Taa, Polisi na adha ya foleni barabara ya Sam Nujoma

Mjenda Chilo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
1,428
1,500
Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali kwa kukamilisha interchange ya Kijazi, (Dar kama New York). Sasa kuna hizi taa zimewekwa mpya kuingia kituo cha mawasiliano, naona zinaenda kurudisha foleni ambayo ilishaisha, naomba Tanroads wafanye utafiti tena wa hizi taa isije ikawa tunarudisha tatizo ambalo tulishalitatua.

Halafu Polisi wakiwa hapa eneo la Mlimani City siku wakiwepo kunakuwa na foleni kali, wasipokuwepo barabara inakuwa nyeupe watu wanawahi kazini, yaani ghafla foleni, watu wanachepuka service road, wanaliwa kichwa, ha ha haaa.
 
Chabo

JF-Expert Member
Jul 20, 2011
887
1,000
Ni kweli mkuu, hata mm nimeshangaa kukutana na foleni kubwa Sinza kijiweni/kwa wajanja,kumbe wameweka trafic light ambazo sijaona umuhimu wake.
 
Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
6,357
2,000
Mradi wa watu ule. Hapa wanawaza kuweka Riverside pale njiapanda ya kwenda Kwa Mzee wa Upako.
 
Mkwe21

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,092
2,000
Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali kwa kukamilisha interchange ya Kijazi, (Dar kama New York). Sasa kuna hizi taa zimewekwa mpya kuingia kituo cha mawasiliano, naona zinaenda kurudisha foleni ambayo ilishaisha, naomba Tanroads wafanye utafiti tena wa hizi taa isije ikawa tunarudisha tatizo ambalo tulishalitatua.

Halafu Polisi wakiwa hapa eneo la Mlimani City siku wakiwepo kunakuwa na foleni kali, wasipokuwepo barabara inakuwa nyeupe watu wanawahi kazini, yaani ghafla foleni, watu wanachepuka service road, wanaliwa kichwa, ha ha haaa.
Bora umeliona hili!! Mimi nimeliona kuanzia Jana na kuona kabisa Tanroads kuna mambo mengine wanayafanya bila kuzingatia weledi na gharama kubwa iliyotumika kuwekeza hapo ubungo na sio kusogeza taa mbele!
Niwape utatuzi wa pale

1: Kama unatoka ubungo unatakiwa kuwekwa taa ya kuingia kulia na kurudi uelekeo wa ubungo na kituo cha simu200, na wakati huo wanaokwenda uelekeo wa mwenge wanatakiwa pia waruhusiwe(Pale kwa uhalisia hakuna wavukaji wengi wa miguu)

2: Wanaotoka Mwenye uelekeo wa ubungo wanatakiwa kuzuiwa kwa muda na hiyo taa kupisha wanaogeuza kutoka ubungo kuelekea simu2000

3: Watu wote kutoka mwenge kuingia kulia wazuiwe na kutakiwa kwenda hadi ubungo - morogoro road junction na kufanya u-turn kurudi mwenge na kuingia kushoto! Yaani chuo kikuu

4: Haya mambo tuna majibu ila tupo huku nje tunaangalia tu (haraka wafanye Ninayopendekeza waone matunda)
Huna haja ya kuzuiwa wanaotoka ubungo kwenda mwenge
 
wegman

JF-Expert Member
Jan 8, 2016
1,113
2,000
Bora umeliona hili!! Mimi nimeliona kuanzia Jana na kuona kabisa Tanroads kuna mambo mengine wanayafanya bila kuzingatia weledi na gharama kubwa iliyotumika kuwekeza hapo ubungo na sio kusogeza taa mbele!!
Niwape utatuzi wa pale
1: Kama unatoka ubungo unatakiwa kuwekwa taa ya kuingia kulia na kurudi uelekeo wa ubungo na kituo cha simu200, na wakati huo wanaokwenda uelekeo wa mwenge wanatakiwa pia waruhusiwe(Pale kwa uhalisia hakuna wavukaji wengi wa miguu)
2: Wanaotoka Mwenye uelekeo wa ubungo wanatakiwa kuzuiwa kwa muda na hiyo taa kupisha wanaogeuza kutoka ubungo kuelekea simu2000
3: Watu wote kutoka mwenge kuingia kulia wazuiwe na kutakiwa kwenda hadi ubungo - morogoro road junction na kufanya u-turn kurudi mwenge na kuingia kushoto! Yaani chuo kikuu
4: Haya mambo tuna majibu ila tupo huku nje tunaangalia tu (haraka wafanye Ninayopendekeza waone matunda)
Huna haja ya kuzuiwa wanaotoka ubungo kwenda mwenge
Hapo kwenye namba 1.
Mkuu wakiruhusiwa wanaokwenda mwenge na wakati huo huo kuna wengine wanatoka Simu2000 kuelekea mwenge wataingiaje? Nadhani ndio maana wanasimamishwa wote ili wanaotokea ubungo na kukata kulia kwenda Simu2000/Ubungo(kurudi) then wakimaliza ndio wanaruhusiwa wanaotokea Simu2000 kwenda Mwenge. Mimi kwa akili yangu nimeelewa hivyo.
 
gwankaja

JF-Expert Member
May 16, 2011
6,741
2,000
Kwanza nianze kwa kuipongeza Serikali kwa kukamilisha interchange ya Kijazi, (Dar kama New York). Sasa kuna hizi taa zimewekwa mpya kuingia kituo cha mawasiliano, naona zinaenda kurudisha foleni ambayo ilishaisha, naomba Tanroads wafanye utafiti tena wa hizi taa isije ikawa tunarudisha tatizo ambalo tulishalitatua.

Halafu Polisi wakiwa hapa eneo la Mlimani City siku wakiwepo kunakuwa na foleni kali, wasipokuwepo barabara inakuwa nyeupe watu wanawahi kazini, yaani ghafla foleni, watu wanachepuka service road, wanaliwa kichwa, ha ha haaa.

Eti wanaliwa vichwa ha ha ha
 
Mkwe21

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,092
2,000
Hapo kwenye namba 1.
Mkuu wakiruhusiwa wanaokwenda mwenge na wakati huo huo kuna wengine wanatoka Simu2000 kuelekea mwenge wataingiaje? Nadhani ndio maana wanasimamishwa wote ili wanaotokea ubungo na kukata kulia kwenda Simu2000/Ubungo(kurudi) then wakimaliza ndio wanaruhusiwa wanaotokea Simu2000 kwenda Mwenge. Mimi kwa akili yangu nimeelewa hivyo.
Kwa uhalisia wote wanaokwenda mwenge wanatakiwa kugeuzia ubungo pale na kurudi na sum nujoma kuna njia ya kugeza IPO na taa zipo sio tatizo! Kwa gharama iliyotumika pale kikubwa ni kupunguza intersection sasa hawa watu wameziongeza!! Sasa foleni itapunguaje!? HadI huzuni!! Unaruka halafu unashukia kwenye taa sio sawa na ukizingatia gharama kubwa hiyo! Yaani namaanisha right turn iwe ubungo
 
Mkwe21

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
2,092
2,000
Pia njia jingine ya gharama ni kuweka right turn kama under pass kama unatokea ubungo kuingia simu2000
 
rushanju

JF-Expert Member
Nov 3, 2011
2,826
2,000
Hivi anayetengeneza hizo taa ni Tanroad mwenyewe au ni mkandarasi? Kama n mkandarasi Basi ujue kuna harufu ya rushwa
 
marxlups

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
14,821
2,000
Ni kweli mkuu, hata mm nimeshangaa kukutana na foleni kubwa Sinza kijiweni/kwa wajanja,kumbe wameweka trafic light ambazo sijaona umuhimu wake.
Hawajajifunza Ubungo mataa ilivyobadilishwa kuwa Ubungo round about?
 
kifinga

JF-Expert Member
Dec 5, 2011
4,706
2,000
kuna baadhi ya wahandisi kwa ushamba wao kuweka taa ndio wanaona kupendezesha mji siku nikiwa rais cha kwanza ni kuzitoa taa zote za hovyo kama hizi za sam nujoma zinazolalamikowa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom