Heri ya kuzaliwa Cristiano Ronaldo, hakika ulimwengu wa soka unajivunia uwepo wako

Suley2019

JF-Expert Member
Oct 7, 2019
572
1,000
1580902846304.png

Leo ni kumbukizi ya siku ya kuzaliwa ya Mshambuliaji wa club ya Juventus Cristiano Ronaldo ambaye ametimiza miaka 35.

Mshambuliaji huyu ni miongoni wa wanasoka mahiri walio na wafuasi wengi zaidi ambao wengine wanadai kuwa ndio mchezaji bora wa muda wote kwao.

Katika miaka 18 ya uchezaji wake Cristiano Ronaldo amepitiza vilabu vinne ikiwamo Manchester United, Real Madrid na sasa anakipiga kunako klabu ya Juventus ya nchini Italia ambako kote huko amepata mafanikio kedekede.

Aidha, licha ya kuvuna makombe mengi katika klabu alizopita ikiwamo tuzo binafsi za kutosha. Mshambuliaji huyu amefanikiwa kuibuka mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa dunia (Balon D' or) mara tano. Na pia amefanikiwa kunyakuwa ubingwa wa vilabu vya Ulaya mara tano.

Aidha, mpaka sasa Cristiano amefanikiwa kufunga magoli 623 katika ngazi ya klabu alizopitia.

Kwa hakika, ulimwengu wa soka na wapenzi wa soka wanayo bahati kubwa kushuhudia kipaji cha mchezaji huyu.

====

Zaidi Soma
Cristiano Ronaldo turns 35-years-old today and it's only right that we celebrate him on his birthday.
After all, many football fans argue that he's the greatest player of all-time.

During an 18 year career, he's played for three of the biggest clubs in the world and won a ridiculous 19 major trophies.

Ronaldo is a five-time Champions League winner, has won three Premier League titles, two La Ligas and one Serie A crown.

He's scooped six domestic cups and has been a club world champion on four separate occasions.

Oh, and he's also a five-time Ballon d'Or winner, winning two international trophies with Portugal. How astonishing.
Ronaldo's goalscoring stats are simply out of this world too.

The Portuguese superstar has scored 623 goals for his clubs - those being Sporting Lisbon, Manchester United, Real Madrid and Juventus.

But now he's turning 35 you'd expect Ronaldo to start winding down, right? Wrong.

The man is only getting better with age. At 35, many players are probably making retirement plans.

But not Ronaldo. He'll still be putting in the work on the training pitch every single day. He's been doing that for over two decades now, so why break the habit of a lifetime?

We don't know how many more years the footballing icon will play at the top level but don't bet against him sitting atop the mountain for at least a couple more seasons.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom