/2024 alikutana na madereva bajaji walioko Wilaya ya Mpanda ili kutekeleza dhima ya Program ya "SAMIA MTAANI KWETU" yenye lengo la kukutana na makundi yote ndani ya jamii yetu kwaajili ya kujenga Umoja...
  13. B

    Fursa ya kibiashara

    .
  14. E

    Fursa ya Kazi: WhyNot In Lounge and Kitchen ya Goba

    WhyNot In Lounge and Kitchen ipo Goba Dar es salaam Tunatafuta staff ili kufanya kazi katika hii business mpya iliyopo Goba, Dar es Salaam. Tunatafuta watu wenye vipaji na uzoefu kwa nafasi zifuatazo: 📌 Manager 📌 Bartender/Counter Staff 📌 Servers/Waitress 📌 Cleaners Vigezo vya Muombaji: ✅...
  15. Fursa ya Uwekezaji kwa wadau wa maendeleo

    Habari za asubuhi waku, Niende moja kwa moja kwenye hoja. Tuna mradi wa ubunifu wa kufuga wadudu kwa lengo la kubadilisha taka hai kuwa bidhaa zenye thamani kama mbolea na chakula cha mifugo. Mpango wetu ni kupanua shughuli hizi kwenye moja ya dampo kubwa na la kisasa nchini, ambapo tunalenga...
  16. V

    Fursa ya kazi kama kijana Mwenye kipaji cha utangazaji

    FURSA YA KAZI (UWE ACTIVE NA YOUTUBE) Anahitajika kijana wa kike au wa kiume kwa kazi ya utangazaji habari za burudani (ajue udaku) online. VIGEZO NA MASHARTI. 1. Umri kuanzia miaka 20 mpaka 30. 2. Awe na smartphone au laptop. 3. Awe na utayari (active) wakati wote wa kazi. 4. Awe tayari...
  17. Nakupa wazo wewe Mwekezaji, yule Bilionea wa Manyara ametumia fursa ya kutengeneza pombe, Sasa anamiliki hadi Helikopta

    Mimi binafsi shida yangu ni Mtaji tu. Nawasilisha opinion zangu kwako mwekezaji katika pombe kali, sasa hapa hutakiwi kushindana na smart gin maana yeye alitengeneza formula zake na akaliona soko sasahv smart gin ipo kwenye mzunguko mkubwa sana. Twende kwenye wazo, Kumbuka kama unataka...
  18. Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

    Wakuu, mnamo mwezi wa 7 mwaka 2023 nilipata fursa ya kutembelea Australia na baadaye New Zealand, kwakifupi NILIKATA TAMAA. 1. Hakuna namna Tanzania tunaweza kuwafikia hata wakiamua kutusubiri kwa miaka 100. 2. Niliona kabisa kuwa Waafrika wengi ni kama hatuna akili hasa tunapokuwa katika...
  19. S

    Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

    Naomba kufahamishwa fursa za kiuchumi za mkoa wa Kigoma
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…