fidia

  1. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Bil 3/- zatua Mwanza kulipa fidia ujenzi daraja Kigongo - Busisi

    JUMLA ya Sh bilioni 3.145 zimepokelewa mkoani Mwanza na Serikali kupitia Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), kwa ajili ya kuwalipa fi dia wananchi. Watu hao ni watakaopisha ujenzi wa Daraja la Kisasa la Kigongo- Busisi lililopo Wilaya za Misungwi na Sengerema mkoani Mwanza. Hilo ndilo daraja...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Bunge lakubaliana kuwa Wanaoambukizwa Virusi vya UKIMWI makusudi walipwe fidia

    Bunge limefanya marekebisho ya sheria ya udhibiti wa Virusi vya Ukimwi (VVU) na UKIMWI, ambapo pamoja na mambo mengine imeipa mahakama kutoa amri ya fidia kwa mtu ambaye ameambukizwa VVU kwa makusudi Pia, Bunge limepitisha umri wa mtoto kujipima VVU ni 15, huku wabunge wa upinzani wakitaka iwe...
  3. Kaka Pekee

    JamiiForums Tanzania Bongo hakuna malipo bila malalamiko!

    Wastaafu wa iliyokuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki. Ukiongea nao wanadai walipunjwa malipo. Baadhi waliofariki kabla ya kulipwa, warithi wao wanakuambia hawakuambulia kitu na waliolipwa mlolongo wa malipo kwao ulikuwa mkubwa kuliko. Upanuzi wa barabara, viwanja vya ndege. Wahanga wa mabomu...
Back
Top Bottom