Nina kijana wangu anapenda mambo ya mpira sasa nimeunganishwa na hii football academy ya Tigana Kawe Dar.Ila sikuwai kuisikia hapo mwanzo.
Kwa wazoefu Je n ya kuaminika?
For the love of football kila siku ntakuwa natoa link za game za mpira wa miguu stream ni 4K tu kwa wenye Bandwith kubwa au Fiber
March 18 Uefa champions league
Liver Vs Galatasaray live
atalanta vs Bayern live
atletico vs spurs live
Lets Gooo
NB wenye bandwith ndogo chimbo ni CAMEL TV...
Wazee wa mikeka habari.
Nimekaa nimewaza kinachofanya mikeka ichanike sana mara nyingi ni tamaa za Karia (Odds 10+)
Naomba kujua kwa wazoefu.
Nina plann ya kuwa na mtaji wangu wa milioni mbili.
Lengo niwe nafukuzia faida ya elfu 50 kwa siku hasa kwa live game isiyozidi odd 1.03 au live game...
Familia ya mpira⚽️ karibuni kwenye channel yetu ya whatsapp kwa maudhui ya kipekee kwa lugha ya kiswahili
Taarifa za mechi lini anacheza nani matokeo yamekuaje unaweza kupata popote ila taarifa zenye ladha na shule nyingi ndani yake ndugu zangu wa football ni hapa🙇
Kipindi hiki cha...
Happy Sunday Wana JF,
Sina maneno mengi nadhani Wana sports fainali tulitazama wote iliyofanyikia pale Kenya.
Nilishawahi kusema Morocco ni football brain na Jana wameonyesha hicho kitu, nawaza tu kwa wachezaji wetu nani angewaza ku- shoot vile ( out of sarcasm).
Tuna Cha kujifunza kutoka kwa...
Habari wadau,
Nimeangalia game ya Senegal Vs Morocco kiukweli Hawa jamaa wanajua ball , Wana utulivu wa kutosha.
Nimeamini Kuna uhusiano wa njaa/umasikini na Wenge, wachezaji wetu Wana Wenge sana sababu ni malezi ya njaa Kali mfano mzuri Kibu D, Clement Mzize Hawa jamaa Wana Wenge...
Kwenye Mada moja kwa moja,
Tukubali kuwa kilichotokea leo ni matumizi ya Brain, tukubali tukutae matumizi ya Brain kwa wachezaji wetu ni KIDOGO sana mfano Coach unamtoa Kagoma anaingia SAADUNI (hana anachoweza) badala yake katikati panapwaya ~ Morocco wanasogea kirahisi bila pressure.
Clement...
Sijukama niandike kwa English au Kiswahili anyways, nadhani niende Kikongoman ,
Hivi Majirani wa Kenya Mpo hapa nataka tuzungumze masuala na Mupira kidogo, Maana sisi wa Tanzania Hatujuagi Mpira tunataka nyie wataalam wa Mupira mtufunze kidogo, ili tukikutana kwenye fainali Tuweze
Kukudinyeni...
Kwa kutokea msiba wa Diogo jota aliyekuwa ni mchezaji wa Liverpool nimeamini kwamba huu mchezo unaunganisha watu wengi sana huu mchezo unachukua nafasi kubwa kwenye maish
🔥 27 wins out of 30 games! 🤩
Unreal numbers in a competitive league like the NBC Premier League. 👏
You have to give credit where it’s due — Yanga SC delivered an incredible season.
From the top down, massive respect to President Eng. Hersi Said, the technical team, and the entire squad for...
Huu uzi ni uzi wa kufunguka kuhusu mambo yanayohusu football ambayo umekuwa unajiuliza mwenyewe kichwani bila kupata majibu na umekuwa unaogopa au unaona aibu kuuliza wengine ili wasije kukuone mjinga au hauna ufahamu na football.
Kwenye uzi huu hakuna mjinga wala mjuaji. Uliza chochote na...
Bingwa wa shirikisho hupata 2 million USD, ila cha kushangaza gharama za motivation, bahasha na nguvu kubwa aliyoitumia Bwn Kanji ili tu kuiprove wrong Young africans inafikia zaidi ya 5 million USD. Tetesi kutoka vyanzo vya kuaminika vinadai Bwana Kanji ameapa kurejesha pesa zake kwa namna...
Huu ushamba unaenea Tanzania hasa kwenye football ya wanawake,
Hawa mabinti wanaocheza Mpira wa miguu hujigeuza ma tom boy
Hii tabia inatutia mashaka sisi wazazi kuwaruhusu mabinti zetu wakacheze soccer, tuna wasiwasi kukengeuka kimaadili na kuwa madume jike ( tom boys)
Ni tabia ya kipumbavu...
Hatimaye kwa mara ya kwanza hii leo klabu ya Crystal Palace imefanikiwa kushinda taji lake kubwa la kwanza baada ya miaka 119 ya msoto kupita tangu klabu hiyo ianzishwe.
Crystal Palace imetwaa taji hilo la FA baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya klabu ya Manchester City.
Ushindi huu...
Nakuwaga tu curious na kujifunza vitu randomly. Hivi karibuni nimekuwa nikijiulaza nani anahusika na kuwavalisha marefa wa mpira wa miguu?
Nimefanya quick search lakini naona tu habari za brand zinazozalisha hizi nguo zao, but nani analipia?, zinakuwa wapi? Nani anahakikisha kila mmoja ana nguo...
Yaani mazee, hii ishu ya FIC FOOTBALL INVESTMENT ni kama sinema ya ki-HOLLYWOOD lakini ya kibongo – ile ya kina scammers wakivaa suti, wanakuja na maneno matamu, wanakuchanganya hadi unawekeza mkwanja wako, alafu wanakimbia bila hata kusema good bye. Damn!
Tulikumbuka LBL (Local Business Links)...
Habar za humu ndani,natumai ni wazima wa afya.
Mimi ni kijana wa miaka 22 nimebahatika kufika chuo,saiz nipo mwaka wa pili.
Nilikua ninawazo la kuwa mbunifu wa jezi za mpira wa miguu katika sekta ya michezo hapa Tanzania.
Naomba mchango wenu nianzie wapi wakubwa.
Ana mataji kadhaa ya champion league Africa CAF
TUZO YA MCHEZAJI BORA WA NDANI AFRICA
Mfungaji Bora wa CAF
Kucheza team kadhaa ulaya
Best in scoring,dribling skill , shooting nk
Hakika uyu mtu tumsifie kabla hajafariki
Kipaji haswa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.