funga

  1. Sifi Leo

    Mungu atakuwa wa ajabu kupokea sala ya ambaye anamuweka mtu jela akidai muhaini na huku hana kosa

    Nina tamani nifungue mashitaka dhidi ya Mungu anae POKEA maombi ya mtu kama huyu Alie mfunga Tundu Lissu kwa kesi ya uhaini Ili Hali sio muhaini. Je nisubilie nife, nizikwe nikakutane nae uko Mbinguni? Najiuliza hivi kweli huyu nae alifunga Nini? Anamwomba Mungu ampe uhai? Je ampe mume...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Wamama funga kazi; mnajua kuwakomesha watoto wenu wakiume kwa mnavyodate na vijana wadogo wa rika la watoto wenu

    Angalizo: andiko hili linaweza kuwa na lugha ngumu na Kali. Hivyo kama wewe sio mpenzi, unahasira, au ukisikia lugha ngumu unakereka, unapoteza furaha, unahisi kudhalilika au kupoteza heshima yako. Ni vizuri kuishia hapahapa. Usiendelee kusoma. Kwa kuendelea kusoma ni kuonyesha kuwa unajiweza na...
  3. Pakome

    Operation ya funga na TCRA inazidi kutia kufuli, mtandao wa Signal umefungwa

    Mtandao wa Signal umefungwa Tanzania Hivi sasa unafanya kazi nje ya nchi ya Tanzania lakini kwa watumiaji wa Tanzania wanapotuma meseji au Call zinashindwa kufika
  4. ELI COHEN

    HII NDIO SIKUKUU BORA KULIKO ZOTE, ZINAANZA NYINGINE THEN HII NDIO INAKUWA FUNGA KAZI. MERRY CHRISTMAS WANA JF

  5. M

    Funga ya Novena yaiweka CCM mahali pagumu

    Ni dhahiri CCM sasa imewekwa katika mahakama ya kiroho. Wakiristu Tanzania wako katika funga ya Novena. Na sababu ya funga hii ni kuombea haki na amani. Mara nyingi imezoeleka tu viongozi wa dini wakiomba basi wanaombea amani tu, ila safari hii wanaombea haki pia. Huu ni ujumbe mzito kwa...
  6. V

    Funga Cctv camera kwa ulinzi imara

    Ishi bila wasiwasi kwa kufunga Cctv camera nyumbani au ofisini kwako. Tunao ujuzi na uzoefu wa kutosha na tunafunga camera zenye ubora wa hali ya juu. Utaona picha angavu zenye rangi usiku na mchana. Tupigie kupitia simu namba 0764308320 . Karibu tukuhudumie.
  7. Pascal Mayalla

    Funga Kazi ya Urekebu wa Sheria za Tanzania, Kesho Rais Samia Atatoa Tangazo Rasmi, la Kuanza Kutumika kwa Sheria Zaidi 400 Zilizorekebishwa!.

    Wanabodi Funga kazi ya urekebu wa sheria za Tanzania, kesho Rais Samia atatoa tangazo rasmi, la kuanza kutumika kwa sheria zaidi 400 zilizorekebishwa. kuanza kutumika. Taarifa hii imetolewa live mubashara on Jambo Tanzania, na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Hamza Johari. Paskali
  8. SSH2025_2030

    Funga ya Chibu na Kina inakubalika?

    Hii funga ya mwezi mtukufu kwa hawa ndugu zetu mtu anaishi na kimada na kupiga muziki Hata wakati wa Ramadhan imekaaje?
  9. Muimba SINGELI

    Mnaofunga ndoa na watu ambao mmepishana umri kwa zaidi ya miaka kumi huwa mnaongea mnapokuwa chumbani?

    Tajiri huwa hasalimii kila wakati. Unakuta mwanaume ana miaka 45=50 anaenda kumuoa binti wa miaka 18=22. Ama mwanamke mwenye miaka 40=45 anaolewa na kijana wa miaka 24=26. Hivi huwa wanaongea nini huko chumbani. Kuna kipindi (kabla sijajiunga na KATAA NDOA, ) nilihitaji mke kwa ajili ya...
  10. Tlaatlaah

    TUNAO FUNGA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI NA KWARESMA, TAFADHALINI SANA TUWE WASTAARABU KIDOGO NA VINYWA VYETU.

    Ni kweli miongoni mwa sharti moja wapo muhimu sana katika kufunga ni kujinyima na kujizuia kula na kunywa chochote kwa kipindi cha muda fulani, huku kile tulichojinyima na kukizoea kukutumia tunawasitiri nacho wahitaji wasio jiweza. Ila ndugu zangu midomo na vinywa vya baadhi ya tunao funga...
  11. Mwizukulu mgikuru

    Lengo la funga ni kumfanya mfungaji kuwa mchamungu...

    Mimi ni muislamu lakini nawashangaa baadhi ya waislamu wenzangu inapofika jioni mtu anakula kama mchwa, yaani kila kitu anataka akile, matokeo yake anashindwa hata kufanya ibada.hivi kweli kwa style hii lengo litafikiwa kweli? Au ndio watu wanapoteza muda.
  12. SubTopic

    Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?

    Je, naweza funga LnB ya dstv kwenye kisimbuzi Cha Azam ama LnB ya Azam kwenye kisimbuzi Cha dstv na ikafanya kazi?
  13. B

    Leo ndio leo! Chalinze festival funga mwaka bonanza ndani ya Chalinze, Kikwete agawa vifaa

    Rais Mstaafu wa Awamu ya 4 Dkt. Jakaya Kikwete ataongoza Bonanza kama Mgeni rasmi, Bongo Muvi ndani Mbunge wa Chalinze na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu- Kazi, Vijana, Ajira, na Watu Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete anafunga mwaka na Bonanza kubwa la kufunga mwaka la Chalinze Festival...
  14. Magical power

    Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze.

    Kama umeoa mwanamke mwenye kipato au unampango wa kuoa mwanamke mwenye kipato funga kamba vizuri uzikaze. Kusimama kama mwanaume ni kazi hatakama anakuonyesha heshima kiasi gani. Jambo kubwa unalofaa kufanya ni kutoweka budget ya kipato chake kwenye kuendesha familia yenu. Stand as a man...
  15. N

    RC Chalamila, Umeshindwa kujifunza kwa Paul Makonda na Petro Magoti?

    Hivi ni wewe ULIKUWA Kagera wakati wa tetemeko la ardhi wakati ule...naomba nikumbushwe, sikumbuki kama tayari ULIKUWA siasani. Ukaenda Kagera dege la precision likaanguka pale kwenye maji, palikuwa na uchelewaji mkubwa wa kuokoa majeruhi na Vifo (ndipo walipozaliwa nyota wapya kina Majaliwa)...
  16. W

    Funga au Ondoa Programu Tumizi (App) usizotumia au zilizopitwa na wakati ili kuimarisha usalama na kulinda taarifa zako Mitandaoni

    Jinsi ya kufuta Programu Usizotumia au zilizopitwa na wakati 1. Programu Endeshi Android: Fungua Google Play Store > Upande wa Juu Kulia, Bofya alama ya ‘Profile’ > Kisha Bofya ‘Manage App & Devices > Bofya ‘Manage’ > Changua ‘App’ unayotaka kuondoa > Bofya ‘Unistall’ 2. Programu Endeshi - iOS...
  17. S

    funga maduka ingia barabarani na màbaango yenye kufikisha ujumbe

    watanzania mbafunga maduka mnabaki nyumbani kulia lia kwa mitandao. funga duka zama barabarani pigaa kelele mixer fujo isio umiza na mabango juu kufikishaa ujumbe kwaa uzito.
  18. Pascal Mayalla

    On be the first to know, could JF be ni funga kazi zaidi ya mainstream media zote? Shuhudia hapa

    Wanabodi, Mimi ni miongoni mwa waraibu wa JF, usingizi ukinikatika, huingia JF, Alfajiri ya leo, usingizi umekata mapema, ile swalaa swalaa imenikuta macho, hivyo baada ya yale ya msingi baada ya kuamka, nikashuka if, nikakutana na bandiko hili: LIVE - Ziara ya Rais Samia katika Ikulu ya...
  19. W

    Plot4Sale Tunauza viwanja maeneno mbalimbali Dar es Salaam

    Kiwanja kwa bei ya OFA ya kufungia mwaka. kiwanja kipo Mbezi Msakuzi kwa Lipelanya Shule ya Makamba. Ukubwa ni 45 kwa 35 metres. Bei ni million 30 tu. Umbali kutoka barabarani ni km 2 Mawasiliano 0715128827
  20. Mto Songwe

    Yule mwanamuziki bora wa muda wote "CHRIS BROWN" ameachia album kali funga mwaka

    Ni yule mwanamuziki bora wa muda wote toka pande za states mwamba Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown au Breezy. Amewashushia neema mashabiki zake kwa kuwa patia album funga mwaka kama alivyo ahidi mwenyewe kuwa mwezi wa 11.2023 ataachia na bila kusita mtaalamu Breezy kawapa...
Back
Top Bottom