freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbowe unakosea sana kumpangia Rais Samia ratiba zake

    Leo mbowe akiwa mkoani Morogoro amesema walimuandikia barua kuomba kukutana na Rais Samia ila hadi leo hajakutana nao. Anasema anaona tu anakutana na makundi mengine ila wao hataki kukutana nao, hivyo hawatasubiri mwaka kukutana na Raisi na ipo siku atawatafuta. Hadi haoaa itoshe kusema...
  2. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atua Mkoani Morogoro, ni katika Mkakati wa Operesheni Haki

    Operesheni Haki ambayo imeingia Kanda ya Kati, kwa kuanzia na Mkoa wa Dodoma, sasa leo ni zamu ya Morogoro ambapo Mwamba Mwenyewe Freeman Mbowe atahutubia baraza la Mashauriano la Mkoa huo. Kwa taarifa tu ni kwamba Tayari moto wa operesheni haki na Chadema digital ushaingia mitaani ambapo...
  3. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe atinga Kanda ya Kati kuendelea na Operesheni Haki

    Operesheni haki ambayo ndio mpango mpya wa Chadema kwa sasa, wenye lengo la KIZALENDO la Kuhamasisha upatikanaji wa Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Kati. Freeman Mbowe na kikosi chake wanatarajiwa kuongoza kikao cha Kimkakati cha Kanda hiyo. Ikumbukwe kwamba Mwenyekiti...
  4. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe aongoza Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tabora Mjini

    Jimbo la Tabora Mjini ni miongoni mwa Majimbo ambayo yametoa wasaliti wa Covid 19 , Hawa Mwaifunga anatokea Jimbo hili , hivyo ni lazima kuwekwe mikakati maalum kwenye jimbo hili , na ndio maana Mwamba Mwenyewe ameombwa kuongoza kikao hiki na amekubali
  5. JamiiForums Tanzania Tabora: Freeman Mbowe kuongoza Oparesheni Haki Kanda ya Magharibi

    Maandalizi ya kikao cha Mkutano Mkuu wa Jimbo la Tabora Mjini yamekamilika, ambapo leo Juni 06, 2021 mwenyekiti wa Chadema Taifa Mhe. Freeman Mbowe ataongoza kikao hicho. Hii ikiwa ni mwendelezo wa Oparesheni Haki Kanda ya Magharibi.
  6. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kung'atuka uongozi wa CHADEMA mwaka 2023

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe ametangaza kuachia uongozi wa chama mwaka 2023 Pia, amewataka viongozi wa chama hicho Kanda ya Magharibi kutodumazwa na changamoto zilizojitokeza katika uchaguzi uliopita bali wajipange upya kudai na kusimamia haki
  7. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Timu yake waingia Kanda ya Magharibi, ni katika muendelezo wa Operesheni Haki

    Wakuu msituchoke, tuliahidi kuwafikishia kila kitu kitakachojiri kwenye ziara za Mkakati mpya wa CHADEMA inayoitwa OPERESHENI HAKI, hii ni kampeni ya kuchagiza upatikanaji wa Katiba Mpya na Tume huru ya Uchaguzi . Baada ya kupita kwenye kanda kadhaa sasa imeingia kwenye Kanda ya Magharibi...
  8. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe akabidhiwa zawadi ya Ng'ombe na Wazee wa Mwanza kama Shukrani ya Kutambua mchango wake kwa mapambano ya Demokrasia ya Tanzania

    Zawadi hii yenye maana nzito sana amekabidhiwa Mwamba Mbowe na Wazee wa Kata ya Igombe wakati wa Kikao cha ndani cha Operesheni Haki kwa majimbo ya Nyamagana na Ilemela. Kwa niaba yangu na familia yangu nachukua nafasi hii kuwashukuru Wazee wa Mwanza kwa zawadi hii kwa Mwamba Mbowe ikiwa ni...
  9. JamiiForums Tanzania GE2020 Freeman Mbowe: Uchaguzi Mkuu wa 2020 CHADEMA hatukuwa na wagombea sahihi

    Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amekiri kuwa kushindwa kwa CHADEMA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2020 kulitokana na kuweka wagombea dhaifu kwenye nafasi mbalimbali ikiwemo uraisi na hivyo wamejifunza na uchaguzi ujao wataweka wagombea wenye nguvu na ushawishi watakaozunguka nchi nzima kunadi...
  10. JamiiForums Tanzania Operesheni Haki yaingia Kanda ya Ziwa Victoria: Freeman Mbowe atua Mwanza

    Amepokelewa na Bavicha Mkoa Wa Mwanza , ambapo taarifa zinaonyesha kwamba Mkakati wa Operesheni Haki utakuwa Kanda hiyo kwa muda wa siku 3 , Kuanzia Juni mosi mpaka Juni tatu . Mungu ibariki Chadema .
  11. B

    JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe: Tanzania yahitaji mabadiliko ya Katiba

    26 May 2021 Nairobi, Kenya MAHOJIANO EXCLUSIVE NA MWANASIASA FREEMAN MBOWE TOKA TANZANIA Maureen Medza akimkaribisha ktk mahojiano exclusive yaliyofanyika kupitia chombo cha media ya Mwanzo TV nchini Kenya akiongea na Freeman Mbowe . Anazungumzia hali ya kisiasa iliyopo nchini Tanzania...
  12. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Freeman Mbowe yatikisa Musoma Mjini

    Tuliahidi hapa kwamba tutawaletea kila kinachojili kwenye Mkakati mpya wa CHADEMA wa OPERESHENI HAKI Unaoendelea nchini kwa kishindo, na kwa vile Ahadi ni deni basi hatuna budi kuitimiza. Katika mwendelezo huo huo tunawaletea ziara ya Mwamba Mbowe (ambaye pia ni kiongozi wa kimila wa wamasai )...
  13. JamiiForums Tanzania Mbowe alisema kachanjwa chanjo ya Corona, mbona anaendelea kuvaa barakoa? Nchi walizochanja nao wanaendelea kuvaa barakoa

    Mbowe aliutangazia umma kuwa yeye keshachanja chanjo ya Corona lakini kila anapoenda barakoa haimtoki. Nimeangalia nchi za wenzetu pia kama ULAYA na Marekani wamechanja lakini kutwa wanavaa vibarakoa!! wana maintain social distance, kunawa maji tiririka nk. Sasa hiyo chanjo ina kazi gani kama...
  14. JamiiForums Tanzania Ma-DJ wa Enzi zetu za 1990

    Katikati ya jiji ndiko kulikuwa kumekucha vilivyo kwa madisco. Ukienda YMCA Club unakutana na DJ Choggy Sly (Chogole Seleman) na DJ KALIKALI ( Double K, Double A, Double L, Double I). DJ Kalikali was my favourite DJ ( Huyu Nshomile alikuwa ndiye DJ mkali kuliko wote kwa kutema yai na kupangilia...
  15. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe na Jopo lake Waingia Bunda, aongoza kikao cha Mashauriano

    Mwamba Mbowe ameingia Bunda Mkoani Mara katika Mkakati unaotikisa wa Operesheni Haki , amelakiwa na maelfu ya wanachama na viongozi wa Chadema wa eneo hilo na baadaye akaongoza kikao cha Kimkakati cha mashauriano.
  16. JamiiForums Tanzania Video: Freeman Mbowe apokelewa kwa kishindo Shinyanga. Shangwe na vigelegele vyarindima

    Ikumbukwe kwamba Leo Mh Mbowe ataongoza kikao cha Kamati ya utendaji ya Kanda ya Serengeti Mjini Shinyanga , Hivi ni vikao vinavyoendelea vya OPERESHENI HAKI vyenye lengo la kudai Katiba mpya na Tume huru ya uchaguzi . Sasa mapokezi yake ndio kama mnavyoona , siongezi chumvi.
  17. W

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Freeman Mbowe akimpa tuzo Hoyce Temu (sasa Balozi mteule)

    Ndugu zangu, Mnamo mwaka 1999 aliyekuwa Meneja wa Billcanas ambaye kwa sasa ni mwenyekiti wa Chadema akimkabidhi tuzo mlimbwende Hoyce Temu ambaye kwa sasa ni Balozi mteule.
  18. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe anamjaribu Rais Samia kwa sababu hizi...

    Freeman Aikael Mbowe, Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa akiwa Arusha licha ya kutumia muda mwingi kumsimanga JPM, ambaye hawezi kujitetea tena amemjaribu Rais Samia Suluhu Hassan. Freeman Mbowe amesema kuwa Chama chake hakitashiriki uchaguzi wowote kuanzia sasa hadi pale itakapopatikana Katiba mpya...
  19. JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe ausoma upepo wa CCM

    MWENYEKITI WA CHADEMA, FREEMAN MBOWE AUSOMA UPEPO CCM - Arusha muda huu: "Viongozi wa Chadema waliniambia nina misimamo mikali,nikawaambia kama mnataka misimamo milaini basi naomba nijiuzuru"- Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe. NB: Mbowe anaanza kuenzi Legacy ya JPM. "Makamanda wangu...
  20. JamiiForums Tanzania Freeman Mbowe kuongea na Waandishi wa habari wa ndani na nje ya Nchi

    Hii ndio Taarifa iliyosambazwa mapema leo duniani, Mwamba Mbowe ataongea na wanahabari hao kutokea kwenye Hotel ya Golden Rose Mjini Arusha. Sikio la Dunia nzima limetegwa upande huo ili kujua kitakachozungumzwa. Wote mnakaribishwa. Muhimu: Tufuate mwongozo wa WHO wa kudhibiti Corona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…