fidia

  1. JamiiForums Tanzania Je, kuna fidia yoyote ya kulea mtoto wa kusingiziwa?

    Habari zenu wadau!, nahitaji ufafanuzi kidogo hapa, nilikuwa na Girlfriend wangu ambaye alipata ujauzito na kuniambia kwamba ni ujauzito wangu. Tangu hapo niliamua kwa upendo tu kumhudumia katika kipindi chote cha ujauzito hadi alipojifungua. Japo sikuwa naishi nae lakini nilimpatia mahitaji...
  2. JamiiForums Tanzania Wanasheria wa Sandaland wadai fidia ya Bilioni 3 dhidi ya Ally Kamwe kwa kukashfu Jezi za Simba

    Wakuu Kampuni ya Kisheria inayomsimamia Mfanyabiashara Sandaland the Only One ambaye ndie Mtengenezaji wa jezi za SIMBA imemtumia barua Meneja wa Habari wa Yanga, Ally Kamwe ikidai fidia ya BILLION TATU kutokana na kauli za kumchafua Mteja wao na imepelekea kuathiri biashara zake. Wanadai...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Je wahanga wa ajali ya kuangukiwa na ghorofa la kariakoo watalipwa fidia?

    Nimeona taarifa nyingi za pole ila sijasikia tamko lolote kuhusu fidia watakazolipwa wahanga wa ajali hiyo.
  4. JamiiForums Tanzania Suluhisho la kulipa fidia ya mabilion nje ya nchi ni kubadili jina la nchi

    Bado tunaendelea kupigwa kwenye kesi za fidia na makampuni ya kigeni.. Tunalipa mabilioni ya shilingi na mabilion ya dola kwa makosa ya watu wachache tuu.. Mostly kutoka chama chawala Hakuna hata kesi moja tuliwahi kushinda.. Mikataba tuliyosaini kimagumashi inatutesa sasa.. Waliosaini kwa niaba...
  5. JamiiForums Tanzania Halmashauri Mkipima Viwanja "Road Reserve" Hatulipi Fidia - Bashungwa

    HALMASHAURI MKIPIMA VIWANJA ‘ROAD RESERVE’ HATULIPI FIDIA: BASHUNGWA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema kuwa Serikali haitalipa fidia kwa wananchi ambao wamepimiwa viwanja na Halmashauri katika maeneo ya Hifadhi za Barabara zilizowekwa kwa mujibu wa Sheria kwa ajili ya kuendeleza...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Tuliohamishwa kupisha Mradi wa Bandari maeneo ya Kaskazini Unguja hatujalipwa fidia

    Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia. Hadi kufikia leo hii Oktoba 2024, inatimia Miaka miwili hatujafidiwa licha ya kuwa maeneo yetu yalikuwa na uwekezaji wa mazao na...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani kulipa fidia kama njia ya kuizuia Israel kuishambulia Iran! Iran yasema ipo tayari kwa lolote!

    Katika hali inayoonekana kama njia ya kupunguza na kuondoa taharuki huko mashariki ya kati, serikali ya Marekani imesema ipo tayari kulipa fidia kutokana na madhara ya mashambulizi ya makombora kutoka Iran wiki iliyopita! On Sunday, Israeli TV channel Kan11 claimed that Washington had offered...
  8. JamiiForums Tanzania Kwa nini TANESCO hawatoi fidia kwa wananchi wanaowaharibia mali zao?

    Tumezoea miradi ya ujenzi wa barabara, majengo na viwanja mbalimbali, inapopelekwa mahali fulani na kukuta wananchi basi wananchi wanapewa fidia kwa uharibifu wa mali zao utakaosababishwa na ujenzi huo Lakini naona hali hii ni kinyume kabisa inapokuja miradi mingine kama maji ma umeme. Naomba...
  9. W

    JamiiForums Tanzania RC Tanga: Wawekezaji wasiolipa fidia wanyang’anywe ardhi

    Mkuu wa Mkoa amesema ana taarifa za baadhi ya wilaya kuwa na wawekezaji waliotakiwa kulipa fidia Sh400 milioni kwa wananchi takribani, lakini wameshindwa kulipa huku wakiendelea kushika ardhi ya wananchi. Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Balozi Batilda Buriani amewaagiza wakuu wa wilaya kuhakikisha...
  10. JamiiForums Tanzania Bilioni 2.5 Zilitumika Kulipa Fidia kwa Wananchi Waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu - Ifakara

    BILIONI 2.5 ZILITUMIKA KULIPA FIDIA KWA WANANCHI WALIOPISHA UJENZI WA BARABARA YA KIDATU – IFAKARA Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo...
  11. JamiiForums Tanzania Bashungwa: Tsh. Bilioni 2.5 zimetumika kulipa fidia kwa Wananchi waliopisha Ujenzi wa Barabara ya Kidatu – Ifakara

    Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi ililipa fidia jumla ya Shilingi 2,576,081,789.00 kwa wananchi 142 waliopisha ujenzi wa barabara ya Kidatu - Ifakara (km 67) ,kwa Wananchi ambao nyumba zao zipo ndani ya hifadhi ya barabara ya Mita 22.5. Hayo yameelezwa leo Septemba 3,2024 Bungeni Jijini Dodoma...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna kila dalili ya CCM kumburuza mahakamani Tundu Lissu, labda kudai fidia ya mabilioni

    Wakati wa mahojiano na mwandishi Chief Odemba katika kipindi cha Medani za Siasa, bila kupepesa macho Lissu alisema maneno yafuatayo " mimi siwezi kuwa CCM, CCM ni majizi, CCM ni madalali ya maliasili zetu ,yameuza bandari yetu, yameuza mbuga zetu kwa waarabu, mama Abdul ameuza kila kitu cha...
  13. JamiiForums Tanzania Kuwa makini na vijisenti vyako, unatongoza tongoza hovyo, unaishia kuwekwa mtu kati unalipa fidia ya ugoni.

    unaweza kuchukulia poa ila ukweli ni kwamba bwana na mke wake wanaweza panga njama za kula pesa zako. Hizi ishu zimeishafanyika sana sema tu huwa ni chini chini mtaani. Bwana anajua unatembea na mke wake alafu na yeye akiangalia hali yake apechi alolo na pesa ya kulipa mabaunsa wakufumue choo...
  14. JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi Awaagiza Mwigulu & Bashungwa Ulipaji Fidia Bukoba Mjini

    DKT. NCHIMBI AWAAGIZA MWIGULU NA BASHUNGWA ULIPAJI FIDIA BUKOBA MJINI. Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi amemuelekeza Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba kuiwezesha Wizara ya Ujenzi kiasi cha Shilingi Bilioni 1.8 kwa ajili ya malipo ya fidia kwa wananchi...
  15. JamiiForums Tanzania Sheria ya NSSF na PSSF ibadilishwe. Wanaposhindwa kumlipa mwanachama washtakiwe na kudaiwa fidia.

    Mashirika haya NSSF na PSSF wanadai michango kutoka kwa waajiri kwa nguvu ya sheria. Tena michango hii ni kama kodi, usipolipa kwa wakati kampuni, tena wakurugenzi wa kampuni. Hili limekaa upande mmoja maana wanachama wanapata shida mara nyingi kulipwa mafao yao. Mara kikokotoo, mara subiri...
  16. JamiiForums Tanzania DC Ubungo apewa notisi ya kuwalipa ‘makahaba’ fidia ya Sh36bilioni

    Dar es Salaam. Sakata la ukamataji wanawake 36, wanaodaiwa kujihusisha na biashara ya ukahaba limechukua sura mpya, baada ya Mkuu wa Wilaya ya Ubungo (DC), Hassan Bomboko kupewa notisi ya kuwalipa Sh36 bilioni. Notisi hiyo ya siku 14 inayoanza leo Alhamisi, Juni 20, 2024, ambayo Mwananchi...
  17. JamiiForums Tanzania Mbunge ahoji ukimya wa Serikali kuhusu fidia ya waliopisha Reli ya SGR Tabora

    Siku chache baada ya Mdau wa JamiiForums.com kuripoti juu ya malalamiko ya Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaodai malipo ya kupisha Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR kuchelewa kwa zaidi ya Mwaka mmoja na nusu, Mbunge wa Igagula, Venant Daud Protas amehoji juu ya hatma ya...
  18. JamiiForums Tanzania KERO Responded Tabora – Uyui: Wananchi waliotakiwa kupisha Mradi wa SGR waomba Serikali isaidie walipwe fidia zao

    Wananchi wa Tambukareli, Kata ya Nsololo, Wilaya ya Uyui wanaiomba Serikali kutoa ufafanuzi juu ya malipo yao ya fidia kupisha ujenzi wa Reli ya Kisasa ya SGR, wakidai awali tathimini ilifanyika Machi 2023 na mpaka Mei 2024 hawajui hatima ya malipo yao. Wameyasema hayo wakati wakidai Sheria...
  19. JamiiForums Tanzania Vodacom: Tutawafidia wateja wetu waliopata changamoto ya Mtandao wakiwa wamenunua huduma

    Dar es Salaam, 15 Mei 2024: Vodacom Tanzania inafuraha kutangaza kuwa huduma ya intaneti imerejea kikamilifu baada ya upungufu wa ubora wa huduma za intaneti nchi nzima. Tulipata changamoto ya kukatika kwa nyaya chini ya bahari hivi majuzi. Tunaelewa kuwa tukio hili limeleta usumbufu na...
  20. JamiiForums Tanzania Wananchi 34 wabomolewa nyumba zao kabla ya fidia KIA, utaratibu gani huu?

    Huko KIA wananchi 34 wamebomolewa nyumba zao huku fidia ikiwa haijalipwa kwa madai taratibu za kibenki hazijakamilika. Mkuu wa mkoa anadai pia ni 'huruma ya mama' wao kulipwa fidia kwasababu ni wavamizi eneo hio! Kama waliamua kuwalipa kupitia kodi zetu, kwanini wasingewalipa ndio wabomoe?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…