funga

  1. Deejay nasmile

    Thread kumi bora zitakazo funga mwak 2020.. Kuanzia tarehe 1 desemba

    Vigezo na mashart kuzingatiwa Thread lazima iwe kati ya 1dec 2020 mpaka 1.1.21 Jukwaa lolote Yenye views weng Yenye likes nyings Yenye pages nying Yenye comment nying Ni ipi??? Muda bado...tuendelee kuzitafuta Deadline ni 1.12021 Dau halipo ilA pongezi na HONGERA.. atatangaza mwenyewe...
  2. africanbusiness2019

    Hii ni kwa Wale waopenda kwenda na wakati

    Kama wewe upo town au sehemu yoyote ila ni muumini wa swag za kinjanja basi leo nakuletea wallet na saa ambazo zitaongeza thamani ya muonekano wako. Saa utaipata kwa sh 60000 na wallet ni sh 20000 ukitaka vyote kwa ujumla sh 80000 Dsm tunakuletea mpaka ulipo mkoani tunatuma pia. Unaweza...
  3. Roving Journalist

    GE2020 Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Dkt. John Pombe Magufuli

    Baada ya kupumzika kwa siku kadhaa, mgombea Urais wa JMT kwa tiketi ya CCM, Dkt. John Pombe Magufuli anaendelea na kampeni leo katika mkoa wa Dar es Salaam katika uwanja wa Benjamin Mkapa. HOTUBA YA DKT. MAGUFULI ....Gonjwa hili la Corona na kilio cha Wanakenya wakiongozwa na Rais Uhuru...
  4. KITAU TRANSPORT AND GPS

    SOFTWARE Funga GPS kwenye magari, pikipiki yako na komesha wizi

    Habari Wadau wa Jamii Forum, Nimeanzisha biashara ya usalama wa vyombo vya moto kupitia GPS na ninahitaji support yenu. Kama mnavofahamu, biashara katika sector ya usafiri imepamba moto nchini.Lakini palipo na biashara hapakosi changamoto. Wizi wa vyombo vya usafiri kama Pikipiki, Bajaji...
  5. GENTAMYCINE

    Msijifanye / Msijidai hamjaisikia hii ' Kali ya Funga mwaka ' tafadhalini!

    “ Wasichana msiolewe na wanaume mnaowazidi umri au mnaolingana, maana wanaume huoa baada ya kuwachoka mama zao, hivyo akirudi nyumbani akakukuta unafanana na mama yake lazima ahame tu ” Bw.Alfred Luvanda - Makamu wa Rais wa shirikisho la vyama vya wachimba madini Tanzania. Chanzo Habari: ITV...
Back
Top Bottom