freeman mbowe

Freeman Aikaeli Mbowe (born 9 December 1961) is a [[Tanzanian] politician and the current nominated chairman of the Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA – Political Party for Democracy and Development). He was elected to continue as a National Assembly member representing the Hai District in the Kilimanjaro Region as per the 2015 general election.Mbowe was elected to the National Assembly in 2000 representing Hai Constituency (Kilimanjaro Region). He won 64.5% of the vote, which was the highest percentage of votes won among constituencies with opposition MP's.In preparation for the 2005 elections, Mbowe was nominated to represent CHADEMA as their presidential candidate for the 2005 presidential elections. Jumbe Rajab Jumbe, a Zanzibari was chosen as his vice-presidential candidate. The election was originally scheduled for 30 October 2005, but was postponed until 14 December due to the death of Jumbe.
Mbowe constructively criticized the lengthy postponement, saying a week's delay would have sufficed and that his political party cannot afford to finance extra campaigns. Chadema eventually settled on Ms. Anna Maulidah Komu to be the running political party executive.
He placed third out of ten candidates in the presidential election of 14 December 2005, winning 5.88% of the vote. Although there are rumours that many of the votes in that election were stolen by the ruling party Chama Cha Mapinduzi (CCM) going to their presidential candidate, Jakaya Kikwete.
In the 2010 general elections, he was elected as a member of parliament for The united republic of Tanzania parliament after winning against the experienced candidate the incumbent from Mapinduzi, fuya kimbita taking 51.63% of the vote. Currently, he is the leader of the opposition in parliament after his party the chama cha demokrasia na maendeleo won a significant majority in the opposition camp in parliament.].One of the founders of CHADEMA in 1992, Mbowe is a good strategist which makes him currently one of the main strategists of the CHADEMA political party and a main executive board member in the political party to ensure the political growth of his party, of which he has steadily led as chairman since 2004, in a healthy politically competitive environment that has witnessed a steady collapse of major opposition parties since 1990s at the hands of the CCM government, the country's highly politicized police force, and intelligence.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    Pemba: Freeman Mbowe akipata kahawa kijiweni na wenyeji wake

    Kiongozi wa watu huchangamana na watu mitaani, hivi ndivyo walivyofanya wapigania Uhuru Maarufu wa Enzi zile
  2. J

    Mbowe: Sijakatishwa tamaa na uchaguzi wa 2020 hiki chama ninachokiongoza kina umri wa miaka 30 sasa

    Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amesema hajakatishwa tamaa na uchaguzi mkuu wa 2020, na kwamba Mageuzi ni swala la mchakato. Mbowe amesema chama anachokiongoza CHADEMA kwa sasa kina umri wa miaka 30 hivyo ni chama kikubwa na kitayafikia malengo yake ya kutwaa dola. Nawasalimu kwa jina la JMT.
  3. Erythrocyte

    Freeman Mbowe azindua ujenzi wa Ofisi ya CHADEMA Jimbo la Segerea

    Huu ndio ule mwendelezo wa ile kampeni ya kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi inayoitwa OPERESHENI HAKI , Ambayo tayari imeingia Kanda ya Pwani . Pichani : ni Mwamba mwenyewe akiwa jimbo la Segerea
  4. Erythrocyte

    Operesheni Haki yaingia Mlandizi , Freeman Mbowe aongoza Vikao vya Majadiliano

    Kama tulivyosema tangu awali ni kwamba Ile Kampeni ya kuamsha ari ya wananchi kudai Katiba mpya na Tume huru ya Uchaguzi imeingia Kanda ya Pwani . Leo imepigwa Mkoa wa Pwani , Mlandizi , ambako Mwamba mwenyewe ameongoza vikao vya Mashauriano .
  5. Ritz

    Mbowe na genge lako, mnamtisha Amiri Jeshi Mkuu akitumia madaraka yake muanze tena kulalamika?

    Wanaukumbi, Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu asiyetambua umuhimu wa Katiba Mpya; tunapishana sehemu ndogo sana ‘timing’ na vipaumbele vya kitaifa kwa sasa viwe ni 1. Katiba Mpya au kupambana na 2. Janga la Corona na 3. Kuinua Uchumi na hali za wananchi masikini? Sisi Watanzania tumechagua...
  6. Kinuju

    Mbowe: Hatutakubali Bunge lililopo litengeneze Katiba Mpya

    Mwenyekiti wa kudumu wa CHADEMA amemuonya Rais Samia kuwa asikubali kuliruhusu bunge lililopo sasa hivi lianze mchakato wa katiba mpya. Mbowe amesema Rais akiruhusu hilo wao kama chama cha upinzani nchini hawatakubali kamwe. "Kwanza tuna amani mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa ni haki ya...
  7. C

    Rais Samia suala la Mikutano ya Kisiasa ni la Kisheria. Huwezi kuomba na kujipa mwenyewe ulichoomba, bila kukubaliwa na wale uliowaomba

    Kumbe Rais Samia alikuwa na mkutano na kundi fulani la watu! Sikufuatilia aliongea nini, kwa sababu huwa napata taabu sana kufuatilia mikutano ya Wanasiasa iwe wa chama tawala au upinzani. Hata hivyo, kupitia mijadala mbalimbali nikagundua nikakutana na hoja za SSH "hataki" mikutano ya vyama...
  8. Shujaa Mwendazake

    Peter Msigwa: Baada ya kushinda kesi ya Mbowe, nini hatma ya mauaji ya Akwilina?

    "Baada ya kushinda kesi ya Mh Freeman Mbowe na wenzake, mjadala sasa ni juu ya matumizi ya 350M, hatujadili uhai wa Akwilina. Nani alimuua? Nani anawajibika? Mkurugenzi wa Kinondoni anawajibikaje? Kwanini hakutoa barua za mawakala? Athari walizopata warufani. Uhuni huu utaisha lini?" - Mch...
  9. W

    Mbowe usimfanye Tundu Lissu kuwa bidhaa

    Ndugu zangu, Aidha kwa kujua au kutokujua ndugu Lissu kageuzwa bidhaa au chanzo cha kupata hela. Kwenye miji na majiji kumeibuka mtindo wa watu wenye ulemavu au wanaoongopa ulemavu kusukumwa kwenye baisikeli za magurudumu manne na kuzunguka mitaani kuomba chochote kitu ili mradi maisha...
  10. Shujaa Mwendazake

    Jaji Mgeta: They were convicted of those counts on the mere statements

    "Nimesoma rufaa ya kesi ambayo Freeman Mbowe na wenzake walifungwa, Jaji wa mahakama kuu wanasema "nothing more is said in the judgement about evidence. They were convicted of those counts on the mere statements". Yaani wakihukumiwa bila ushahidi.. Kwanini mnawaonea watu hivi? Ni dhuluma...
  11. Mystery

    Aibu kwa Mahakama baada ya kuthibitika kuwa ilikuwa ikitoa hukumu kwa kuwaonea akina Mbowe

    Siku ya leo, Jaji wa mahakama kuu, Irvin Mgeta, ameandika historia, baada ya kubatilisha hukumu iliyokuwa imetolewa na Hakimu, Thomas Simba, wa mahakama ya Kisutu, hapo mwezi March, 2020, ambapo aliwatia hatiani viongozi hao wa Chadema, kwa Makosa 10 Kati ya 11, waliokuwa wameshitakiwa nayo...
  12. M-mbabe

    Mahakama Kuu Tanzania imeamuru Jamhuri kurudisha fedha za faini za kesi ya Freeman Mbowe na wenzake 7 wa CHADEMA

    Mahakama Kuu, imebatilisha hukumu ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu ya kesi ya Jinai iliyokuwa ikimkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake 7 na kuamuru warejeshewe fedha walizolipa kama faini, kiasi cha Sh.350 milioni. Uamuzi huo umetolewa leo na Jaji Irvin Mgeta. ====...
  13. Mpinzire

    Dkt. Slaa aliwashauri Zitto na Mbowe wakubaliane kuachiana Uenyekiti

    Dar es Salaam. Imepita miaka minane tangu Kiongozi Mkuu wa chama cha ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na wenzake walipofukuzwa Chadema kwa madai ya usaliti; sasa ameibuka na kusema ni kosa kubwa analolijutia mpaka leo. Mbali na Zitto, wengine waliofukuzwa walikuwa Profesa Kitila Mkumbo ambaye kwa...
  14. Memento

    Tumfute machozi Freeman Mbowe, tusikubali aachie uenyekiti 2023. Ametupigania sana

    Kwenye nchi hii unaachane kumfuta machozi mtu kama Freeman Mbowe? Hata kama unamchukia kiasi gani ina maana aliyofanya na anayofanya hamuyaoni? Freeman Mbowe hili ni jina linalopaswa kuwa kwenye kumbukumbu za kudumu nchi hii, huyu ni mpiganaji halisi hakuna vita ambayo hajawahi kushinda...
  15. Mmawia

    Mbowe alivyomuibua Lijualikali hadi sasa ni Mkuu wa Wilaya

    Wahenga wanasema kuwa tenda wema usingoje shukrani. Ndiyo msemo inabidi mh Mbowe na wana Chadema kuukubali na kuutumia ili maisha yaendelee. Huyo hapo chini ni ndugu Lijualikali ambaye sasa ni mh DC. Ambaye aliibuliwa na kutengenezwa na Chadema. Kweli dunia ni msongamano.
  16. Erythrocyte

    Freeman Mbowe awasili Mkoani Kagera kuhudhuria Mazishi ya Profesa Baregu

    Mwamba Freeman Mbowe , Mtemi Isike , ambaye pia ameteuliwa kuwa Kiongozi wa Wamasai na Wazee wa Arusha au MTU CHUMA kama anavyoitwa na Vijana wa kisasa , tayari amewasili mkoani Kagera kushiriki Maziko ya Mjumbe Mstaafu wa Kamati Kuu ya Chadema , Mwesigwa Baregu . Taarifa zinaonyesha kwamba...
  17. Erythrocyte

    Freeman Mbowe ashiriki Ibada ya kumuaga Prof. Mwesigwa Baregu

    Mbowe ameshiriki Ibada hiyo katika Kanisa la KKKT usharika wa Kunduchi Beach. Hayati Mzee Baregu alikuwa Mjumbe Mstaafu wa Kamati kuu ya Chadema.
  18. Erythrocyte

    Operesheni Haki: Freeman Mbowe atinga Jimbo la Mtama

    Baada ya kushuhudia mapokezi ya Mwamba Freeman Mbowe kwenye kampeni ya Operesheni Haki jimbo la Mtama, nimeona nichukue muda kiasi kumpongeza Nape Nnauye kwa kuhakikisha anapitishwa bila kupingwa kwenye uchaguzi wa 2020, alitumia akili sana ! Hali yake ni mbaya mno. Hebu jionee mwenyewe.
  19. Mbatizaji Mkuu

    Kwenye hili la Sabaya, Mbowe ni Mwalimu wa Siasa. CCM ikasome kwake

    KWENYE HILI LA SABAYA, CHADEMA INAIFUNZA JAMBO CCM Anaandika Mbatizaji Mkuu Unaemwona pichani ni Mdude Nyagali, maarufu kama Mdude Chadema, huyu ndugu alikamatwa na dawa za kulevya kidhibiti kipo na kufikishwa Mahakamani, akafunguliwa mashtaka na hivi karibuni ilikuwa siku ya hukumu yake...
  20. Erythrocyte

    Operesheni Haki yatinga Ruangwa, Umati wajitokeza kumpokea Freeman Mbowe

    Hilo ndilo jimbo ambalo anatokea Waziri Mkuu wa Tanzania Mh Kasimu Majaliwa , kwenye kilichoitwa uchaguzi Mkuu wa 2020 Mh huyu alipita bila kupingwa, baada ya wagombea wa upinzani kuzuiwa kuchukua ama kurejesha fomu , huku wengine wakitekwa na kuokotwa Mkuranga wakiwa hoi. Video hii ya Mapokezi...
Back
Top Bottom