freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Halima Mdee wangekuwa Mume na Mke wangependeza sana!

    Huwa nafurahi sana pale nikiwaona wapo karibu kwani siyo Siri kwa Utanashati wa Freeman Mbowe na Urembo wa Halima Mdee huwa wanapendezana mno kiasi kwqmba natamani Siku moja nije kusikia ama wana Mahusiano yao au hata wanatarajia Kufunga Pingu za Maisha. Waufanyie Kazi Ushauri wangu tafadhali...
  2. JamiiForums Tanzania Mbowe mbaroni akidaiwa kutoa maneno yanayoashiria uchochezi, kuamsha hisia na chuki dhidi ya Serikali na Polisi. Aachiwa kwa dhamana

    Mwenyekiti wa CHADEMA Mh.Freeman Mbowe amekamatwa na Jeshi la Polisi Wilayani Hai mara baada ya kumaliza kuhutubia Mkutano wa hadhani Jimboni Hai Leo. Sababu ya kukamtwa kwake bado haijajulikana. ====== CHADEMA imesema Mwenyekiti wake na Mbunge wa Jimbo la Hai, Freeman Mbowe amekamatwa na...
  3. JamiiForums Tanzania Kishindo: Freeman Mbowe kuunguruma Hai

    Unaambiwa Usiku wa kuamkia siku ya deni hauchelewi kucha , ile siku ya wanafiki na wala rushwa kuumbuka , siku ambayo imeahirishwa mara kadhaa na watu waoga kwa sababu za kinafiki , hatimaye imefika rasmi , hakutakuwa na cha Mswalie Mtume wala Yesuu na Maria ! Wote Mnakaribishwa .
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe afika Kibaha kuhani msiba wa Baba mzazi wa Nabii Josephat Mwingira

    Uungwana ni vitendo
  5. JamiiForums Tanzania Wadhamini wa Tundu Lissu wawasilisha maombi ya kibali cha kumkamata

    Wadhamini wa aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu wamewasilisha maombi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakiomba itoe kibali ili makamu mwenyekiti huyo wa CHADEMA kukamatwa. Awali mahakama ilitaka kuwakamata wadhamini hao baada ya kushindwa kumpeleka waliyemdhamini...
  6. JamiiForums Tanzania Msimamo Rasmi: Wakati Umefika kwa Freeman Mbowe (MB) Kujiuzulu; na Sekretariati Yake...

    Na. M. M. Mwanakijiji Hili ni swali ambalo linahitaji jibu. Kwenye nchi na vyama vya kidemokrasia mojawapo ya kanuni muhimu ni ile inayotaka viongozi wa juu wa chama kuwajibika mara moja pale vyama vyao vinaposhindwa uchaguzi. Hili ni kweli hasa pale kiongozi anapowekeza mkakati mzito na...
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Mapendekezo ya marekebisho muhimu ya Katiba na Sheria ili kuwezesha Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2020 kuwa huru, wa haki na halali

    Tutawaletea Moja kwa Moja Mkutano wa Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe na Wandishi wa Habari wa Tanzania na wakimataifa Kuhusu Mambo mbalimbali ya Nchi Updates ------------ Mbowe atahadharisha hali ya hatari uchaguzi mkuu, Amlima Barua Rais ------------- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe...
  8. JamiiForums Tanzania Kumekucha: Freeman Mbowe kuunguruma , ataongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya nchi

    Taarifa kwa vyombo vya habari na umma Mkiti wa CHADEMA na Kiongozi wa Kambi Upinzani Bungeni, Mhe. Freeman Mbowe(Mb) atazungumza na Watanzania kupitia Mkutano na Waandishi wa Habari wa vyombo vya ndani na nje ya nchi, J'tatu, Feb. 3, 2020, saa 5 asubuhi, jijini Dar es Salaam.
  9. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe, Said Issa na Tundu Lissu, washinda kwa kishindo Uchaguzi Mkuu CHADEMA

    Matokeo ya uchaguzi mkuu Chadema yametangazwa ambapo Freeman Mbowe amepata ushindi wa Tsunami. Mbowe ambaye amekiongoza chama hicho kwa miaka kumi na tano sasa alishangiliwa mno na wajumbe wakati matokeo yakitangazwa na msimamizi wa uchaguzi Sylivester Masinde. Mbowe amepata ushindi wa asilimia...
  10. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Wakifanya uhuni 2020 kama waliyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2019 mpatanishi atakuwa Katibu wa UN

    Kama Rais Magufuli na vyombo vyake vya polisi wanadhani watatufanyia uhuni kama walivyofanya kwenye Uchaguzi wa Serikali za mitaa 2019, mpatanishi atakua Katibu wa Umoja wa Mataifa. #DevelopmentIsWoman #MaendeleoNiMwanamke #NoHateNoFear
  11. M

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe azindua siasa mpya za CHADEMA huku akitangaza idadi rasmi ya wanachama

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Mbowe amesema baada ya kuzuiliwa mikutano ya hadhara kwa hila chama hicho kimeimarika maradufu. Akihutubia mkutano mkuu wa Baraza la Wanawake Chadema katija ukumbi wa Mlimani City kiongozi huyo amesema chama hicho kiliamua kufanya siasa mpya za kuzunguka kata...
  12. JamiiForums Tanzania UCHAGUZI BAVICHA: John Pambalu aibuka kidedea Uenyekiti. Nusrat Shaaban Hanje ateuliwa kuwa Katibu Mkuu

    Baraza la vijana (Bavicha) la Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) linaendelea na uchaguzi wake leo kwa ngazi ya kitaifa. Muda mfupi uliopita katika ukumbi wa Mlimani City limewapata viongozi wake wakuu ambapo Diwani wa Butimba jijini Mwanza, Bwana John Pambalu ameshinda Uenyekiti kwa...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Mzee Fredrick Sumaye warudisha fomu za kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Hatimaye Mwenyekiti anayemaliza muda wake Mh Mbowe amerudisha fomu za maombi ya kuendelea kukiongoza chama hicho kwa miaka mingine mitano. Kadhalika Waziri Mkuu Mstaafu aliyejiwekea historia ya kukaa madarakani kwa miaka 10 mfululizo bila kutumbuliwa Mzee Sumaye naye amerudisha fomu huku...
  14. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe arejesha fomu ya kuwania uenyekiti akimtaka Tundu Lissu kuwania Makamu Mwenyekiti CHADEMA

    Leo huko jijini Arusha Mwenyekiti aliyemaliza muda wake Mh. Freeman Mbowe amerejesha fomu ya kugombea uenyekiti wa chama hicho kikuu cha upinzani CHADEMA. Mh Mbowe amerejesha fomu hiyo aliyochangiwa na kuchukuliwa na vijana wa chama chake yenye thamani ya 1 million kwa Katibu wa chama hicho...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Dar kurindima leo wakati vijana CHADEMA wakimkabidhi fomu ya kugombea Uenyekiti Freeman Mbowe

    Ni Jumatano tulivu.Kukiwa na maandalizi ya tukio kubwa la kisiasa kwa siasa za Tanzania. Vijana wa CHADEMA katika majimbo yote 10 ya mkoa wa DSM watakwenda kumuomba rasmi Freeman Mbowe agombee kwa mara nyingine Uenyekiti wa chama hicho. Akizungumza na vyombo vya habari Mratibu wa kampeni ya...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Vyama vya Upinzani kushindwa kutoka Madarakani sababu ni kazi nzuri au kuna jambo la Binafsi?

    Kuna suala ukiliangalia kichwa kichwa unaishia kuchanganyikiwa, Nauliza je mfano pale CHADEMA kuna mtu anaitwa Mbowe! Siyo rahisi kumtoa Mbowe kwenye uenyekiti najiuliza 1. Je, Chadema hawana mtu wa kuvaa viatu vyake? 2. Kafanya kazi kubwa sana kiasi kwamba ni fadhila kwa kazi alofanya? 3...
  17. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan

    Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Freeman Mbowe anaumwa na amelazwa katika Hospitali ya Aga Khan, jijini Dar es Salaam tangu Novemba 17, 2019. Mbowe ni miongoni mwa viongozi tisa wa CHADEMA wanaokabiliwa na kesi ya uchochezi namba 112/...
  18. JamiiForums Tanzania Kambi ya Upinzani Bungeni inakosa nafasi ya kuuliza swali la kwanza kwa Waziri Mkuu kutokana na kiongozi wa kambi hiyo, Freeman Mbowe kuwa mtoro

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuwa mara kwa mara nafasi ya upinzani kuuliza swali la kwanza kwa Waziri Mkuu inapotea kutokana na kiongozi wa kambi hiyo kuwa mtoro. Spika ametoa kauli hiyo leo Bungeni Jijini Dodoma katika kipindi cha Maswali kwa Waziri Mkuu maarufu kama maswali...
  19. JamiiForums Tanzania CHADEMA yajiondoa kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Waziri Jafo awashangaa kususia uchaguzi

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza chama chake kutoshiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika Novemba 24, 2019 kwa madai wakishiriki wanahalalisha ubatili Maamuzi hayo yanakuja ikiwa ni baada ya Wabunge wa CHADEMA kukutana leo alasiri Novemba 7, 2019 katika Kikao cha...
  20. JamiiForums Tanzania Antony Komu na Said Kubenea waivua nguo CHADEMA

    Wabunge wanamageuzi wa siku nyingi nchini wamegoma kuhama CHADEMA sasa wameamua kushughulika na Mbowe na vijana wake. Nasikia harufu ya Damu ndani ya CHADEMA Sikiliza sauti ya Mbunge Komu na Kubenea wakijadili. Wapenda mabadiliko wote wanapaswa kuwaunga mkono wabunge hawa. Wasiojielewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…